Operation VUA GAMBA VAA GWANDA imeishia wapi?

CUF Ngangari

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
273
51
tulishuhudia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA siku si chache walianzisha operation vua gamba vaa gwanda wakizunguuka baadhi ya mikoa lakini sasa kimyaa naw wamekuja na msamiati mpya eti M4C, swali la kujiuliza operation vua gamba vaa gwanda haikudumu muda mrefu, je ilikuwa ni usanii? mchezo wa kuigiza? mnatufanya tuamini maneno ya NAPE kuwa watu hao mliokuwa mnawataja oooh miia mbili mara elfu, mara 5000 kuwa wamejiunga na CDM ilikuwa ni uwongo na kama ilikuwa ni kweli kwanini isiendelee?
 
A rose by any name is still a rose. Usiangaike na majina, angalia athari zake. Na nyie oparesheni Zinduka imeishia wapi?
 
tulishuhudia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA siku si chache walianzisha operation vua gamba vaa gwanda wakizunguuka baadhi ya mikoa lakini sasa kimyaa naw wamekuja na msamiati mpya eti M4C, swali la kujiuliza operation vua gamba vaa gwanda haikudumu muda mrefu, je ilikuwa ni usanii? mchezo wa kuigiza? mnatufanya tuamini maneno ya NAPE kuwa watu hao mliokuwa mnawataja oooh miia mbili mara elfu, mara 5000 kuwa wamejiunga na CDM ilikuwa ni uwongo na kama ilikuwa ni kweli kwanini isiendelee?
Hii nayo ni thread?
 
Kauli mbiu siyo sera kaka elewa hilo. Kama unajua ni kama market entry points ili kupata watu katika segment fulani. Hii ndio Operation Sangara, Vua Gamba Vaa Gwanda na M4C, n.k.

Lengo is defeating the competitors.
 
Tulishuhudia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA siku si chache walianzisha operation vua gamba vaa gwanda wakizunguuka baadhi ya mikoa lakini sasa kimyaa naw wamekuja na msamiati mpya eti M4C, swali la kujiuliza operation vua gamba vaa gwanda haikudumu muda mrefu, je ilikuwa ni usanii? mchezo wa kuigiza? mnatufanya tuamini maneno ya NAPE kuwa watu hao mliokuwa mnawataja oooh miia mbili mara elfu, mara 5000 kuwa wamejiunga na CDM ilikuwa ni uwongo na kama ilikuwa ni kweli kwanini isiendelee?

Na Mimi nauliza Opereshini Zinduka imeishia wapi??

TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),

tumbiri@jamiiforums.com
 
Member wengine kama huyu ni hasara tukiwa naye jukwaa hili!

Pole!

tulishuhudia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA siku si chache walianzisha operation vua gamba vaa gwanda wakizunguuka baadhi ya mikoa lakini sasa kimyaa naw wamekuja na msamiati mpya eti M4C, swali la kujiuliza operation vua gamba vaa gwanda haikudumu muda mrefu, je ilikuwa ni usanii? mchezo wa kuigiza? mnatufanya tuamini maneno ya NAPE kuwa watu hao mliokuwa mnawataja oooh miia mbili mara elfu, mara 5000 kuwa wamejiunga na CDM ilikuwa ni uwongo na kama ilikuwa ni kweli kwanini isiendelee?
 
tulishuhudia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA siku si chache walianzisha operation vua gamba vaa gwanda wakizunguuka baadhi ya mikoa lakini sasa kimyaa naw wamekuja na msamiati mpya eti M4C, swali la kujiuliza operation vua gamba vaa gwanda haikudumu muda mrefu, je ilikuwa ni usanii? mchezo wa kuigiza? mnatufanya tuamini maneno ya NAPE kuwa watu hao mliokuwa mnawataja oooh miia mbili mara elfu, mara 5000 kuwa wamejiunga na CDM ilikuwa ni uwongo na kama ilikuwa ni kweli kwanini isiendelee?

