Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tafiteni historian mzuri, actually awe historian wa chama. Aweke rekodi madhubuti ya madhura mnayopitia. Kwa.mfsno, mna.list ya watu waliouawa na ccm / serikali wakipigania uhuru wa TANGANYIKA? 2...
3 Reactions
3 Replies
126 Views
Tukishaikomboa hii NCHI, hawa TRA NAO tutawafumua , tutawashikisha Adabu. Wanaiba, wanajilimbikiza Maliz alafu wanakuja kupika Data, Kila Mwezi wanaonekana Makusanyo yamepanda. Kumbe ni uongooo...
8 Reactions
13 Replies
241 Views
Salaam! Yaliyotokea October 29,ujasiri ule wa wananchi kutoka kudai haki siku ya uchaguzi,inasemekana ilichangiwa na roho ya uzalendo aliyoipanda hayati Magufuli. Sasa tunaelekea March 17 siku...
2 Reactions
9 Replies
188 Views
Ndicho kilichobaki kwa watanganyika. Kaa mkao wa minyororo shingoni
1 Reactions
2 Replies
82 Views
Machawa wa mama wamekumbwa na nini? Mbona hawafanyi tena ile misifa yao mtandaoni? Ukimya huu unamaanisha nini?
6 Reactions
17 Replies
331 Views
Kiongozi mstaafu wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini (TAHLISO), ambaye pia ni mtoto wa marehemu Amina Chifupa, amewataka Watanzania kuweka pembeni ubinafsi na kuiamini Tume ya Uchunguzi...
3 Reactions
30 Replies
720 Views
Angalia picha ya Mke wa Boby wine akiwa amekaa kwenye sakafu huku akiwa chini ya ulinzi wa polisi. Hii ni kinyume na haki za kibanadamu na utu. Kwa nini Wanamchi wa Afrika mashariki wanafanywa...
2 Reactions
2 Replies
123 Views
Pamekua na magari machache ya Kimara Gerezani na Mbezi Gerezani tofauti na tunavyo aminishwa kwa picha za mabasi mtandaoni. Hali ya usafiri ni Mbayaaaaa, Mbezi Kimara hali ya Maji ni Mbayaaaaa...
1 Reactions
3 Replies
114 Views
Ukweli ni kwamba nchi yetu inahali ya kisiasa na kiuchumi mbaya sana.hali ambayo imesababishwa na uongozi mmbovu.tunaongozwa na viongozi waovu. Ili mambo...
1 Reactions
1 Replies
101 Views
DHAHABU: Wasemaji Wengi Wanasababisha Wakosoaji Wengi. Tabia ya kufichaficha mambo, inasababisha serikali kujikanyaga na kutoa matamko yanayokinzana. “Matamko-mgongano” yakiwa mengi, yanasababisha...
2 Reactions
3 Replies
270 Views
Mbunge wa Jimbo la Mchinga mkoani Lindi, Salma Kikwete amesema kuwa dunia inamtambua Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kazi kubwa ya kuwaletea maendeleo watanzania, akieleza kuwa jambo hilo...
4 Reactions
18 Replies
488 Views
Umeitwanna tume ya Chande jana. Tueleze ulihojiwa kujusu nini na what is your take home message from your casual observation ya tume yenyewe! Inclination yake ni ipi? Uliwahoji kwanini wanazima...
1 Reactions
1 Replies
128 Views
My Take Mojawapo ya sekta ambazo Serikali ya Samia imetoa msukimo mkubwa ni Kilimo.Soma Pre GE2025 - Rais Samia atimiza ahadi, amwaga Magari 20 ya kuchimbia Visima bure kwa Wakulima wadogo Hata...
2 Reactions
66 Replies
2K Views
Ukienda kila kwenye account ya social media ya vichwa wa CHADEMA wanajifanya kuchambua athari za nchi kuuza dhahabu. Ukiwauliza maswali madogo madogo tu hawana majibu. . Hawajui Tanzania tuna...
2 Reactions
27 Replies
337 Views
Mfano ni huyu kwenye YouTube audio video clip hii hapa Chini ya video hiyo, kwenye comment section, mdau mmoja aka komenti hivi, nikaipenda comment yake na nikaamua kushea nanyi kwa ajili ya...
8 Reactions
17 Replies
456 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika vijana wa Taifa hili wana kila sababu ya kumshukuru Rais Samia ,wana kila sababu ya kuendelea Kumuunga mkono ,wana kila sababu ya kumuombea Maisha marefu ,wana...
0 Reactions
83 Replies
845 Views
Jana nimeingia Mwanza na kupokelewa Airport ili niende niendako. Ajabu niliyokutana nayo ni baada ya kufika Pasiansi na kufuata barabara ya kuelekea Lumala hadi Kiseke. Barabara . Hii barabara...
3 Reactions
3 Replies
156 Views
Kuna taarifa kuwa polisi ambao wanaandaa mashitaka kuhusu kijana mwenzao anyetuhumiwa kwa mauaji ya Daudi Mwangosi wanapanga mbinu za kumnasua kijana huyo kwa kutopeleka mashahidi mhakamani baada...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Truth and reconciliation... Ukweli na maridhiano huletwa na haki na wajibu baada ya hapo ndio hupata matokeo ya tunda la amani Kuna kitu tunakilazimisha kifanyike hata kama hakiwezekani kabisa...
5 Reactions
39 Replies
420 Views
WAZIRI MKUU AHIMIZA MALEZI YA VIJANA KWA AJILI YA KUIMARISHA MAADILI NA MSHIKAMANO WA TAIFA ▪️Atoa tahadhari dhidi ya kuingiza mijadala ya kejeli katika masuala ya imani WAZIRI MKUU, Dkt...
1 Reactions
3 Replies
112 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…