Misaada kutoka nje kugharamia uchaguzi ni hatari sana kwa uhuru wetu. Misaada yao inaambatana na maagizo na maellekezo kwetu juu ya nani achaguliwe na ukichaguliwa ufanye nini kwako na kwao...
Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa. Kama kwa nyakati hizi unaongelea kumwaga oil ya CCM na kupuuza utekaji, haki na demokrasia kwa ujumla wake utakosa watu wa kukusikiliza. CCM...
Pamoja na tofauti za kisiasa: Rostam Aziz ni mfanyabiashara mzuri!. Ubia wake na Vodocom ambao ndiyo umempa pesa nyingi sana ni wa wazi na wa muda mrefu. Hivyo tusije tukamweka kama vile kila kitu...
Akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam leo, Alhamisi Septemba 04.2025 Mbunge wa zamani wa jimbo la Kilwa Kusini Selemani Saidi Bungara (Bwege) amesema
"Hata serikali ya CCM, humsikii...
Anasema yeye Diamond Platinumz, Ommy Dimpoz, Marioo na Jux wanafanya kazi hawapewi pesa za bure.
Amesahau siku chache tu zilizopita walikodiwa ndege binafsi kwenda Nigeria kwenye harusi ya Jux...
Amesema Polepole:
1. Kwamba akimbagaza Baba wa Taifa, lilipobumburuka alitimua mbio asiongee tena naye hadi kifo chake?!
2. Kwamba hajui kuwa kwenye vyama hayupo muhimu au mzito kuliko wengine...
Vijana wengi waliingia kwenye siasa kipindi cha huyu mzee JK ameshika mkono vijana wengi. Hata huyu Polepole anayewepa furaha sasa hivi kamtengeneza JK Mnyonge Mnyongeni haki yake Mpeni.
Wasalaam.
Yuko wapi Mdude Nyangali? Ni kweli mmesahau yaliomkuta au mmeamua kujizima data na kuungana na wadhalimu?
Au ndo ile slogan kifo ni kifo tuu.?
Ili kuthibitisha kuwa mikutano ya CCM inajaa, ingefaa tuone na mikutano ya CHADEMA. Hapo ndo tungejua kuwa mikutano ya CCM haina watu.
Nilihudhuria ufunguzi wa mkutano wa CCM mahali. Kwenye picha...
Hizi stories za michongo ya Rostam toka zilivyo anza kupata umaarufu mkubwa zaidi miaka ya 2000s nchini Tanzania zinanikumbusha jambo moja kumuhusu Jack Ma.
Jack Ma tajiri mmoja hivi toka alikuwa...
Sulemani Saidi Ally Bungara, maarufu kama Bwege, ni mmoja wa wanasiasa wa Tanzania waliotambulika kwa ucheshi, ujasiri, na kauli zenye msisimko. Akizungumza na waandishi wa habari katika nyakati...
Tuna haki ya kuhoji: Mtu huyu ana rekodi chafu na ana kesi nchini Afrika Kusini lakini jana amebainisha mwenyewe kuwa alikuwa nchini, saa chache kabla ya Harambee ya CCM.
Hapa kuna ujumbe gani kwetu?
Wakuu,
Juzi Azam walifuta ile post ya CV ya mgombea Urais CCM tukasema sawa labda itakuwa kulikuwa na makosa
Leo mida ya asubuhi walipost kwamba watafanya mahojiano na Rostam pale UTV naona na...
Kwamba watanzania mpo tayari kumchagua mgombea wa CCM ambaye yupo pamoja na mafisadi
Kwamba watanzania ni wajinga na wapumbavu. Mnalipa kodi huku wahuni wanazipora kiulaini huku nyie mnahangaika...
Nimesikiliza mara nyingi hotuba za Mheshimiwa Polepole, na nimejiridhisha pasina shaka kwamba huyu ndugu ni Mkristo, tena aliyebobea katika ujuzi wa Biblia.
Katika hotuba zake anazoziwasilisha...
Timu za watu wanaotukana mtandaoni na kuchapisha matisheti mtoto wa Rais Samia bwana Abduli ndiye anayehusika na mtu atakayebisha nitawatajia kwa majina, ofisi walipo, vilipo viwanda vya...
Katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Jimbo la Buchosa, mgombea Eric Shigongo, Septemba 3, 2025 ameeleza namna ambavyo serikali imefanikisha maboresho ya miundombinu mbalimbali na kutatua...
Baadhi ya Viongozi wa nchi hii siyo tu kwamba wanaonekana kuelewa madaraka na uchawa, bali Sasa wameanza kukufuru.
Mmoja wao ni Profesa Kabudi. Huyu anajua baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere...
Dkt. Samia Suluhu Hassan mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema Serikali itaajiri wahudumu wa afya 5000 ndani ya siku 100 ili kuboresha utoaji wa huduma za afya nchini.
Dkt...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.