Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,558
- 31,966
Mbowe ni mwanasiasa ambaye anatizama kushoto anachukua kulia. Usije ukawa unacheza naye draft kisha unamwangalia machoni ili uone atasogeza kete gani. Atakudanganya. Anaangalie kushoto anasukuma kulia.
Ni aina ya wachezaji ambao huwa tunasema wanatema kushoto wanafukia kulia. Usimwangalie usoni mwangalie mkono wake.
Nadhani mmenielewa.
Ni aina ya wachezaji ambao huwa tunasema wanatema kushoto wanafukia kulia. Usimwangalie usoni mwangalie mkono wake.
Nadhani mmenielewa.