Kama mtu una shida na shida hiyo ikatafutiwa ufumbuzi, kuna haja gani kwa mtu mwingine kuja kukuambia kuwa shida yako imepatiwa ufumbuzi?
Kama Kijiji hakina maji maji yakipatikana wanakijiji...
CHAUMMA yazidi kugawanyika vipande, vipande wengine watangaza kurudi CHADEMA wadai Chama hicho ni cha Mchongo.
Soma > Waliohamia CHAUMMA warudi CHADEMA na kuomba viongozi wawapokee
JWTZ mna jukumu la kuilinda na kuitunza Katiba ya JMT, kikatiba wananchi Wana haki ya kuchagua chama wakitakacho na mtu ana haki ya kuchagua chama anachotaka kugombea.
Kitendo Cha CHADEMA...
Watu wanaamini kwamba tarehe 29 Oktoba,wataandamana watabeba bakora,watarusha mawe, halafu eti watazuia Uchaguzi.
Watu wanaongea kuhusual maandamano,kuhusu civil disobedience; tutarudi kule kule...
Juhudi kubwa zimefanyika ili wananchi na wana CCM Tarime kumkubali Esther Matiko lakini zimeshindikana.
Vilanza vitisho toka kwa Mkuu wa Wilaya dhidi ya watu walioandamana kupinga uteuzi wa...
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha Wakulima (AAFP) Said Soud, amekiaasa chama cha ACT Wazalendo kuacha kuhamasisha fujo kwa kisingizio cha kura ya mapema kwani kufanya hivyo ni...
Mwaka Jana mwezi Juni, Mchg. Mtikila alitoa tuhuma ambazo hazikupewa uzito unaostahili. Hata hivyo habari za hivi karibuni na uchunguzi huru uliofanyika unatupa sababu ya kuamini kuwa kuna kitu...
Kwa wahenga tunafahamu matatizo yaliyotokana na uongozi dhaifu wa JK.
Rais Kikwete alipoingia madarakani, alipendwa sana, na wengi wakawa na matumaini ya uongozi bora. Ilitokana na matamshi yake...
Jamaa statements zake nyingi zinamtoka sio za moyoni kabisa. Hata alivyokuwa anaongelea swala la maridhiano unaona kabisa sio sauti yake huyu jamaa.
CCM mtandao unamtumia vibaya sana, yaani ni...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya ambaye pia ni mgombea wa nafasi ya ubunge Jimbo la Mbeya Mjini Mhe. Patrick Mwalunenge katika kuhamasisha makundi mbalimbali wajitokeze kwenye...
Ukiwa rais, hata mbwa wako anakuwa rais wa mbwa wote. Ukiwa rais, hata kuku wako anakuwa rais wa kuku wote, ukiwa rais, kila kitu kwa watu wako kinakuwa rahisi.
Ukiwa rais, hata gari lako ni...
Nitatoa sababu kuu chache tu.
Ma activists wa maandamano hayo wako nje ya nchi.
Hakuna atakayethubutu kwenda kituo chochote cha polisi kuomba kibali, au hata tu kutoa taarifa kuwa tarehe 29...
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu amesema Watanzania wanapaswa kukichagua chama hicho kwakuwa kinajali utu wa wananchi.
Soma pia: Kazi na utu, elewa...
Ndio fasheni sasa,kila baya kusema kalifanya abduli.Kuna watu wala hawamjui lakini watakuambia kuwa kapita hapa abduli na kabaka ng'ombe
Acheni hizo fanyeni kazi,mtakufa na kihoro
Katiba ya JMT inasema mamlaka ya mwisho yako mikononi mwa Wananchi
Katiba ya JMT inasema Rais akishachaguliwa hawezi kushtakiwa kwa jambo lolote anapotekeleza majukumu yake
Rais ndiye mteuzi...
Kuelekea kilele cha maadhimisho kuwakumbuka mashujaa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Septemba 7 mwaka huu, Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Victoria Ezekiah Wenje, amesema watu wote...
CHADEMA ni chama cha kishujaa, chama ambacho kitadumu milele duniani. Hii sio propaganda, ni historical inevitability. Spirit yake haiwezi kufutwa, haikatakaa kife.
CCM, mnadhani kuzuia...
Kila mwaka wa uchaguzi, tunaahidiwa miujiza – shule mpya, ajira kwa vijana, hospitali kila kata… lakini ikishapita miaka miwili, hakuna hata kokoto moja iliyosogezwa. Na wananchi tunaambiwa...
Hii nchi ina vituko sijawahi kuona.
CCM inasumbua watu sana huku matawini.
As I speak, Nimeshangaa Nimekutana na wanafunzi wameagizwa wafuate vitambulisho vyao vya kura majumbani, wawapelekee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.