Kisiwani mafia,chadema pelekeni elimu ya uraia hasa m4c.

mwanakidagu

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
208
78
kisiwani mafia kuna vyama vikuu vifuatavyo.ccm imetamalaki kwa asilimia 80,cuf asilimia 4 na CHADEMA asilimia 1.najua utaniuliza utafiti huu nimeufanya kwa kutumia kigezo gani,hilo ni rahisi,kuna bendera moja tu ya chadema kisiwani mafia,na utitiri wa mabendera ya ccm,kibendera cha cdm kina pepea katikati ya mipendera mingi ya ccm,hata hivyo nilitiwa faraja na kamanda huyo aliyedhamiria kuanzisha harakati za kweli kisiwani humo.ushauri wangu kwa CHADEMA ni kupeleka gari moja la M4C KISIWANI HUMO LIKAPIGE KAMBI, KUWAKOMBOA WANA MAFIA.AMBAO WANAISHI KATIKA GIZA NENE,UONEVU WA CCM,Mafia hakuna redio hata moja inayoshika,mfano RFA,REDIO ONE,NA HATA TBC HAZISHIKI HUKO.HAKUNA WA KUWAAMSHA.NIMEENDELEA KUAMINI KUWA MPAKA MWAKA 2014 UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA CCM WATAPITA BILA YA KUPINGWA.TABIA HII IMEKUWA INA WAGHARIMU CHADEMA NA KUKIMBILIA KUTOA LAWAMA KUWA WAMEPORWA UCHAGUZI.SASA MIMI MSAMARIA MWEMA KATIKA PITAPITA ZANGU NA UHANGAIKAJI WA MAISHA NAWAKUMBUSHA HAPO MAKAO MAKUU,KUWA PELEKENI ELIMU YA UKOMBOZI MAHALI PALEUWANJA WA NDEGE UPO VIZURI,NI MWENDO WA DAKIKA 35 KWA HELCOPTER AU NDEGE,KUFIKA MAFIA.PAKIENI PIC UP YA M4C NDANI YA MELI NA IDUMU HUKO HADI MWENYE JIMBO AMBAE HAGUSWI,HAAMBILIKI NA WALA HAKARIBIWI NA MTU YEYOTE.ATEKELEZE ALIYO WAADI WANA MAFIA.UJUMBE HUU NATAMANI UDUMU MPAKA WAHUSIKA WANIJIBU KAMA WATAENDA MAFIA AU LA.NI MIMI MPITA NJIA TOKA MAFIA.
 
Back
Top Bottom