Tanzania tuna bahati kubwa kuwa na Kanisa Katoliki kila koma ya nchi
Leo pale Marekani Trump anahaha baada ya muhuni mmoja kuvamia shule ya Katolikii na kuuwa Wanafunzi wawili
Tuzidi kuwaombea...
Hii taasisi ni mzigo na hakuna inachofanya.
Inatumia rasilimali hovyo kabisa za Watanzania. Mambo mengi ya hovyo na bila shaka Watanzania wenzangu mnajua yanayofanyika.
Kwasasa kila kitu kila...
Assalam alaykum watu wa Mungu
Poleni WATANGANYIKA wenzangu kwa najua mko hoi taaban
Leo nimemkumbuka huyu Mwamba aitwaye Uday Hussein mtoto wa Sadam
Sitaki kuleta historia yake...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA), Agness Kaiza, leo tarehe 27 Agosti 2025 amerejesha fomu yake ya kugombea na kusema Tume ya Uchaguzi imeridhia kuwa...
Mgombea Ubunge kwa Jimbo la Njombe Mjini kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Sigrada Mligo amelalamikia uvunjwaji wa kanuni za kiuchaguzi kutokana na Mgombea Ubunge wa Chama Chama...
Mgombea wa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nasari, ametua kwa kishindo mkoani Arusha na kurejesha fomu ya kuwania nafasi ya ubunge katika jimbo hilo ofisi za Tume ya...
==
Utafiti uliofanywa na taasisi maarufu ya Afrobarometer mwaka 2024 unaonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa 83% miongoni mwa watanzania.
Kwa mujibu wa utafiti huo wananchi wengi waliohojiwa...
Sheria na kanuni mmezikiuka wenyewe ambazo zinaelekeza vizuri sana
Msajili alitakiwa alete pingamizi lake kuanzia leo jioni na kisha Act watoe maelezo utetezi kisha tume iamue na kanuni iko wazi...
Hamad Rashid atimuliwa CUF
Januari 5
CHAMA cha Wananchi (CUF) kilimtimua na kumvua uanachama Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed, ndani ya chama hicho, hivyo kumfanya apoteze sifa ya kuwa mbunge...
Mwandishi wa habari za uchunguzi Erick Kabendera anadaiwa kuvamiwa na 'watu wasiojulikana' nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es salaam baada ya watu kadhaa wakiwa na magari kuvamia na kuzingira...
kiwewe cha kushindwa uchaguzi na mwendelezo wa ugaidi wa CCM na mbinu za kuhairisha uchaguzi jijini Arusha leo zimeendelea baada ya wafanyabiasha wa malori ya mizigo na baadhi ya wafanyabiashara...
Tofauti na akina General Muhozi Museveni, Joseph Kabila, Uhuru Kenyata, Hussein Mwinyi, Aman Karume nk yeye Uncle Mako ni Mkuu wa mkoa tu anayeishi maisha ya kawaida kabisa
Nimeishi na...
Kwa wafuatiliaji watasema ukweli.kwa sasa Ibrahim Traore anavuma. anachokifanya kinagusa mpaka mabara mengine kwa initiatives zake. kwanin nasema Makonda ni kama Traore.
1. Traore kaanzisha...
Kwa Wale wanaokumbuka, Wakati wa Utawala wa Jakaya Kikwete, Zitto Kabwe alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema
Na ndiye aliyekuwa anaongozana na Jakaya Kikwete kwenye ziara za Nje ya Nchi (Shangaa...
Kweli wakuitoa CCM madarakani ni CCM wenyewe wakitofautiana kinyume na hapo sioni hilo kutokea.
Nyerere alijua fika jitu alilo tengeneza ni jitu la namna gani.
Na ndio maana alisema upinzani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.