Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa saa za hapa kwetu Malawi itakuwa saa 21:00 kamili na kuendelea Darasa huru sehemu ya nne sasa kati ya kumi! Ni kupitia HP online TV Sisi Wamalawi hatuna nongwa na mtu kikubwa elimu! Kisha...
9 Reactions
52 Replies
2K Views
Hizi ndio sifa 90 za Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi, Dkt.Samia Suluhu Hassan. 1. Anajitambua 2. Analijua vizuri eneo (Nchi) analoliongoza na watu wake 3. Anaielewa vizuri kazi yake na...
1 Reactions
11 Replies
614 Views
Abadani sijawahi kuendeshwa kwa mikumbo au mihemko. Am so smart physical and spiritual. Kila jambo lazima nilitafakari kijamii na kiroho. Magufuli alikufa kwa kisasi cha Mungu. Aliua watu wasio...
12 Reactions
127 Replies
5K Views
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni ya Uchaguzi Mkuu kata ya Ngerengere Mkoa wa Morogoro...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Kuna ming'ono kuwa rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete ndiye anaongoza Tanzania kwa kutumia remote kwa sasa. Je, kama ni kweli, inakuwaje tunayamaza? Inakuwaje anaendelea kulipwa haki za...
2 Reactions
1 Replies
661 Views
Pesa za Corona mwaka 2021 wewe Kikwete ulikuwa rais mstaafu na kuheshimu sana ila mimi ndiye niliyekuwa mwenyekiti wa kamati ya utawala na Serikali ya mitaa ndio nilipitisha kwa mkono wangu pale...
5 Reactions
3 Replies
639 Views
ABDUL NONDO AMJIBU MWANASHERIA GARATWA KUHUSU SUALA LA MH.LUHAGA JOELSON MPINA. Salaam, ndugu Mwanasheria Garatwa. Nimeona andiko lako na uchambuzi wako juu ya suala la kuenguliwa mgombea wetu wa...
0 Reactions
5 Replies
983 Views
Wengine Walisema mwalimu Nyerere alitaka Salim Ahmed Salim ndio awe mrithi wake mwaka ule 11985 lakini Waunguja wakakataa Ninachokiona kwa Mpina ni kukataliwa na Wahafidhina ndani ya ACT...
2 Reactions
10 Replies
577 Views
Yaani anataka nao Wapewe Magari ya kuzungukia kwenye Jimbo kuomba kura kama Wagombea Urais walivyopewa na Kailima. Kilio chake hiki hapa Toa Maoni yako
1 Reactions
20 Replies
766 Views
Chawa wa Mama aliyediliki kusema kama mnamoenda sana Magufuli basi nendeni mkazikwe nae,je yeye amezikwa na Mama yake aliyekuwa anampenda,hili lilikuwa tusi kubwa sana kwa Watanzania,baada ya hapo...
0 Reactions
0 Replies
453 Views
Mbowe ni mwanasiasa ambaye anatizama kushoto anachukua kulia. Usije ukawa unacheza naye draft kisha unamwangalia machoni ili uone atasogeza kete gani. Atakudanganya. Anaangalie kushoto anasukuma...
4 Reactions
0 Replies
521 Views
Mimi baada ya kuona wajinga ni wengi sana wamejaa kwenye kapu nikaamua kutoka nje ya kapu. Nilikuwa najua Watanzania wengi ni wajinga lakini sikujua kuwa ni wengi kwa kiasi hichi. Kitendo cha...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Unakutana na kijana anajiita Msambwanda mara mwingine anajiita chinembe kutwa nzima kutetea CCM. CCM ya Leo ndugu zangu wabangaizaji sio ile alioasisi Mwl JK Nyerere. CCM ya Leo ni ya mabwanyenye...
12 Reactions
20 Replies
2K Views
Mgombea wa Urais kupitia Act Wazalendo, Luhaga Mpina amewasili katika viunga vya Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Njedengwa, Jijini Dodoma kurejesha fomu ya Uteuzi. Baada ya kufika Mpina na...
14 Reactions
110 Replies
6K Views
Katika kile kinachoitwa ilani ya uchaguzi hakuna kitu Cha kimkakati hata kimoja zaidi ya vitu vyepesi ambavyo vimeimbwa toka 2021 Hadi Leo. Hakuna mradi wowote wa kimkakati,hakuna chochote...
1 Reactions
3 Replies
398 Views
Wasalaam. Hii sera kuhusu maiti kuzuiliwa nayo ni ahadi ya ccm kuelejea uchaguzi mkuu? Yaani wakishinda watapiga marufuku maiti kuzuiliwa swali je nani aliweka sera hii? Ina maana sio ccm na...
14 Reactions
38 Replies
2K Views
Jiulizeni wawekezaji GSM na Rostam kwenye CCM wanapata nini kwenye mtaji wao? Yaani Rais mzima unaruhusu mtu mwenye bandari kavu kukupa pesa halafu TRA watamdai vipi kodi??? Mama na Kikwete bila...
3 Reactions
3 Replies
377 Views
Back
Top Bottom