Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

POLEPOLE NA UONGO USIO NA USHAHIDI Kuhusu swala la Polepole kusema kwamba kwenye mradi wa bwawa la JNHPP kuna ubadhilifu wa pesa, hilo ni uongo kwa sababu zifuatazo: 1. Mradi wa JNHPP ni...
-1 Reactions
36 Replies
2K Views
Rostam anazo sifa zote za kikatiba kugombea urais wa nchi, zaidi sana amekuwa ni mtu aliye mstari wa mbele kabisa kwa wazi katika kujishughulisha na siasa za juu kabisa za nchi hii. Inawezekana...
3 Reactions
15 Replies
683 Views
Abdul mwana wa malkina anajadiliwa sana. Kama yupo mwenye cv yake aturushie.
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Wajumbe wa CCM walimpa Samia ushindi kwa 100%. Mlikuwa mnasambaza video ile jamaa anasema mgombea (Rais Samia )atoke chumba cha kupigia kura mukiwa na lengo la kuuaminisha umma kuwa Samia...
0 Reactions
2 Replies
265 Views
==== Alichokizungumza ni kuwa hoja za Rostam Aziz ni dhaifu kwenye kumjibu Humphrey Polepole. Amesema hayuko upande wa Polepole lakini hoja za Rostam Aziz si sahihi hivyo ametoa wito kwa CCM...
12 Reactions
40 Replies
4K Views
Kwa wengi waliofuatilia video za Hamphrey Polepole, watakubaliana nami kuwa kuna mambo mengi anayojua kuhusiana na kuhujumiwa kwa taifa letu. Mojawapo ni madai kuwa wana mtandao hatari ndani ya...
1 Reactions
2 Replies
611 Views
Tarehe hiyo Imelazimika kupangwa "kinguvu" baada ya kelele za Wadau wa Hapa JF na kwingineko. Kiukweli hawakutaka kabisa kupanga Tarehe Mwezi huu, Tunataka Lissu any'ongwe kabla ya Samia...
20 Reactions
79 Replies
4K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati (Makini), Ameir Hassan Ameir, amesema endapo wananchi watamchagua mgombea wa urais wa chama hicho, Coaster Kibonde, serikali yao itatoa laki...
0 Reactions
0 Replies
207 Views
Kituko hiki kimezungumzwa na mgombea mwenza wa Chama cha Demokrasia Makini. Haya ni matokeo ya kuachia masuala ya siasa mikononi mwa wajinga. Katibu Mkuu wa Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati...
1 Reactions
2 Replies
324 Views
Wakati mnatueleza hayo ni vema mkaambatanisha na Risiti za malipo hayo. Tulijua ni Malori na Mabasi tu, lakini kumbe hata Treni zinatumika.
20 Reactions
123 Replies
5K Views
Watanzania bado tunaogopa. Zaidi ya miaka 60 tumewaamini, tumewavumilia, na tumewapa mamlaka ya kutuongoza. Lakini mpaka leo hali za maisha ni ngumu, ufisadi umetamalaki, rushwa imekuwa mfumo wa...
5 Reactions
34 Replies
1K Views
Tokea Nizaliwe ndoto zangu hazijawahi kwenda wrong! Mimi sio kama wale wengine kina Britannica, wakiota ndoto zao hazitokei 😂
2 Reactions
28 Replies
2K Views
1. Ndugu H. Polepole leo ameanza kuelezea bei ya mtungi wa gesi wa Kilo 20 Cuba ambayo ni 2000/= TZS na kusisitiza hapa Tanzania tunapigwa na Mafisadi, huku Gesi tunayo lakini mtungi ni 60,000/=...
49 Reactions
139 Replies
8K Views
Wakuu mtandao ni mkubwa mno ni ngumu kuwadhibiti bila Mungu kuingilia Kati au wananchi wa kipato Cha chini kujitoa Muhanga na kuingia barabarani kitu ambacho Watanzania hawakiwezi. Sasa...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma Jawadu Mohames amepinga madai ya baadhi ya wanasiasa na wanaharakati kwamba chama hicho kimekuwa kikiwabeba wananchi kwa mabasi na...
0 Reactions
5 Replies
800 Views
Naibu Katibu Mkuu wa Twariqa Tanzania, Sheikh Haruna Hussein, ametoa onyo kwa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kada wa CCM Humphrey Polepole akimtaka kuacha mara moja kutoa kauli...
1 Reactions
43 Replies
2K Views
Ipo wazi sera ya Ujamaa aliyoasisi nyerere ndiyo iliyozaa Chama ovu kisichojua misingi ya demokrasia na kilichojaa rushwa, na udikteta wa kiimla, ni wazi nchi zote zilizokulia katika mifumo ya...
0 Reactions
3 Replies
296 Views
=== Taasisi maarufu ya utafiti ya Serengeti Bytes imetoa orodha ya Watanzania 100 ambao mwaka wa jana ( 2023 ) kwa namna moja au nyingine walifanikisha au kusaidia kuleta...
20 Reactions
176 Replies
8K Views
Serikali ninayokwenda kuiunda nitaunda serikali ya umoja ya kitaifa ambapo ahadi yangu kwa Tanzania baada ya kuchagua kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ndani ya siku 100 za kwanza...
0 Reactions
0 Replies
237 Views
Tunauliza mkakati wa ajira kwa vijana wa TZ. Hiyo ni kazi ya serikali duniani kote. Hatutaki kusikia eti vijana wajiajiri. Eti tunaweka mazingira mazuri ya ajira, NOOO! Ktk kipindi cha miaka 4...
2 Reactions
4 Replies
454 Views
Back
Top Bottom