Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

https://www.youtube.com/live/Tg4xJr-XGag?si=qkV33iiPHQZYvpad Na. Mwandishi wetu. Katika mjadala wa kitaifa uliofanyika kwenye Jukwaa la Wachambuzi, David Kafulila – Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia...
5 Reactions
55 Replies
3K Views
Kuna kila dalili kuwa Balozi Dkt Emanueli John Nchimbi ndio kiongozi anayesubiliwa kwa hamu kubwa jimboni biharamulo magharibi mwaka huu Maandalizi ni makubwa haijawahi kutokea hapo kabla magari...
1 Reactions
3 Replies
294 Views
Huo ndio ukweli walau akina ASAS walijulikana ni Waarabu lakini hawa wengine walikuwa wanaitwa Wamanga na walikuwa daraja la 3 sawa na Waafrika Wamanga walipambana sana kujikwamua na Hatimaye...
3 Reactions
13 Replies
679 Views
https://www.youtube.com/live/oKhmY026yws?si=5-O75s2JdtUZjczD Angalia hii Live yanayoendelea Songwe-MLOWO Leo, macho na masikio ya Watanzania yameelekezwa Mkoani Songwe...
3 Reactions
52 Replies
2K Views
Chama tawala malawi uwa wanaogopa Sana wananchi kuelimika wanaogopa mnoo! Viongozi walioko madarakani na waliostaafu nao pia waoga sana Chama chao kutoka madarakani Kwakuwa makaburi ni mengi...
53 Reactions
95 Replies
6K Views
Mwenye nyumba ya Malawi alikuwa katili sana na mbaya zaidi hata wale vijana wake wa shambani walikuwa hawamsikilizi msaidizi wa kazi za ndani! Kwakuw msaidizi wa kazi za ndani alikuwa kashalalwa...
75 Reactions
179 Replies
17K Views
Huyu ni makamu mwenyekiti akiandika ktk X Twitter page yake "........Nimepata taarifa na siwezi kuzipuuza. Kwamba hawa jamaa wanaandaa mbinu ikiwemo kushambulia viongozi wetu kwa mbinu za...
9 Reactions
31 Replies
3K Views
Na Mwandishi Wetu Dar es salaam. Shilingi ya Tanzania (TZS) imeonyesha kuimarika dhidi ya Dola ya Marekani (USD) katika kipindi cha hivi karibuni Kutoka kununuliwa kwa 2,670,00 hadi 2,451.0297...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Mhe. Gombo Samandito Gombo, ameahidi kumuachia huru mwanasiasa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, endapo...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Ni leo, Septemba 2, 2025 kwenye kituo cha Azam TV kupitia chaneli yao ya UTV. Je, atazungumza nini? Atajibu tuhuma za Humprey Polepole, atazungumzia Uchaguzi, au ana jambo gani hasa huyu ambaye...
15 Reactions
293 Replies
14K Views
Chief Soja Masoko amewaagiza machifu wote nchini kutumie mambo yao yale kuhakikisha wale wote wanaombeza rais Samia walaaniwe
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu leo nimeukumbuka ujumbe wa Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) dhidi ya kauli za watawala kudai makanisa kuingilia masuala ya siasa wakati huo kanisa linapambania haki na maslahi ya...
11 Reactions
34 Replies
2K Views
Leo ni Jumatano ya tarehe 3 siku nyingine ambayo balozi mstaafu Humprey Polepole ameahidi kuja na pigo lingine jipya litakalowachanganya mbogamboga maslahi wazidi kupoteana Jakamoyo ni kubwa na...
22 Reactions
84 Replies
7K Views
Ukifatilia Jijini Daslama na kuchungulia parking za watu , unaona kabisa huu ni utakatishaji wa Pesa. Kwakuwa hakuna biashara ya muajiriwa wa serikili kumiliki Lamborghini. Bugatti, n.k Magari...
2 Reactions
7 Replies
483 Views
Chama tawala nchini Tanzania, CCM, kimehitimisha mchakato wa uteuzi wa wagombea wake wa ubunge kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, ambapo matokeo yake yameibua mshangao baada ya baadhi ya...
2 Reactions
9 Replies
997 Views
Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga kiwanda chake cha chai. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na...
20 Reactions
234 Replies
19K Views
"Dkt. Samia Suluhu Hassan ametimiza mambo makubwa ambayo Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere aliyatamani lakini hakuweza kuyafanya." - Profesa Palamagamba Kabudi kwenye kampeni za CCM...
5 Reactions
150 Replies
9K Views
Ilipofika Agosti 1 mwaka 1982, alfajiri ilianza kwa kimya kilichojaa tafakari ya taifa. Lakini katika kiza cha mapambazuko, lilizuka tone la radi la kisiasa, jaribio la kumpindua Rais Daniel arap...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Aisee mambo yanazidi kubamba, Kitanzi kinazidi kukaza, na hali imekuwa si hali tena, kiufupi hamkani si shwari tena. Huku wajinga wakiamini kuwa kwa kuteka na kupoteza watu sauti ya kudai haki na...
90 Reactions
219 Replies
14K Views
CCM wana 100b na zaidi. Hawajazipeleka mikoani kusaidia kampeni za wabunge. Zinatumika kwenye timu ya Nchimbi na Samia tu. Kupewa magari, mafuta na posho za madereva haitoshi si unaona hata...
4 Reactions
8 Replies
572 Views
Back
Top Bottom