Mwendelezo wa kampeni za kijiji kwa kijiji bado zina zidi kushika kasi ndani ya mbeya vijijini ambapo leo katika kata ya BONDE LA SONGWE kijiji cha IKUMBI wakina mama maalufu na wanachama mashuhuri wa chama cha mapinduzi wamehamia CHADEMA, Wakina mama hao wamakamo ya kutosha wamesema wamesha choshwa na uongo wa ccm katika ahadi zake, pia wamedai kutolidhishwa na jinsi ajira zilivo tolewa katika kiwanja kipya cha ndege cha songwe kwani hata nafasi za wafagizi hawajachukuliwa watoto wao ambao ni wazawa kama walivo ahidiwa.
Pia wamewatupia lawama za kutosha mwenye kiti wa kiji hicho kwa titeti ya ccm na diwani wa katata AMONI MWAKAPALAhiyo kwa jinsi walivo jigawia mbolea za luzuku na kuwaacha wanachi kwenye mataa, pia wanachi wakafika mbali na kukiomba radhi CHADEMA kwa makosa waliyo fanya 2010 kwani walimchagua diwani AMONI MWAKAPALA ambaye anajihusisha na maswala ya kijambazi katika kata ya BONDE LA SONGWE NA VIJIJI VYAKE wameapa kutofanya kosa kuanzia uchaguzi wa serikali za mitaa mpaka uchaguzi mkuu.