Nadhani Mzee Wassira atamjibu Polepole

Nadhani Mzee Wassira atamjibu Polepole

6BB37E2C-44B6-4BC1-8105-02BC87DE66A4.jpeg
 
Akimjibu wakaanza kujibizana huku mgombea wa ccm akiendelea na selfie na wananchi ndo ntaamini inawezekana Polepole ni project ya kutupia mbwa wenye njaa nyama wawe busy. Maana nilikuwa najiuliza, Polepole asingeibuka nini kingekuwepo?
 
Hasa kuhusu yeye kwenda Mwitongo nyumbani kwa baba wa taifa mwalimu Nyerere na kusababisha Vurugu

Muda utaongea

Ahsanteni sana 😄🙏
Kwa maelezo ya polepole alikuwa anaongea hk nyumban hajaacha ulinz mwl anamsikiliza,naona tangu wkt huo mzee amekuwa makini cku hz akiongea lazima ageuke kuchek km hakuna wa kudukua mazungumzo,,,,,,,
 
Hasa kuhusu yeye kwenda Mwitongo nyumbani kwa baba wa taifa mwalimu Nyerere na kusababisha Vurugu

Muda utaongea

Ahsanteni sana 😄🙏
1. Makongoro, Madaraka, Andrew na Mama Maria Nyerere,

2. Jaji Joseph Warioba na mzee Butiku wanasemaje kuhusu hilo la mzee wetu Wasira, Je ni kweli au ni uzushi?

Vipi kuhusu sehemu ambayo ni hifadhi ya wanyamapori ambayo inaenda hadi ziwa Victoria, je kusingekuwa na watu wanyama wetu wasingekuwa wakienda Kenya?

Vipi wanyama porini wangekuwa wanatumia ziwa Victoria kwa kipindi hiki faida zingekuwa zipi na hasara je ni zipi?
 
Kama anaweza kujibu ovyo alimjibu nyerere ovyo hivi hata weza kumjibu polepole labda hakujibu wewe
 
Back
Top Bottom