Watanzania ni watu wajinga Sana Ila pia ni wanafiki sana .
Pascall Mayalla aliwahi kuzungumzia hii issue kwa urefu kuwa .
Watakusifu unapoikosoa Serikali Ila ukikamatwa hawana habari na wewe...
Niliwahi kusoma na vijana ya mataifa jirani, waliokuwa wanashangaa yaani kukaa wiki mzima hamjasikia milio ya bunduki ni ajabu, waliokuwa wanashangaa sana hapa kwetu, hii ni sifa kubwa kwa jeshi...
Mjue kuwa CCM ni master of politics za udanganyifu na ACT wazalendo ni vibaraka wa CCM kama alivyosema Polepole...mpango wa Kando!
Ngoja tusubiri muda mchache ujao if not today, tomorrow, or days...
Je, na wewe ni miongoni mwa watu wanaoitabiria nchi yako au viongozi wako mambo mabaya badala ya mema? Leo nakushauri ufute kauli zote za mabaya uliyoyatabiri. Badala yake, anza leo kuitabiria...
Kidogo nmeanza kuelewa ule msemo kwamba green and yellow wameishiwa mbinu kwa sasa na nadhani katika zile mbinu tulizoambiwaga kwamba jamaa wana mbinu takribani 1000 za kushinda Uchaguzi! Itakuwa...
Ni kweli NIDA ipo Integrated everywhere including banks, TRA, migration, mitandao ya simu and so forth. Hii integration inaitwa Verification Access Integration. Ni kwa ajili ya kuhakiki taarifa...
Pole Sana Kwa unayopitia na uliyopitia.
Najua utakuwa umepata mshangao mtu mwenye akili za juu Kama wewe kutumika kumshambulia the wrong enemy.
Hii ndo Ccm inaweza kumtumia yeyote yule kwa...
Polepole: Rais Samia nakuheshimu bali sikuogopi na nitakwambia ukweli, ndio maana nilipojiuzulu nilisema wacha kwanza mama asitumie pesa yake anayowasimamia Watanzania kunilipa mimi wakati ni...
Magufuli
Mabaya: Kuiba kura na chama dola tunaona sasa
Mazuri: Ufanisi wa serikali na kupambana na rushwa
Kikwete huyu ni janga la taifa
Mabaya: Rushwa , udini, ufamilia kwenye kazi
Mzuri...
Ilikuwa ni moja ya mvutano huku Jerry Muro akionekana akimlalamikia moja ya kiongozi ambaye Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Arusha wilayani Arumeru Dkt. Wilson Mahera Charles kwa kuchelewa...
Heshima sana wanajamvi.
Vita ya ubunge Arusha baina ya Gambo na Makonda vyazidi kupamba moto.
Mkutano wa Mbunge Gambo Soko Kuu Arusha ambao kwa kiasi kikubwa ulitumika kumnanga Makonda umeanza...
Sijui ni kwanini wapinzani hawakomi, kila uchaguzi wananaswa kwa mtego uleule wa CCM unaotegwa kwa aina ileile na kunaswa palepale chini ya mkanda. Orodha ya mitego ni ndefu sana (Marando, Mrema...
Wakuu hawa jamaa hii michezo Hawajaanza leo ni tangu miaka na miaka uko nyuma! Kwahiyo ata Aya yanayosemwa sasa ni marudio tu na ni kama hawa jamaa hii michezo washaizoea!
Nikiwa Mwanafunzi wa...
Namkumbuka Padre mmoja aliwahi kunihubiria kuwa ushinde ubaya kwa wema.
Yaani mtu mbaya anapokuletea ubaya usimjibu na waka usimtendee ubaya badala yake jikite kumpelekea wema.
Tujibu Ubaya kwa...
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Mbunge wa zamani wa Misungwi, Charles Kitwanga, amechukua fomu ya kuwania tena ubunge wa Jimbo la Misungwi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Kupata matukio...
Umewahi kujiuliza kama iwapo matakwa ya ndugu Humphrey Polepole yangetekelezwa angesema anayoyasema sasa mitandaoni kupambana na Rais Samia?
Siamini hilo. Haijalishi kama ni kweli au ya uongo...
Tukisema matumizi mabaya ya mali za umma ndiyo haya.
Kama ofisini kwa tume huru ya uchaguzi taifa tayari kuna picha ya mgombea urais maana yake rais ajae anafahamika tayari, kama mshamjua kwanini...
CCM ni chama chenye mizizi na matawi makubwa sana , nadhani kuna wana CCM wengi wako nje ya CCM kimkakati na tutawaona ndani ya Bunge lijalo .
Saa ya ukombozi imekaribia ila ukweli ni kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.