Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linawashikiliwa watuhumiwa 18, akiwamo Katibu Mwenezi wa Baraza la Vijana Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Felius Kinimi, wakituhumiwa...
4 Reactions
13 Replies
852 Views
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kilimanjaro aliyemaliza muda wake na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ester Njau, amefika katika Jimbo la Hai na kuzungumza na wananchi wa jimbo hilo lililopo...
1 Reactions
12 Replies
706 Views
Ufisadi ni kansa inayoyatafuna mataifa ya kiafrika ikiwemo Tanzania. Fikiria fedha zilizoibiwa kupitia Kagoda, Escrow na hata hizi anazotuhumiwa Angela Kiziga. Zisingibwa na wahuni wa CCM...
2 Reactions
21 Replies
806 Views
Kuna video yaani picha mjongeo ikimuonyesha mlinzi wa rais akianguka na kupiga kichwa chini Jambo la ajabu watu wanafurahia mitandaoni kana kwamba ni jambo zuri Chuki za kisiasa zimekithiri!?
14 Reactions
70 Replies
6K Views
Nauliza tu maana hakuna anayeikosoa CCM akiwa hadharani labda yule mchagga tu Mchungaji Malisa Sasa kwanini kama ni Ukweli utolewe huku Watoaji Ukweli huo wamejificha? Ni hilo tu Mlale unono...
4 Reactions
24 Replies
979 Views
Jesca Popote utaposimama na ukaona watu wamekushangalia sana, sababu ni Legacy aliyoacha JPM Usije kulewa kesho ukaja kuwadharau hawa maskini, ukipata ridhaa simamia kile baba ako alikisimamia...
14 Reactions
56 Replies
3K Views
SIRI za baadhi ya vigogo Serikalini zilizofichwa kwa muda mrefu sasa zimeanza kuibuka huku kukiwa na taarifa zinazodai kuwa kundi la mahasimu wa kisiasa wa vigogo hao limepanga kutumia siri hizo...
14 Reactions
92 Replies
5K Views
Ndugu zangu watanzania, Tarehe 8/9/2025 ndo WATANGANYIKA tunaanza harakati za ukombozi huru wa taifa letu. Kama wewe kijana mpenda nchi yako tukutane mahakamani siku hiyo kwenda kumpa sapoti na...
12 Reactions
25 Replies
2K Views
Wiki moja imepita tangu pazia la kampeni za urais na ubunge kufunguliwa rasmi Agosti 28, 2025, lakini chama cha NCCR-Mageuzi hakijaonekana kuanza mikutano yake ya kampeni. Katika ratiba ya...
0 Reactions
3 Replies
375 Views
Narudia tena hakuna hatari kubwa kiusalama Kama watu kuzibwa midomo. Hakuna hatari kubwa Sana kwenye usalama wa Taifa Kama watu kukosa platform na kuanza kuwasiliana kwa code. Mlianza na...
15 Reactions
32 Replies
2K Views
Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ADA TADEA, Juma Ali Khatib amesema Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi amefanya mambo kubwa hivyo anafaa...
0 Reactions
1 Replies
321 Views
Jina: Al-HAJJ NOURDIN MUSHI. Ametekwa jana 05/September/2025 majira ya saa moja jioni. Imeripotiwa: RB No:- MBN/RB/2209/2025 Kituo cha polisi Mbweni. Mwenye taarifa awasiliane na namba:-...
1 Reactions
3 Replies
763 Views
Ndugu zangu Watanzania, Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Philipo Mpango ameweza kufika na kutoa pole na mkono wa faraja kwa Waziri wetu wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed...
12 Reactions
230 Replies
12K Views
Hii ilikuwa tarehe 15 June 2015, katika nyakati ambazo joto la uchaguzi mkuu katika kiti cha URAIS lilikuwa limepanda Sana. Macho, masikio, pua na mdomo vilielekezwa kwa Hayati John Magufuli na...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Shirika la Vijana na Wanawake Tanzania (TAFEYOCO) limewataka wananchi kutumia mitandao ya kijamii kwa uangalifu na kwa manufaa, ili kudumisha amani na utulivu kuelekea Uchaguzi wa Madiwani...
0 Reactions
0 Replies
205 Views
Hii serikali awamu 6 ambayo inafanya kila kitu. Mpaka Prof Kabudi anasema Mama anafanya yale ambayo Nyerere alitamani kuyafanya Mama anajaza mikutano yake. Leo hii wanaogopa wakosoaji wa JF...
1 Reactions
13 Replies
494 Views
TAARIFA KWA UMMA Msafara wa viongozi wa BAVICHA Taifa na Kanda ya Kaskazini, ukiwa njiani kuelekea nyumbani kwa familia ya akina SOKA kama sehemu ya kuenzi mashujaa wetu, umekumbwa na vizuizi...
0 Reactions
0 Replies
209 Views
Kule FB wamesafisha hutaona comment za no reform no election tena ni mwendo wakujisifia tu. Ukiposti maswala ya no reform no election unafutwa chapu sana. Sasa kampeni mnafanya ili mshindane na...
5 Reactions
5 Replies
472 Views
Back
Top Bottom