Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wameuza nchi, wamekuwa na kiburi, majivuno na madharau sasa wakati wa kuwatimua CCM madarakani ni huu na mwarobaini wao ni marekebisho ya katiba na sheria za uchaguzi kama tunavyopendekeza hapa...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Usiku wa Mwisho wa Uhuru Ni Jumapili ya baridi, tarehe 18 Februari 2001. Mzee mmoja, yuko kwenye miaka ya hamsini mwishoni, anatembea peke yake kwenye bustani tulivu nje kidogo ya Washington DC...
1 Reactions
4 Replies
701 Views
Rais akiwa na sifa hizi Mwoga, Muuaji, Malaya, Hajielewi, Mshirikina, Mlevi, Mhuni, Fisadi, Asiye na Uelewa/Elimu tusimchague Watanzania tugome kumchagua. Ni kwamba hafai hata kidogo. Pima mtu...
1 Reactions
12 Replies
773 Views
Ndugu zangu Watanzania, Unaweza ukashindana na yeyote yule hapa Duniani katika jambo lolote lile. lakini kamwe huwezi kushindana na kumshinda Mtu aliyepewa kibali na Mungu katika Jambo fulani...
3 Reactions
64 Replies
3K Views
Huu ni uchunguzi uliofanywa na kamati ya Baraza la Habari Tanzania uchunguzi ambao kwa kiwango fulani inakinzana na ile ya Waziri Nchimbi. :A S 465:Kama habari hii imeshawekwa basi Mod ifute.:A S...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Sasa ni wakati sahihi wa Humphrey Polepole kutufichulia siri waliko kina Ben Saanane, Mdude_Nyagali na wengine waliopotezwa na utawala dhalimu wa CCM
3 Reactions
11 Replies
638 Views
Mungu asante sana kwa utukufu wako na uhai unaotupa watoto wako. 'Acha kulalamika, umechelewa, muda haukungoji, majadiliano ya siasa huleta uchomvu wa akili na upofu wa fursa' Nilikuwa nawaza...
103 Reactions
282 Replies
30K Views
PINGAMIZI TAMU KUSOMA 😂 ——— Ester Matiko amewekewa Pingamizi na Mgombea wa ACT bwana Jackson Kangoye pale Tarime Mjini. Sehemu ya Pingamizi linasoma kuwa hukumu ya Mahakama ya tarehe 14/12/2023...
12 Reactions
27 Replies
2K Views
Hii ni sehemu ya Hotuba ya Mgombea Urais wa CCM anayeshindana na Salum Mwalimu wa CHAUMA Na hapa Chini ni kiatu aina ya skuna cha Mwanaccm aliyehudhuria Mkutano wa Uzinduzi wa kampeni hizo pale...
11 Reactions
37 Replies
1K Views
Bwana Zitto tangu akiwa chadema amekuwa akipata ufadhili wa kifedha wa Rostam. Uswahiba wao umeendelea zaidi hata wakati wa sakata la fedha za ESCROW ambapo zitto alikuwa upande wa Standard...
17 Reactions
26 Replies
2K Views
Mara nyingi huenda sieleweki kwenye baadhi ya misimamo ninayoichukua hususani kwenye mambo ya kitaifa ya kisiasa. Mathalani mambo yanayolalamikiwa na wapinzani wa CCM. Uzoefu wangu wa siasa za...
9 Reactions
47 Replies
2K Views
Mafanikio ya Mapinduzi ya umma au mageuzi ya Umma hufanikiwa pale tu vyombo vya usalama vinapokuwa upande wa wananchi. Mpango huu umeanza wiki kadhaa sasa kuandaa utaratibu wa kuwaunganisha...
2 Reactions
13 Replies
778 Views
Mtiania urais wa Zanzibar kupitia Chama Demokrasia Makini, Ameir Hassan Ameir (kushoto), amesema iwapo atapitishwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na kupata ridhaa ya wananchi kuwa Rais, kila...
1 Reactions
2 Replies
342 Views
Mkuu wa mkoa wa DSM Dr Chalamila amesema Show room za kuuza magari zimezagaa kila kona ya Jiji na hali hii haikubaliki Chalamila amesema magari hayo Usiku yanazunguka mitaani bila plate number...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Katika siku za hivi karibuni, kauli na maelezo ya aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, yameibua mjadala mzito wa kitaifa. Polepole, ambaye pia ni mwanasiasa aliyewahi kuwa...
1 Reactions
3 Replies
521 Views
MPAKA SAHIVI NAAMINI HARAKATI ZA POLEPOLE NI ZA KIMASLAI ZAIDI NA SIO KWAMBA ANA-UCHUNGU NA NCHI HAPANA KWANINI ZIANZE TU BAADA YA SPONSOR (MAGUFULI) WAKE KUFARIKI Moja ya mambo ambayo kutoka kwa...
47 Reactions
254 Replies
8K Views
Mgombea wa ubunge wa Jimbo la Wanging’ombe, mkoani Njombe, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Festo Dugange, amezindua rasmi kampeni za chama hicho na kuwataka wananchi kushiriki kwa wingi...
0 Reactions
1 Replies
255 Views
ZIFUATAZO NI AHADI ZILIZOTOLEWA . 1. Kuna majimbo 50 na kata 1000 tumeahidiwa na ccm kwa tutapita bila shida yoyote. 2. Kila mgombea ubunge na udiwani atawezeshwa kifedha ktk kampeni. 3. Mbowe...
1 Reactions
3 Replies
663 Views
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema kuwa kwa mujibu wa kifungu cha 53 na 65 vya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, baada ya uteuzi kufanyika, wagombea...
0 Reactions
0 Replies
289 Views
Wewe Polepole hebu msikilize vizuri hapa Mgombea Urais wa CCM Dkt Samia Suluhu, Mtakumbuka nimeingia madarakani kukiwa na changamoto kubwa ya Uhuru wa habari nchini. Nimechukua hatua za...
3 Reactions
31 Replies
1K Views
Back
Top Bottom