Moses Machali na Felix Mkosamali walikuwa wanachama na viongozi waandamizi wa CHADEMA hadi uchaguzi mkuu wa 2010 unakaribia kufanyika.
Wote wawili waliondoka CDM na kujiunga NCCR walikogombea ubunge na kushinda. Ni sababu zipi zilizowafanya kuhama CDM na kujiunga NCCR?
Sera mbovu za CDM, au walitofautiana na viongozi wa CDM? Kushinda kwao ubunge kulitokana na ushawishi wao (nguvu yao) binafsi, nguvu ya chama cha NCCR majimboni mwao, au kuna nguvu nyingine tofauti na hizo?
Hali ya CDM kisiasa majimboni mwao ikoje baada ya wao kondoka na kushinda ubunge wakiwa nje ya CDM?