Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

https://vm.tiktok.com/ZMAMVeYBo/
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Hii ni gari ya Mgombea Urais wa Upinzania kabla ya Rais Samia Siasa za Tanzania zimepitia vipindi vingi vya ushindani mkali, lakini haijawahi kushuhudiwa hatua ya kipekee kama ile iliyofanywa na...
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Na Mwandishi Wetu, Katika kongamano maalum kuhusu hali ya uchumi na mwelekeo wa Taifa kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, Bw. David Zacharia Kafulila, mchambuzi wa masuala ya Sera na uchumi ambae...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
https://www.youtube.com/live/75BCyq8wmtw?si=_JM6YbzjI4WT5SjH Habari Watanzania, naomba nifanye uchambuzi wa kina kuhusu Siasa za Tanzania. Historia ya Vyama Vingi Nchini Tanzania Kipindi cha...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
== Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya ukaguzi wa mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT) awamu ya tatu katika eneo la Mbagala jijini Dar es Salaam na kutoa maagizo ya kuharakisha maandalizi ili...
4 Reactions
14 Replies
801 Views
Tumsikilize leo anajambo gani Updates... Polepole anasema japokuwa hiki ni kipindi cha kampeni lkn Lumumba pamepoaaa na makao makuu ya ccm taifa pale Dodoma pia pamepoaaa!!! Harakati zinafanyika...
8 Reactions
54 Replies
4K Views
#Mchakato ndani ya CCM Warejewa # Gazeti la Jamhuri lahusishwa # Kauli za Membe zazua gumzo # Zanzibar kumbe ni Mtego # Matamko ya Vijana wa CCM ni shida # Kauli ya JPM Arusha yazua utata #...
11 Reactions
82 Replies
21K Views
Kama mtu una shida na shida hiyo ikatafutiwa ufumbuzi, kuna haja gani kwa mtu mwingine kuja kukuambia kuwa shida yako imepatiwa ufumbuzi? Kama Kijiji hakina maji maji yakipatikana wanakijiji...
4 Reactions
4 Replies
338 Views
CHAUMMA yazidi kugawanyika vipande, vipande wengine watangaza kurudi CHADEMA wadai Chama hicho ni cha Mchongo. Soma > Waliohamia CHAUMMA warudi CHADEMA na kuomba viongozi wawapokee
10 Reactions
34 Replies
2K Views
JWTZ mna jukumu la kuilinda na kuitunza Katiba ya JMT, kikatiba wananchi Wana haki ya kuchagua chama wakitakacho na mtu ana haki ya kuchagua chama anachotaka kugombea. Kitendo Cha CHADEMA...
8 Reactions
22 Replies
1K Views
Watu wanaamini kwamba tarehe 29 Oktoba,wataandamana watabeba bakora,watarusha mawe, halafu eti watazuia Uchaguzi. Watu wanaongea kuhusual maandamano,kuhusu civil disobedience; tutarudi kule kule...
3 Reactions
20 Replies
951 Views
Juhudi kubwa zimefanyika ili wananchi na wana CCM Tarime kumkubali Esther Matiko lakini zimeshindikana. Vilanza vitisho toka kwa Mkuu wa Wilaya dhidi ya watu walioandamana kupinga uteuzi wa...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha Wakulima (AAFP) Said Soud, amekiaasa chama cha ACT Wazalendo kuacha kuhamasisha fujo kwa kisingizio cha kura ya mapema kwani kufanya hivyo ni...
2 Reactions
2 Replies
270 Views
Hasa kuhusu yeye kwenda Mwitongo nyumbani kwa baba wa taifa mwalimu Nyerere na kusababisha Vurugu Muda utaongea Ahsanteni sana 😄🙏
3 Reactions
17 Replies
893 Views
Mwaka Jana mwezi Juni, Mchg. Mtikila alitoa tuhuma ambazo hazikupewa uzito unaostahili. Hata hivyo habari za hivi karibuni na uchunguzi huru uliofanyika unatupa sababu ya kuamini kuwa kuna kitu...
3 Reactions
242 Replies
38K Views
Kwa wahenga tunafahamu matatizo yaliyotokana na uongozi dhaifu wa JK. Rais Kikwete alipoingia madarakani, alipendwa sana, na wengi wakawa na matumaini ya uongozi bora. Ilitokana na matamshi yake...
18 Reactions
118 Replies
4K Views
Jamaa statements zake nyingi zinamtoka sio za moyoni kabisa. Hata alivyokuwa anaongelea swala la maridhiano unaona kabisa sio sauti yake huyu jamaa. CCM mtandao unamtumia vibaya sana, yaani ni...
8 Reactions
8 Replies
867 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya ambaye pia ni mgombea wa nafasi ya ubunge Jimbo la Mbeya Mjini Mhe. Patrick Mwalunenge katika kuhamasisha makundi mbalimbali wajitokeze kwenye...
2 Reactions
4 Replies
524 Views
Ukiwa rais, hata mbwa wako anakuwa rais wa mbwa wote. Ukiwa rais, hata kuku wako anakuwa rais wa kuku wote, ukiwa rais, kila kitu kwa watu wako kinakuwa rahisi. Ukiwa rais, hata gari lako ni...
2 Reactions
2 Replies
535 Views
Nitatoa sababu kuu chache tu. Ma activists wa maandamano hayo wako nje ya nchi. Hakuna atakayethubutu kwenda kituo chochote cha polisi kuomba kibali, au hata tu kutoa taarifa kuwa tarehe 29...
7 Reactions
43 Replies
2K Views
Back
Top Bottom