Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Samia ni Rais mstaarabu, ana uwezo ila uswahili unamgharimu. Mawaziri km Abdallah Ulega, Makame Mbarawa kinachowabeba ni uislam na uzanzibari, Makame ni aibu kumwita waziri tena wa Uchukuzi. Ulega...
19 Reactions
82 Replies
4K Views
Naona kuna kundi kubwa la chawa wanaanzisha threads kibao AGAINST POLEPOLE. The majority wamejiunga 22/8/2025 Dawa yao ni kuzi ignore. HAKUNA KITU KINAUMWA KAMA MTU KUWA IGNORED! Polepole...
26 Reactions
51 Replies
2K Views
Aliyekuwa Katibu Mwenezi, ACT-Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Monalisa Ndala amesema ameiomba Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ichukue hatua kali na za kinidhamu dhidi ya chama hicho kutokana...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Gwajima, Mpina na Polepole wote wanazo sifa zinazorandana. Wote ni wasukuma/wanyamwezi, ni waskristo na walipewa vyeo vikubwa na JPM (msukuma). Wanachosahau ni kitu kimoja kuwa ndani ya CCM na...
8 Reactions
90 Replies
4K Views
tusivchoke kuomba tutasikilizwa musa si mrefu
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Haya ni machache yaliyopo hadharani. Hatuyajui ya sirini. Sote tunaijua hadhi ya kuwa na passport yenyewe hadhi ya kidiplomasia. Huyu mfanyabiashara anapitisha biashara ngapi kwa kutumia pass ya...
28 Reactions
215 Replies
12K Views
Wakuu mimi Nimeshangaa kidogo,huyu mgombea ubunge huko mkoani lindi ameahidi kupatia wananchi uji. Hivi hawa wanasiasa wako serous kweli?
2 Reactions
9 Replies
492 Views
Lakini October tuka ✔️ Mali na fahari ni mambo ya muda mfupi sana, na sote tutapita. Hakuna kitakachobakia. Allah, tunaomba nusra zako. Waache uroho na ulafi, uwaamshe. Inaumiza kweli sana...
13 Reactions
49 Replies
3K Views
My Take Hii ilisababoshwa na uwekezaji wa kukurupuka wa Serikali na watu. Kiufupi real estate investment ni hasara kubwa. https://www.instagram.com/p/DNYGsfCpWvJ/?igsh=dHZxOXBkYXp2YTdp
5 Reactions
49 Replies
3K Views
Namna viongozi wa Anc na CCM wanavyobehave ni namna moja. Walijinyenyekeza kwa wananchi na kujionyesha kuwa wapo kwa ajili ya kutumikia wananchi wanyonge. Lakini kumbe ni watu wakusahau na waiba...
7 Reactions
55 Replies
3K Views
Mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema miongoni mwa ahadi za chama hicho kwa Watanzania endapo watapata ridhaa ya kuwatumikia, watakwenda kuuhusisha...
2 Reactions
51 Replies
3K Views
Naendelea kufuatilia ahadi mbalimbali za wagombea urais nchini kuelekea Uchaguzi mkuu wa Okt 2025 naona kuna shida nyingi sana kwa wagombea. Wengi hawajui mahitaji ya watanzania ni nini, maana...
3 Reactions
13 Replies
804 Views
Chadema mwaka 2005 ilikuwa inasafirisha wanachama wake kwa Mafuso kwenda kwenye mikutano ya Kampeni lakini Leo wanaumia roho wanaccm kutumia treni na Yutong kwenda mikutanoni Chadema msiwe na...
3 Reactions
59 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati (Makini), Ameir Hassan Ameir, amesema endapo wananchi watamchagua mgombea wa urais wa chama hicho, Coaster Kibonde, serikali yao itatoa bodaboda...
1 Reactions
3 Replies
284 Views
02 September 2025 CHONDE CHONDE POLEPOLE ASIJIBIWE ASEMA KIGOGO WA CCM https://m.youtube.com/watch?v=NqHXXRL3-bI Baada ya mazungumzo ya Humphrey Polepole kuwa gumzo na kufuatiliwa kuliko kampeni...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
CCM imezalisha vijana wa hovyo sana Sifahamu kama vijana wengi wa CCM wanalogwa ama vipi Kama suala ni Polepole kasema Uwongo, je hili la Tanzania kuipiku uchumi Marekani ni la kweli?
11 Reactions
23 Replies
1K Views
Kwa Mufti wa wenzetu kule, akina Takbiir!, unaweza kung'amua ni kwanini yupo kimya; ila kwa huyu wa kwetu, Mhashamu sana, Mkuu sana, kulikoni hasemi chochote? Mimi kwa kweli huwa naonaga picha...
11 Reactions
102 Replies
4K Views
Hamjambo! Pamoja na Polepole kubwa muasi katika genge analolituhumu kwa uhalifu na uharamu. Na simuamini Sana lakini anayoyaongea yanauzito na ukakasi Mkubwa. Kusema CCM ni majizi ya Kura huku...
6 Reactions
28 Replies
1K Views
"KILA KATA NITALETA MASHINE ZA PHOTOCOPY YA MITIHANI" kila kata 20 ambazo zinapatikana katika jimbo la mtumba mhe mtia Nia wa ubunge jimbo la Mtumba amesema kuwa "mwezi wa kumi na moja baada ya...
0 Reactions
4 Replies
360 Views
Back
Top Bottom