Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Njama za kumuua hayati JPM Makada wa CCM kuhusika na ufisadi. Mfano Angela Kiziga. Kuporomoka kwa maadili Wizi wa kura kupitia Inec na Nida Ukweli ni kuwa CCM imechafuka amidst election campaign
2 Reactions
16 Replies
805 Views
Wapendwa wanaJF, Kwanza niwaombe radhi kwa kukaa kimya kwa muda mrefu baada ya kutoa part II na kuahidi kuendelea kutoa part III ambayo ingekuwa ya mwisho. Ninajisikia vibaya kwa kukaa kimya...
107 Reactions
371 Replies
53K Views
Serikali ya Mkoa wa Simiyu, imetoa onyo kwa wanasiasa wanaotumia majukwaa ya kampeni kutoa lugha za kichochezi, kueneza chuki na kuwagawa wananchi kwa misingi ya itikadi, kabila au dini...
0 Reactions
0 Replies
228 Views
Na wanaoipalilia ikue kwa kasi ni hao hao CCM wenyewe. Uchaguzi wa mwaka huu hauna tofauti na wa miaka ya 1970, kipindi tunapiga kura za ndiyo na hapana. Huyo mwanamtandao mkuu ndiye atafanikisha...
7 Reactions
9 Replies
710 Views
Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania CHADEMA Watangaza Wiki ya Mashujaa wa Demokrasia Tanzania, Kilele Septemba 07 Chama kikuu cha upinzani Tanzania, CHADEMA kupitia uongozi wake imetangaza Septemba...
3 Reactions
9 Replies
668 Views
TAARIFA KWA UMMA KUAHIRISHWA KWA ZIARA YA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, ILIYOKUWA IFANYIKE NCHINI CUBA Havana, 07 Novemba, 2024 Wizara ya Mambo ya Nje...
15 Reactions
106 Replies
8K Views
Kutokana na report ya CAG ya mwaka 2025 hivi ndivyo mashirika ya Uma yanavyonufaika na 4R za Mh Rais wetu mpendwa. 1.TTCL wao wameona namna nzuri ya kunufaika na 4R za Mh Rais ni kupandisha hasara...
9 Reactions
27 Replies
1K Views
Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba ametumia dakika 127 sawa na saa 2 na dakika saba kuwasilisha Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2024/25 huku jina la Rais Samia Suluhu Hassan akilitamka mara 40. Dk...
6 Reactions
60 Replies
3K Views
Familia ya Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Daniel Chonchorio maarufu kama ‘Chox’, imemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati suala la kutoweka kwa mpendwa wao. Akizungumza...
0 Reactions
11 Replies
962 Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limesema December 12, 2024 katika kituo cha Polisi Chang'ombe, Temeke ilipokelewa taarifa ya kutafutwa na Familia yake Mtu aitwaye Daisle Simon Ulomi...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
BIHARAMULO KITOVU CHA KAMPENI ZA CCM KAGERA Hapa Balozi Dkt Emanueli John Nchimbi anasubiliwa kwa hamu kubwa Biharamulo ndio kitakuwa kituo kikuu cha kampeni cha Chama Cha Mapinduzi katika...
0 Reactions
4 Replies
370 Views
Katika historia ya siasa za Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa chama kilichotawala kwa zaidi ya nusu karne. Leo nikijaribu kujiweka katika viatu vya kiongozi wa CCM, ukweli ni kwamba...
14 Reactions
84 Replies
3K Views
Bendera ACT T-shirt CCM Vidole CHADEMA Watu CHAUMMA Pikipiki hizo mtajaza wenyewe
5 Reactions
10 Replies
660 Views
Unaweza kumhukum Bure huyu mtu ila ukijua kwamba uwezo wake wa kufikiri umeishia kuule kwenye ukarani na washauri wake ndo wanamwendesha namna hiyo akiwa kitini basi utapunguza kumuhukumu . Hebu...
1 Reactions
0 Replies
340 Views
Kabla ya kuja kwa waarabu kuleta dini ya Kiislamu na wazungu kuleta Ukristo Tanzania, mababu zetu walikuwa wana mtazamo tofauti na wa hizi dini kuhusu maisha baada ya kifo. Wao waliamini kuna...
3 Reactions
3 Replies
587 Views
GT Nikikaa nafikiria ulegelege wa vyombo vya ulinzi na usalama awamu hii mwili huwa unakufa ngazi kabisa. Jamani au na Wao wamejiunga na MACCM Kuiba rasilimali za nchi hii. Hapa Hayati Magufuli...
7 Reactions
38 Replies
2K Views
wakuu ====== Ndugu yetu Mdude amefikisha siku 42 tangu alipotekwa akiwa nyumbani kwake mbeya na watu wasiojulikana, cha ajabu ni kwamba hakuna jitahada zozote ambazo zinaendelea za kumtafuta...
0 Reactions
3 Replies
320 Views
Amin nawaambia mwenge wa uhuru ni silaha kubwa sana inayotuangamiza watanzania. Moto wa mwenge ukiwaka na mavumba huwa yanafukizwa mule na kununiwa maneno fulani kutupumbaza watanzania Kila kata...
3 Reactions
3 Replies
428 Views
1 Ni ukweli tulikiuka katiba yetu wenyewe kwenye kuteua Mgombea wetu pale Dodoma. Ila tujikaushe tu hili nalo lipite 2. Tukisema tunarudia mchakato aisee Itakua aibu Sana. Natanguliza shukrani...
9 Reactions
54 Replies
2K Views
Hiyo imetangazwa na DW radio ======== Tuzo ya Mo Ibrahim 2016 yakosa mshindi Wakfu wa Mo Ibrahim umetangaza kwamba hakutokuweko na mshindi wa tunzo yake uongozi bora barani Afrika kwa mwaka 2016...
5 Reactions
56 Replies
7K Views
Back
Top Bottom