Daudjuma
Senior Member
- May 31, 2011
- 111
- 103
Wadau wa JF naomba kujuzwa,leo ni alhamisi je,pm PINDA amefikishwa mahakamani au zilikuwa ni propaganda za wanaharakati wa haki za binadamu?
Kituo cha sheria na haki za binadam LHRC kimemfungulia mastaka waziri mkuu Mizengo Peter Pinda kuhusiana
na kauli yake aliyoisema bungeni kwamba wananchi watakaoshindwa kutii sheria wapigwe tu.Akizungumza na waandishi wa habari
mahakama kuu mkurugenzi wa kituo hicho Hellen Kijo Bisimba alisema watashirikiana na chama cha mawakili wa Tanganyika ili
kuhakikisha waziri mkuu anafuta kauli hiyo.
East Africa Radio NEWS.