Tetesi; JeiKei kajimilikisha ardhi, anafanya biashara na waarabu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tetesi; JeiKei kajimilikisha ardhi, anafanya biashara na waarabu.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwangaza, Jan 19, 2011.

 1. Mwangaza

  Mwangaza Senior Member

  #1
  Jan 19, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 198
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Tetesi zimesikika kuwa, mkuu anakula malalio yetu..

  Tetesi zinasema mkuu kajimilisha ardhi kubwa usawa wa viwanja 10 vya mpila wa miguu huko Kagera wilaya ya Ngara, katika eneo linaloitwa Kabanga.

  Tetesi zinapasha kuwa, sehemu hiyo iliyo karibu na mpaka wa TZ na nchi za Burundi na Rwanda, mkuu amefungua biashara ya kuuza magari yanayopitia bandari ya Dar na kufikishwa huko na kuwauzia wafanyabiashara wa nchi za Rwanda,Burundi na Zaire.Na bado ujenzi unaendelea sijui anataka kuweka nini huko.

  Tetesi zinapasha zaid kuwa mkuu amejificha kwa kutumia ushirikiano na wafanyabiashara waarabu wa huko, hata hilo eneo linafahamika sana kwa jina la "Kwa Patel".

  Tetesi zinahabarisha zaidi kuwa, mkuu amekuwa akipata temberea mara kwa mara kimya kimya hata wakati wa kampeni mwaka jana alitembelea hapo zaid ya mara 2. Na kuhakiksha jimbo linachukuliwa na chama chake ishu isije kuvuja. Tetesi zinahabarisha zaid kuwa kuna mama wa karibu sana na mkuu ndio yupo huko kuhakikisha mambo ya mkuu yanaenda vizuri.

  Wadau wa UWT tupasheni habari zaidi....
   
 2. H

  Hute JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,045
  Likes Received: 3,917
  Trophy Points: 280
  sioni ubaya wowote, wacha hao waburundi waje wanunue vitu toka hapa kwetu pengine hata hao watu wa bukoba watauza hata ndizi kwao au hata kahotel walale kuliko kukosa kabisa..pengine na kabarabara katajengwa....hajafanya kosa. viwanja kumi tu vya mpira ni kitukidogo sana, tz kuna ardhi viwanja vingapi vya mpira?
   
 3. P

  Popooo Member

  #3
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Maada haija gusas Kodi ya mlala hoi, si dhambi na kama hajadhulumu. Nadhani itakuwa inahusiana na barabara inashinikizwa kupitia Kaskazini mwa Serengeti.

  Ni amu ya mwisho maandalizi ya kuweka Vizazi vyake vijavyo ndiyo ina anza kwa Nguvu zaidi.
  Chukua chako Mapema. Kabla muda hauja isha
   
 4. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180

  Patel sio mjenzi tu? mie naona kama kuna ukweli basi hiyo biashara ni ya Riz pamoja na rafiki zake akina Davis Mosha huku mwana wa ukaye JK akiwapigia pande kule Bank na jinsi ya kuwaunganishia tenda nje ya inchi,...UWT hawawezi fanya lolote hivi sasa kwani wakati huu ndugu yangu ni kila mtu na kamhogo kake,
   
 5. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #5
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,498
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  mkuu umetisha kwa ufukunyuzi kikubwa ni kuendelea kufuatilia
   
 6. BULLDOZZER

  BULLDOZZER Senior Member

  #6
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi eneo hilo lipo karibu na makazi ya watu? me nadhani litasaidia kupunguza uhalifu maana litakuwa ni eneo la kibiashara. wabongo wengi watapata ajira au siyo?
   
 7. Freestyler

  Freestyler Senior Member

  #7
  Jan 19, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 199
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wamseme bosi wao tena?
   
 8. taffu69

  taffu69 JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2013
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  :wave:*****:A S confused:
   
Loading...