Ajenda ya lishe kwa chama Cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA inatajwa kuwa ajenda ya kimkakati katika kuchagiza lishe Bora,akizungimza na wananchi wa kata ya Ngerengere Mkoani Morogoro wakati wa kampeni...
Kada wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa zamani wa jimbo la Kilwa Kusini Selemani Saidi Bungara (Bwege) amesema anaamini kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kiko sahihi...
Polepole amesema kuwa amekutana na mshauri mmoja ambaye anampenda sana Rais Samia, na kwamba wakati wote wa majadiliano yake, yeye Polepole alipotaka kuzielekeza lawama zake kwa Samia, huyo...
Ikumbukwe kwamba ni jana tu Mahakama hiyo ilipanga Kesi hiyo kuendelea tarehe 12/09/2025, Cha ajabu ni kwamba leo kesi hiyo imerudishwa nyuma hadi tarehe 8/09/2025.
Hakuna sababu yoyote...
Ukitaka kumtoa nyoka pangoni wewe mwaga petroli tu au mafuta ya taa. Hata awe mkubwa kiasi gani lazima atatoka tu.
Mmoja kati ya watu wanaoonja shubiri za Mdunguaji kutokea mafichoni ni chips...
Yule mdunguaji, ambaye anawadungua Kunguru na Makinda yao akiwa kusikojulikana, jana amempopoa 'Tyson' kuwa eti kwenye kazi yake ya kusaidia kubeba kiti, alipigiwa chapuo na mtu mumoja ambaye hata...
Kwa nini masikini wengi katika nchi hii, wengi wao ni wale wapenda CCM?
Mapagala mengi ya wananchi masikini, ndio yaliyojaa bendera za CCM mijini mpaka vijijini cha ajabu ni kwamba, wana CCM...
Mapokezi ya Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Doyo Hassan Doyo, leo Septemba 4, 2025 alielekea katika Viwanja vya Stendi ya Pangani, jijini Tanga, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa...
Baadhi wanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (#CHAUMMA) kutoka Jimbo la Segerea wakielezea jinsi walivyorubuniwa na mmoja wa viongozi wa Chama hicho ili waonekane kama wamejiondoa kwenye chama...
Chama cha TANU ni chama kilichosaidia sana katika harakati za kuikomboa nchi yetu katika makucha ya ukoloni chini ya Uongozi madhubuti wa Hayati Julius K. Nyerere.
Malengo makubwa ya chama hiki...
Kuzaliwa kwa mtoto inapaswa kuwa tukio la furaha kwa familia na jamii nzima badala ya huzuni hasa pale inapotokea kupoteza mtoto, mama au wote kwa pamoja.
Tunaendelea kuifanya kazi ya kuboresha...
Ukarabati wa MV Tanga Kuimarisha Huduma za Usafiri Baharini kwa Wananchi.
Akiongea na wanahabari mkuu wa mkoa wa Tanga Balozi Dkt Batilda Buriani amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa...
==
Akiongea na wanahabari, Katika Sekta ya Huduma ya Maji Mijini na Vijijini, jumla ya Tshs bilioni 184.8 zimetolewa kwa ajili ya kuboresha upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama, ambapo...
Katika Nzengo yetu hususani kule juu wamo wateule wengi ambao wanaumizwa na hali ya mambo ilivyo sasa kwenye Kampuni ya walima.mboga mboga na kwenye Nzengo kwa ujumla.
Wamo wengi wanaounga...
Mgombea Mwenza wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amemtaka aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpiga kurejea CCM haraka.
Hivyo, amewaagiza wananchi wa Kisesa mkoani...
Wasanii Diamond Platinum, Rayvany na Ommy Dimpoz wamekuwa kivutio katika mkutano wa kampeni za chama cha Mapinduzi (CCM) zinazofanyika mkoani Mbeya.
Soma pia: Rais Samia kugawa bahasha kwa...
Mheshimiwa Polepole, kuna clip nimeiona mahali, ulikuwa unafundisha kwa makini sana masuala ya imani ya kikristo. Ulifundisha kwa weledi mkubwa kiasi kwamba waliokuwa wanakusikiliza walikuelewa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.