Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika mifumo ya kidemokrasia Duniani, moja ya nguzo kuu za uchaguzi huru na wa haki ni kutenganishwa kwa Serikali kama taasisi ya umma na vyama vya siasa kama washindani wa uchaguzi. Hata hivyo...
1 Reactions
2 Replies
122 Views
Vicent Mughwai Lissu, mdogo wa Mhe. Tundu Lissu anatolea ufafanuzi wa sakata la upigaji wa fedha za michango ya Mhe. Lissu. "Ni jambo la familia, naona Amani Golugwa anahusishwa kwamba alienda...
6 Reactions
21 Replies
487 Views
Waziri wa Elimu, Profesa Adolf Mkenda, anazungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na utekelezaji wa ahadi za Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya siku 100 za kwanza za utawala wake. Kikao...
1 Reactions
2 Replies
182 Views
Maridhiano ya Mbowe na Ikulu yana jambo ambalo wengi ulibeza Ila yamesaidia sana CCM kutawala kwa ujanja tena bila kufuata sheria na taratibu kadhaa Kama Katiba inavyotamka! Na kuna swali “Je...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
Gazeti la Mwananchi la Januari 31, 2026 hii ndiyo haba kuu ambapo wamedai, Bosi wa Takukuru afunguka sakata likichukua sura mpya, orodha yasubiriwa. Wasomi wataka hoja zisiishie bungeni, hatua...
6 Reactions
24 Replies
829 Views
Jeshi limejaa damu za watanzania kuna vibaka, wezi, wauwaji, wala rushwa na watekaji mpaka maiti. Vitendo hivi vilivyoonekana wazi ndani ya jeshi havikubariki na nikinyume cha sheria na haki za...
3 Reactions
3 Replies
95 Views
Pamoja na maelekezo yaliyotolewa na Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, kwa wabunge kuisifia hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyotoa wakati wa Ufunguzi wa Bunge mwaka 2025, wabunge wawili...
3 Reactions
16 Replies
523 Views
Gazeti la Mwananchi n.a. Mamluki Yericko Nyerere mnapotosha swala hili ili mupate nini? JF ni mashahidi na kila kitu kiliwekwa humu, Kwamba namba za simu na hata akaunti za Benki ni za Alute...
7 Reactions
18 Replies
437 Views
Wito kwa Watanzania. Achaneni na huyu mpuuzi Kenan Kihongosi anayewakilisha kiburi cha Taasisi anayotoka ( ccm) na kebehi za chama chao kwa Watanganyika baada ya kutuua na kumwaga damu zetu...
12 Reactions
25 Replies
447 Views
  • Redirect
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akihitimisha Hoja ya kujadili Hotuba ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyoitoa Bungeni wakati wa ufunguzi wa Bunge la 13, Bungeni jijini Dodoma...
0 Reactions
Replies
Views
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 23, 2026 akiweka jiwe la msingi mradi wa Ujenzi Vituo vya Kusukuma Maji, Mabomba Makuu ya Usafirishaji Maji na Matanki ya Kuhifadhia Maji jijini Mwanza...
3 Reactions
16 Replies
344 Views
Wakuu, Luhaga Mpina alipewa adhabu na Bunge Juni 24, 2024 baada ya kwenda kinyume kwa kuwasilisha taarifa yake kwa wananchi mara baada ya kuikabidhi katika Kamaati ya Bunge. Zaidi soma - Bunge...
43 Reactions
171 Replies
7K Views
Bashe anawaambia vijana wakalime, yeye anajenga vituo vya mafuta njia nzima ya kibaha. Sijui katoa wapi mtaji huo! Ni hizo milioni 16 kwa ekari. Yaani kazi ya milioni 5 yeye anatumia milioni 16...
15 Reactions
142 Replies
8K Views
Kama kuna mtu anajua nini huyu jamaa alokosea atutonye maana alikuwa waziri mbunifu na mwenye uwezo wa hali ya juu wa kujieleza
6 Reactions
68 Replies
2K Views
A UPDF helicopter has landed in Bobi Wine’s compound and forcibly taken him away to an unknown destination MORE DETAILS (UPDATES): Robert Kyagulanyi Ssentamu has been forcefully airlifted from...
7 Reactions
60 Replies
1K Views
Tarehe 7 Juni 2019 aliyekuwa Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayatui Magufuli alikutana na wafanyabiashara kutoka Kila Mkoa Ikulu ya jijini Dar es Salaam. Ref: Ikulu...
13 Reactions
40 Replies
2K Views
  • Redirect
Naona nyundo zimekuwa nyingi hadi wameamua kutoka kusema na kuomba poo! =========== Benki Kuu ya Tanzania (BoT) leo tarehe 30 Januari 2026, imesema ina mpango wa kuuza sehemu ya hifadhi yake ya...
0 Reactions
Replies
Views
Uchunguzi wetu wa muda mfupi umebaini kwamba pamoja n.a. kwamba kalenda zinaonyesha kuwa Leo ni sikukuu ya Christmass, Lakini familiar nyingi zimeelekeza watoto Wao kuchambua Dagaa karma kitoweo...
10 Reactions
62 Replies
707 Views
Kama tulivyosema awali Uchumi wa Tanzania unazidi kuanguka kifo cha Mende , hii ni baada ya Wananchi kushindwa kumudu hata kununua kilo ya Nyama . Familia nyingi za Uswahilini hasa zenye watu...
30 Reactions
105 Replies
4K Views
Huyu ni Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Victoria Wenje, akijionea hali halisi ya Ufukara wa Watanzania masokoni jijini Mwanza.
10 Reactions
38 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…