Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jana 30/08/2025 wakati wa kampeni za CCM Mjini Morogoro, mgombea moja wa Ubunge , alidai na kushukuru kwa kupita bila kupingwa.
0 Reactions
2 Replies
409 Views
Kwa mwaka mmoja tu uliopita, mtu angekuambia CHADEMA itakuwa kama ilivyo leo ungebisha sana. CHADEMA imefanya some strategic blunders ambazo zimekigharimu chama pakubwa. Moja nikubadili uongozi...
-3 Reactions
50 Replies
2K Views
Nimefuatilia hatua kwa hatua mijadala ya Pole pole na kugundua wazi kuwa, kuna mamilioni ya watanzania wanamfuatilia kwa kina Pole pole kile alichokiongea na wengi wao wanamuelewa na kumuamini...
25 Reactions
73 Replies
4K Views
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wakulima (AAFP), Said Soud Said, amesema moja ya ajenda zake kuu endapo atapewa ridhaa ya kuongoza ni kuruhusu ulimaji wa bangi kwa matumizi ya...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Wakuu! Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Salim Alaudin Hasham, amebebwa na mwananchi mmoja wakati wa ziara ya kukagua barabara iliyoharibiwa vibaya na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani humo. Kupata...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Imekuwa ni fashion kwa wanasiasa kila anayekwenda Mara lazima aende kwenye kaburi la Nyerere. Imekuwa ni kasumba ya kwenda kujikosha ionekane kwamba wanafuata misingi ya Mwalimu. Lakini hebu...
0 Reactions
2 Replies
449 Views
Aliyekuwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Esther Matiko Jumapili Juni 29, 2025 ametangaza nia ya kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Tarime Mjini kupitia chama tawala...
2 Reactions
51 Replies
3K Views
Kuna foleni kubwa sana maeneno ya Ruvu Pwani inayosababishwa na matengenezo ya muda mrefu ya Daraja. Hii inachelewesha usafirishaji wa abiria na mizigo Shida ni nini? 1. Speed ndogo ya ujenzi wa...
1 Reactions
11 Replies
886 Views
Wananchi wa Jimbo la SIHA wamemuomba Dr Mollel agombee tena Nafasi hiyo kwa 2025-2030 ili azidi kuleta maendeleo ikiwamo Mwendokasi
5 Reactions
33 Replies
1K Views
Wakuu! Kampeni za CCM zinaendelea kwa nguvu huku Salim Alaudin, mbunge wa jimbo la Ulanga kwa kipindi cha 2020/25 na mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia CCM, Agosti 29, 2025. amesema, "Mhe...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Monalisa ambaye kwasasa amevuliwa uwanachama na chama chake cha ACT amezidi kufunguka nakusema kitendo hicho chama chake kimefanya utoto huku akitoa siku mbili barua hiyo iweze kukanushwa
1 Reactions
4 Replies
507 Views
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuimarisha zaidi huduma za kijamii katika Jimbo la Chamwino ikiwa...
1 Reactions
2 Replies
528 Views
Wakati Jon mrema na wenzake wako bize na press conference baada ya kuondoka chadema niliwashangaa sana Kwanini nasema hivi siasa ni imani ambayo unatakiwa uwajengee wananchi kwa mda mrefu na ina...
16 Reactions
13 Replies
1K Views
HAIJAPATAKUTOKEA #HAIJAPATAKUTOKEA🇹🇿KurayakwanzakwaSamiaHAIJAPATAKUTOKEA #HAIJAPATAKUTOKEA🇹🇿KurayakwanzakwaSamiaHAIJAPATAKUTOKEA #HAIJAPATAKUTOKEA🇹🇿KurayakwanzakwaSamiaHAIJAPATAKUTOKEA...
1 Reactions
2 Replies
224 Views
Waliondoka CHADEMA sasa hivi wamerejea tena….. 🤣 Baadhi ya wanachama wa chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) ambao awali walikuwa CHADEMA wamejivua uanachama wa chama hicho kutokana na changamoto...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe Polepole ni mtu aliyechanganyikiwa, anapaswa apewe dawa, amekuwa mtu anayeongea mambo hovyo hovyo, ni mtu ambaye anaongea mambo bila kutafakari ni...
9 Reactions
71 Replies
5K Views
Amani iwe nanyi wanabodi. Mwaka huu naenda kutimiza miaka 10 ya membership kwenye jukwaa hili kwa Id hii. Hata hivyo, kwa ujumla nina miaka mingine 4 nyuma ya 2015 ya membership nikiwa na id...
9 Reactions
8 Replies
856 Views
CCM waliponunua mabasi nilishangaa Sana, maana sikuelewa kama wanataka kuanzisha kampuni ya usafirishaji au vipi!? Kumbe wenyewe walijua kuwa wakati wa uchaguzi watahitaji kusomba watu na...
22 Reactions
59 Replies
3K Views
Chama cha Kijamii (CCK) kupitia mgombea wa chama hicho, David Mwaijojele, wakati wa uzinduzi wa kampeni kitaifa wa chama hicho zilizofanyika viwanja vya kwa Tesha, Wilaya ya Temeke jijini Dar es...
1 Reactions
4 Replies
454 Views
Back
Top Bottom