Tanganyika iliyozikwa i mbioni kufufuliwa,kwa kuwa watanganyika ni wengi kuliko CCM

mwanakidagu

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
208
78
Ni wakati pekee na mwanya adhibu uliotoka kwa mola,kutufumbua macho WATANGANYIKA kwamba taifa lao lililozikwa mika 50 hivi iliyopita laweza kufufuka kupitia katiba mpya ya Jaji J.S.Warioba.

TANGANYIKA YENYE NEEMA NA RASILIMALI TELE,inapumua sasa,kwa kuwa watanganyika ni wengi kuliko wana CCM wanaopinga muundo wa serikali 3,kwa kauli kama wanaotaka serikali 3 ni wazee wanaosubiri kufa,basi hiyo ni kusema wazee wote toka mwabao wa bahari ya hindi,Mtwara hadi Tanga na kote nchini wenye shauku kuona Taifa lao la Tanganyika,lilivyo zikwa kinyemela bila ridhaa yao ni wakati wao sasa kujitoa kwenye chama kama ccm chenye kejeli kwa wenye nchi,nasema CCM hamzidi mlioni 5,na watanganyika ni zaidi ya milioni 30.

Hivyo wanajua kukiwepo serikali ya tanganyika chama chao kitkufa papo hapo kwa kuwa ilikuwa ni muungano wa ASP NA TANU ILIYO KUWA YA WATANGANYIKA.SHIME WATANGANYIKA TUUNGANE KUIFUFUA TANGANYIKA YETU.

TUMIENI MAJUKWAA KAMA JF KUELIMISHANA NA KUWAKATAA WATAWALA WASIO NA UONI WA MBALI.
 
ni kweli mkuu , hivi sasa Tanganyika imepasua jeneza inahangaika kutimua udongo ili irudi duniani .
 
Wariba ni kichwa kama ameliona hilo hata mimi nasema vyama vitafikia kikomo lakini Tanganyika yangu haina mwisho. Hivyo mimi ni mwanachama wa chama kinachoitwa Tanganyika na si vinginevyo.
 
Angalau watanganyika mnaanza kujielewa na mtafaidi matunda ya rasilimali zenu.
 
Back
Top Bottom