Hakuna usawa watu wanaingiziana mabilioni kwenye account zao,wanaendesha magari ya billion 20 lakini Mimi hata hela ya kula sina,nimekopa kausha damu hivi sasa nimepata presha hela ya kulipa...
Inasikitisha sana kuona miradi ya watu binafsi inasimamisha miradi mikubwa ya nchi ambayo ingesaidia vizazi na vizazi.
Hawa wanaoitwa "Wanamtandao" ni MAADUI NAMBA 4 wa Tanzania baada ya UJINGA...
Wanasiasa wengi kutoka Tanzania wapo na Ukwasi Mkubwa Ambao , hauelezeki .
Ila wamechagua njia ya Ku-play low key .
Hizo Lamborghini na Bugatti mnazoziona ni punje tu ya ukwasi wao.
Hakikisha...
Naam!
nmeota hivyo leo Mchana kipindi nmepitiwa Usingizi Baada ya kushiba ugali wa mtama na nyama ya kuchoma apa Stendi ya Nyamhongolo Jijini Mwanza Nikiwa safarini kuelekea kumsindikiza mgombea...
Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mkutano na wananchi Dakawa, Morogoro, aliahidi kukamilisha kituo cha afya na zahanati, kujenga mstari wa umeme wa 220KV kutoka Morogoro hadi Dumila, na...
Polepole Polepole Polepole nimekuita mara tatu.
Unakumbuka vizuri chuma mwanzoni mwa uongozi wake alitikisa watu kwa kuibua list ya wauza sembe nchini.
Wengi walitajwa, na bila shaka chuma...
Tangu Polepole ameanza series yake kali kabisa ya kataa wahuni, kuna mengi sana nimejifunza na ninaendelea kujifunza. Hakika ni kama jambo la heri sana kwa bwana huyu kutokea na kuendeleza ile...
Hivi binadamu hawa wa Kitanzania aibu wamepeleka wapi?
Aibu hizi za wizi na ufisadi wa mali za umma kutokea katika viunga vya ofisi kuu kama unavyo wekwa wazi na mtu mwenye hadhi ya Ubalozi...
Uraisi wa Magufuli haukumfutia uumenwake kwa mkewe, haukumfutia Ubaba wake kwa wanawe
Hakuna Sheria inasema raisi akiumwa anauguzwa na mkuu wa majeshi, usalama wa taifa na IGP hiyo Sheria haipo...
Katika Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa mwaka 2025, vyama vya siasa 18 vimehusika katika mchakato wa uteuzi wa wagombea wa nafasi ya Rais na Makamu wa Rais. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC)...
Alikuwepo Mchungaji Chiwanga, Mchungaji Kusupa, na sasa mchungaji Peter Msigwa anayebadili vyama kama mashati.
Hatimaye kuna Askofu Gwajima, kiboko ya misukule.
Tuje kwa Askofu Bagonza wa...
Hapo kwenye Mtandao ni lazima huyo Polepole atoe ufafanuzi kwa sababu ulipogawanyika mzee Sitta akaondoka na akina Dr Mwakyembe, Nyalandu, Kilango, Membe, Ole sendeka nk
Lowassa akabaki na akina...
Source: EA Radio
Mbunge wa Chalinze (CCM) Mh. Said Bwanamdogo amefariki Dunia leo asubuhi katika Taasisi ya Mifupa MOI, alikokuwa amelazwa baada ya kuugua kwa muda mrefu, Ofisi ya Bunge...
Haya mambo ya na hujuma kila mahali. Jana nadhani yule ni Idda Mushi, ndiye alipewa kazi ya kuripoti ziara ya kampeni.! Naongelea taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku
Kwa kushirikiana na...
Huu ujenzi unaoendelea hapo je hawataki kujifunza makosa waliyoyafanya hapo mwanzo?JWANGWANI Kila mwaka mafuriko na ilipendekezwa kujengwe daraja la juu kutokea magomeni mapipa Hadi jeshi la...
Hatua ya Kwanza
Mgombea Mwenza anatoka hadharani tarehe 11/ 08/ 2025 na kudai kuwa chakavu wanahitaji 100B waweze kufanikisha kampeni ya kubakiza Costra Nosta sebuleni kwao. Roadmap ni harambee...
Ni kutokana na kugundua vilikuwa vinatumika na Mtandao.. Tunaofahamu tunafahamu Eric hajawahi kuwa that much smart.
Vyama vya upinzani vingi vina mapandikizi ya Mtandao. Na hawa ndo walikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.