Wenje: Ambao bado wamebaki CHADEMA ni mashujaa

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,039
Kuelekea kilele cha maadhimisho kuwakumbuka mashujaa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Septemba 7 mwaka huu, Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Victoria Ezekiah Wenje, amesema watu wote ambao bado wapo ndani ya chama hicho ni mashujaa.

Soma pia: Tuhuma alizozitoa Wenje na majibu aliyoyatoa K/Mkuu John Mnyika, kwa nini Wenje bado ni mwanachama wa CHADEMA?

Screenshot 2025-09-04 002527.png

Ametoa kauli hiyo wakati akichangia kwa njia ya mtandao na Baraza la Kidigitali la chama hicho leo Septemba 2, na kuongeza kuwa tangu chama hicho kianzishwe kimepata madhila mengi yaliyofanya wengine kuhama , wengine kuwa walemavu na hata kupoteza maisha.

“Haya yaliyookea kwetu yanatokea nchi mbalimbali. Lakini kuna faraja kwa sababu hadi viongozi wa dini wanapinga mambo haya, watu wanaona ni faraja kwetu.”

Ameongeza kuwa serikali yoyote inayotumia nguvu nyingi kubaki madarakani iko mbioni kuanguka na kuwataka wanachama wa chama hicho kutokata tamaa.

“Kila familia ina kovu, hata mimi kuna kaka yangu aliuawa. Tufarijiane tusikate tamaa. Tukikata tamaa tutakuwa tunawasaliti wenzetu waliotangulia kama kina Alphonce Mawazo na Mdude walioacha watoto wadogo” ameongeza.
 
View attachment 3464617

Wazallendo wa kweli
 
Gz6_7geXQAA12GM.jpeg
 
Hongera kwake kuendelea kubaki ndani ya chama chao lkn je
1. Je baada ya uchanguzi wa Octomber Mbowe na baadhi ya watu wake ataweza kurudi madarakani kama alivyofanya Lipumba dhidi ya Cuf?

2. Wenje amebakia Chadema kwa kwa dhati au yupo kimkakati wa mtoto wa mjini mwanamtandao?
 
hii hapa
 
Attachments

  • EZEKIEL_WENJE_ATOA_MSIMAMO_HUU_KWA_KINACHOENDELEA_CHADEMA_NA_UCHAGUZI_MKUU(360p).mp4
    23.1 MB
Back
Top Bottom