Mama Naa
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 923
- 2,168
JWTZ mna jukumu la kuilinda na kuitunza Katiba ya JMT, kikatiba wananchi Wana haki ya kuchagua chama wakitakacho na mtu ana haki ya kuchagua chama anachotaka kugombea.
Kitendo Cha CHADEMA kuzuiliwa kushiriki uchaguzi ni kuwanyima wananchi haki Yao ya kikatiba hivyo ni kosa Chadema kunyimwa hiyo fursa.
Embu fikirieni watanzania karibu milioni 8 hawatashiriki uchaguzi Kwa sababu tu CCM wameamua Chadema kisishiriki uchaguzi.
JWTZ tunajua tangu TANU ninyi ni CCM au mnavinasaba vya CCM lakini Kwa hili jaribuni kusimama na nchi.
BRAVES ARE THE ONES NOT ONLY PROTECTING OUR BORDERS BUT OUR FREEDOM...JWTZ FANYENI KITU.
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app