Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimesikiliza mara nyingi hotuba za Mheshimiwa Polepole, na nimejiridhisha pasina shaka kwamba huyu ndugu ni Mkristo, tena aliyebobea katika ujuzi wa Biblia. Katika hotuba zake anazoziwasilisha...
4 Reactions
71 Replies
3K Views
Timu za watu wanaotukana mtandaoni na kuchapisha matisheti mtoto wa Rais Samia bwana Abduli ndiye anayehusika na mtu atakayebisha nitawatajia kwa majina, ofisi walipo, vilipo viwanda vya...
12 Reactions
34 Replies
2K Views
Katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Jimbo la Buchosa, mgombea Eric Shigongo, Septemba 3, 2025 ameeleza namna ambavyo serikali imefanikisha maboresho ya miundombinu mbalimbali na kutatua...
1 Reactions
1 Replies
221 Views
Baadhi ya Viongozi wa nchi hii siyo tu kwamba wanaonekana kuelewa madaraka na uchawa, bali Sasa wameanza kukufuru. Mmoja wao ni Profesa Kabudi. Huyu anajua baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere...
0 Reactions
0 Replies
220 Views
Dkt. Samia Suluhu Hassan mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema Serikali itaajiri wahudumu wa afya 5000 ndani ya siku 100 ili kuboresha utoaji wa huduma za afya nchini. Dkt...
3 Reactions
12 Replies
989 Views
Ajenda ya lishe kwa chama Cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA inatajwa kuwa ajenda ya kimkakati katika kuchagiza lishe Bora,akizungimza na wananchi wa kata ya Ngerengere Mkoani Morogoro wakati wa kampeni...
2 Reactions
13 Replies
520 Views
Kada wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa zamani wa jimbo la Kilwa Kusini Selemani Saidi Bungara (Bwege) amesema anaamini kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kiko sahihi...
11 Reactions
31 Replies
2K Views
Polepole amesema kuwa amekutana na mshauri mmoja ambaye anampenda sana Rais Samia, na kwamba wakati wote wa majadiliano yake, yeye Polepole alipotaka kuzielekeza lawama zake kwa Samia, huyo...
9 Reactions
27 Replies
2K Views
Ikumbukwe kwamba ni jana tu Mahakama hiyo ilipanga Kesi hiyo kuendelea tarehe 12/09/2025, Cha ajabu ni kwamba leo kesi hiyo imerudishwa nyuma hadi tarehe 8/09/2025. Hakuna sababu yoyote...
8 Reactions
29 Replies
2K Views
Nauliza tu maana naona kama Wagombea Ubunge wamekuwa na kiburi cha ghafla baada ya kufaulu Kura za maoni Au nasema uongo ndugu zangu? 😂
1 Reactions
11 Replies
462 Views
Wakuu Wanachama wa CCM wameandamana huko Sirari Tarime hadi Kituo cha Polisi wakitaka diwani wao Sinda Geteba aliyetekwa aachiliwe. Soma > SIRARI -Tarime wananchi waandamana Diwani ambaye...
3 Reactions
3 Replies
625 Views
Ukitaka kumtoa nyoka pangoni wewe mwaga petroli tu au mafuta ya taa. Hata awe mkubwa kiasi gani lazima atatoka tu. Mmoja kati ya watu wanaoonja shubiri za Mdunguaji kutokea mafichoni ni chips...
3 Reactions
8 Replies
623 Views
Yule mdunguaji, ambaye anawadungua Kunguru na Makinda yao akiwa kusikojulikana, jana amempopoa 'Tyson' kuwa eti kwenye kazi yake ya kusaidia kubeba kiti, alipigiwa chapuo na mtu mumoja ambaye hata...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa nini masikini wengi katika nchi hii, wengi wao ni wale wapenda CCM? Mapagala mengi ya wananchi masikini, ndio yaliyojaa bendera za CCM mijini mpaka vijijini cha ajabu ni kwamba, wana CCM...
17 Reactions
52 Replies
2K Views
Mapokezi ya Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Doyo Hassan Doyo, leo Septemba 4, 2025 alielekea katika Viwanja vya Stendi ya Pangani, jijini Tanga, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa...
0 Reactions
1 Replies
425 Views
Baadhi wanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (#CHAUMMA) kutoka Jimbo la Segerea wakielezea jinsi walivyorubuniwa na mmoja wa viongozi wa Chama hicho ili waonekane kama wamejiondoa kwenye chama...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Chama cha TANU ni chama kilichosaidia sana katika harakati za kuikomboa nchi yetu katika makucha ya ukoloni chini ya Uongozi madhubuti wa Hayati Julius K. Nyerere. Malengo makubwa ya chama hiki...
2 Reactions
117 Replies
42K Views
Kuzaliwa kwa mtoto inapaswa kuwa tukio la furaha kwa familia na jamii nzima badala ya huzuni hasa pale inapotokea kupoteza mtoto, mama au wote kwa pamoja. Tunaendelea kuifanya kazi ya kuboresha...
5 Reactions
11 Replies
845 Views
Ukarabati wa MV Tanga Kuimarisha Huduma za Usafiri Baharini kwa Wananchi. Akiongea na wanahabari mkuu wa mkoa wa Tanga Balozi Dkt Batilda Buriani amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa...
5 Reactions
43 Replies
2K Views
== Akiongea na wanahabari, Katika Sekta ya Huduma ya Maji Mijini na Vijijini, jumla ya Tshs bilioni 184.8 zimetolewa kwa ajili ya kuboresha upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama, ambapo...
4 Reactions
47 Replies
1K Views
Back
Top Bottom