Tupia na ratiba yenu tarehe 9/9 jangwani kwenye mchakamchaka.
 
tulishuhudia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA siku si chache walianzisha operation vua gamba vaa gwanda wakizunguuka baadhi ya mikoa lakini sasa kimyaa naw wamekuja na msamiati mpya eti M4C, swali la kujiuliza operation vua gamba vaa gwanda haikudumu muda mrefu, je ilikuwa ni usanii? mchezo wa kuigiza? mnatufanya tuamini maneno ya NAPE kuwa watu hao mliokuwa mnawataja oooh miia mbili mara elfu, mara 5000 kuwa wamejiunga na CDM ilikuwa ni uwongo na kama ilikuwa ni kweli kwanini isiendelee?

Mtu mjjnga utamjua tu...
 
Kaka hiyo inaitwa AIO. Yaani all in one. Changes zipo kweny mwelekeo, na ndani ya huo mwelekeo wenye elimu ya uraia watu wanavua magamba na ungangar wanavaa gwanda. Upo?
 
Nilishawahi kusikia pia habari za "Operation Mchakamchaka" na wakasema wataanzia Arusha mjini ili kusambaratisha CDM!

Mwandishi hana ufahamu mzuri, na kumbukumbu pia hana?? Change of strategy is not a crime or sign of defeat. Different situations call for different solutions. Wengine husema, "The end results justify the means". Kama watu wengi wanajiunga na CDM, it really doesnt matter njia zinazotumika kufanya hilo!!!

Iko wapi "Operation Kamata Wahujumu Uchumi"? Au unajifanya hujui uchumi wetu unahujumiwa?? Au hujui operation hiyo iliwahi kuwepo?
 
hahahahahaha MAGAMBA-B nao wameungana kuisakama cdm kwa hiyo vita ya cuf sio juu ya serikali dhaifu ya magamba ila ni chadema? haya bana naona umesahau ule mtaji wenu wa kura za igunga kuwa ndio dira sahihi ya chama chenu
 
Siyo uongo, ni ukweli mkuu, ila wanaojiunga na CHADEMA ni wale wale waliokuwa CHADEMA, siyo wapya, hivyo operation yao ilitakiwa kuitwa VUA GWANDA KWA MUDA, KISHA LIVAE TENA ILI KUWATISHIA CCM. Huku UK wamewavisha Magwanda Wakenya, eti kuongeza idadi, hii ni usanii usio na manufaa, kwani hawapigi kura halafu mnaanza kulalama eti mnaibiwa kura.
 
Wewe nape bofya hapa chini
Nape aongea na Radio Karagwe : Radio Karagwe : Free Download & Streaming : Internet Archive

NAPE MNAUYE, JANUARY MAKAMBA NA WILSONI MUKAMA HEBU KAZUNGUKENI TENA MIKOANI NGWE YA PILI MKAWATANGAZIE WANANCHI KWA KAULI YA OPERESHENI CCM VUA GAMBA
HAPO AWALI ILIKUA NI MZAHA TUUU!!!!

Nauye na Mukama, hebu kaandikeni tena imprest ili mwende upya mzunguko wa pili mikoa yote kwenda kuwambia wananchi kwamba yale mliowambia hapo awali (Operesheni CCM kuvua Gamba RACHEL) kule kuvua gamba ndani ya siku 90 wala hamkuimanisha saaaaana vile kwani ilikua ni gia tu kwamba Sekretarieti Mpya CCM Mtoke Vipi vle, au sio???

Msisahau kuwafahamisha wananchi ukweli wa mambo kwamba lile Gamba la CCM iliokusanyika kwa zaidi ya miaka 50 sasa wala haichuniki hata kwa panga hivyo mmeamua wenyew magamba sugu wenye wakajitilie wenyewe sahihi barua kwenda kwa MAFISADI ambao kimsingi mnasingiziwa tu wala hawapo kwani ni siku nyingi walishahamia katika nchi nyingine iitwayo KUSADIKIKA hivyo hapa Tanzania hawapo tena.

Hebu fanyeni hima kidogo kabwa mambo hayajabumburuka zaidi.
 
Back
Top Bottom