Kimya changu kina mshindo - Nape

Kimya changu kina mshindo - Nape

Status
Not open for further replies.
ampoteze mara mbili? usha msikia Napeakizungumzia Mafisadi?

Mkuu chasha kibiblia siku moja ni sawa na siku 1000 za kidunia,nadhani nape alitumia biblical way of calculating 90 day =90000 kidunia ambayo ni sawa na miaka kama 24 ivi!!!so justa wait he is stil loading!!
 
Hah hah maendeleo kama haya!!
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1374904967331.jpg
    uploadfromtaptalk1374904967331.jpg
    11.3 KB · Views: 1,225
Au atailaumu ITV kuwa haikumwalika kwenye kipima joto cha jana.
 
inaelekea kishindo kitakua kikubwa sana. nape hawezi andika kwa fumbo la hali ya juu kisha mambo yapite kimya. najua kuna jambo litatokea hapa nchini hivi karibuni. au mbowe atapelekwa mahakamani!? yetu macho
 
Jamani kuna doctor humu wa kutibu magonjwa ya akili? Eeeeh mungu tuokoe na hawa viongozi wetu wehu! Kama mtu wa masters anahara hivi, je wa green guard atakuwaje?
...loading..............................................
 
Mnajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe.....mnatunga wenyewe na kujiaminisha wenyewe..ama kweli kushindwa kubaya sana

Kalolite@work, matatizo lakini ujuha tu wakusumbua ukiwekwa sawa utafunguka. Njoo uwekwe sawa dogo acha vijineno vya uchochoroni.
 
inaelekea kishindo kitakua kikubwa sana. nape hawezi andika kwa fumbo la hali ya juu kisha mambo yapite kimya. najua kuna jambo litatokea hapa nchini hivi karibuni. au mbowe atapelekwa mahakamani!? yetu macho

Hakuna Mwana CCM anaye weza kuongea bila kutaj CHADEMA hapo ni story za CDM tu
 
KATOLITE. Hako kaneno kana maana gani mkuu?
]katolite@work, matatizo lakini ujuha tu wakusumbua ukiwekwa sawa utafunguka. Njoo uwekwe sawa dogo acha vijeneno vya uchochoroni.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom