Wanasiasa wasitumike katika hili

Wanasiasa wasitumike katika hili

Dr. PEACE

Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
86
Reaction score
27
Enyi viongozi wa dini mbona mnageuza nyumba za ibada kuwa mapango ya wezi. Kwanini mnawakaribisha Wanasiasa kuchangia na kuwakusanyia michango ya ujenzi wa makanisa. Hamjui ya kuwa haimpendezi Mungu kugeuza nyumba zake kuwa 'HOUSES OF POLITICAL GAMBLERS' kwani hamjui kuwa kwa kuwa michango yao na kazi ya uchangiaji watahitaji malipo ya kura za waumini wenu kwa ajili yao au maswahiba wao. Je huku si kukaribisha walanguzi wa kisiasa ndani ya patakatifu pa Mungu? Ukisoma Luka 19:45 Yesu aliwatimua walanguzi hekaluni lakini ninyi mnawakaribisha. Tutegemee nini huko tuendako? Mods msifute uzi huu tafadhali si wa kidini
 
Kitu kibaya sana katika hili ni kuwa katika nyumba za ibada (Makanisa, Misikiti) kuna waumini wa itikadi tofauti za vyama vya siasa inapotokea mwanasiasa awe wa CCM, CDM au CUF anaingia katika nyumba ya Ibada na kupewa Air time humo na kuongea na kuchangia/kuchangisha michango hii moja kwa moja inawaondolea imani na kuwaondoa katika ibada wale wote ambao hawapo katika itikadi ya kisiasa ya huyo mgeni ndani ya hiyo nyumba ya ibada.
 
Heading Line yako ilitakiwa kuwa " Viongozi wa Dini wasitumike katika hili" na sio Wanasiasa.
Ila ujue Wanasiasa nao ni waumini wa hizo dini.
Kikubwa hapa na UFAHAMU na KUJITAMBUA.

Its ok mkuu. Naelewa kuwa nao ni waumini na wanatumika kuhamasisha. Kama ingeishia hapo sawa lakini wanasiasa wanaitumia kwa hidden targets zao na hapo ni hatari kwa kanisa hasa kwa demokrasia changa kama yetu
 
Kitu kibaya sana katika hili ni kuwa katika nyumba za ibada (Makanisa, Misikiti) kuna waumini wa itikadi tofauti za vyama vya siasa inapotokea mwanasiasa awe wa CCM, CDM au CUF anaingia katika nyumba ya Ibada na kupewa Air time humo na kuongea na kuchangia/kuchangisha michango hii moja kwa moja inawaondolea imani na kuwaondoa katika ibada wale wote ambao hawapo katika itikadi ya kisiasa ya huyo mgeni ndani ya hiyo nyumba ya ibada.
Umeiweka vizuri mkuu!
 
Kwa kuwa wameingiza siasa kwenye madhabahu na kizinajisi nyumba za MUNGU, Mwacheni MUNGU ajitetee mwenyewe...
 
Enyi viongozi wa dini mbona mnageuza nyumba za ibada kuwa mapango ya wezi. Kwanini mnawakaribisha Wanasiasa kuchangia na kuwakusanyia michango ya ujenzi wa makanisa. Hamjui ya kuwa haimpendezi Mungu kugeuza nyumba zake kuwa 'HOUSES OF POLITICAL GAMBLERS' kwani hamjui kuwa kwa kuwa michango yao na kazi ya uchangiaji watahitaji malipo ya kura za waumini wenu kwa ajili yao au maswahiba wao. Je huku si kukaribisha walanguzi wa kisiasa ndani ya patakatifu pa Mungu? Ukisoma Luka 19:45 Yesu aliwatimua walanguzi hekaluni lakini ninyi mnawakaribisha. Tutegemee nini huko tuendako? Mods msifute uzi huu tafadhali si wa kidini
Yaeh, nyumab za bada sasa zinakuwa mapango ya wanyang'anyi, hela za ufisadi na wizi ndizo zinawapatia watu sifa
 
Back
Top Bottom