"Regime Change" kwa Tanzania haiepukiki tena!

Common Folk

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2023
Posts
909
Reaction score
4,050
Na wanaoipalilia ikue kwa kasi ni hao hao CCM wenyewe. Uchaguzi wa mwaka huu hauna tofauti na wa miaka ya 1970, kipindi tunapiga kura za ndiyo na hapana.

Huyo mwanamtandao mkuu ndiye atafanikisha hili, maana mabosi zake huwa wanaangalia zaidi "People's Opinions" kuliko mambo mengine. Tukumbuke huyo mwamba hana upande na ni mwiko taswira yake kuchafuka.

Kwa kuwa CCM wamelewa madaraka, hawataki kufanya upembuzi wa mambo kiuyakinifu, watakuja kukumbuka shuka kukiwa kumeshakucha.

20250901_195229.jpg
 
Na wanaoipalilia ikue kwa kasi ni hao hao CCM wenyewe. Uchaguzi wa mwaka huu hauna tofauti na wa miaka ya 1970, kipindi tunapiga kura za ndiyo na hapana.
Umetumia 'Title' kubwa kuliko ulivyo itendea haki kuijengea hoja.

Ninakubaliana na taarifa inayobebwa na hiyo 'heading' uliyo ttumia bila ufafanuzi wa kina juu yake.

Lakini kilicho nifanya ni-'quote' huo mstari hapo juu ni upotoshaji unao elezea mfano wa hali ya sasa na ile ya miaka ya 1970's.
Hakuna mfanano wowote, hata ukichukulia kutokuwepo na vyama vingine vya ushindani wakati huo

Sasa hivi tunaona maigizo ya Kampeni; wakati ule hapakuwepo na maigizo; lakini ilikuwa ni kampeni iliyo eleweka na wananchi
Kampeni hii ya leo ni kufunika uhalifu ulio andaliwa kufanyika kuhalalisha haramu. Wakati ule hapakuwepo na kitu kama hicho.
WaTanzania tunalazimishwa kukubali utawala kwa nguvu bila ya mjadala wowote; wakati ule kulikuwepo na mihadhara ndani ya chama na hoja zilizungumziwa; sasa hivi hakuna hoja; bali ni "utaratibu ulio zoeleka", maneno yanayotumika kilaghai kuhalalisha uovu.

"Regime change" unayo iongelea haitatokea kwa sababu tu waTanzania hawaridhiki na uongozi mbovu; lakini pia kwa dhaarau kubwa wanayo fanyiwa.

Miaka ya 70 unayo izungumzia; kulikuwepo na chama na uongozi ulio aminiwa na wananchi; siyo Genge la watu (wahuni) wanaofanya kila aina ya uchafu ndani ya nchi yetu.

Kwa hiyo, kuna tofauti kubwa ya mlinganisho wa wakati huu wa sasa. na wakati ule; hata ukiachilia mbali mageuzi ya nyakati yaliyokwisha tokea.
 
Na wanaoipalilia ikue kwa kasi ni hao hao CCM wenyewe. Uchaguzi wa mwaka huu hauna tofauti na wa miaka ya 1970, kipindi tunapiga kura za ndiyo na hapana.

Huyo mwanamtandao mkuu ndiye atafanikisha hili, maana mabosi zake huwa wanaangalia zaidi "People's Opinions" kuliko mambo mengine. Tukumbuke huyo mwamba hana upande na ni mwiko taswira yake kuchafuka.

Kwa kuwa CCM wamelewa madaraka, hawataki kufanya upembuzi wa mambo kiuyakinifu, watakuja kukumbuka shuka kukiwa kumeshakucha.

View attachment 3461572
Nchi imeshauzwa hii
 
H

akyanani! Hadi PM ananyenyekea? Huyu Rosti tamu la Aziz kweli ndiye mmiiki wa hii nchi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom