erasto Samwel
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 211
- 275
Sheria na kanuni mmezikiuka wenyewe ambazo zinaelekeza vizuri sana
Msajili alitakiwa alete pingamizi lake kuanzia leo jioni na kisha Act watoe maelezo utetezi kisha tume iamue na kanuni iko wazi.
Pia Tume mnaamuaje kesi bila kusikiliza upande wa Act.
Kama kanuni mnaanza kuzishinda hivi mapema je huko tuendako
Je hizo sheria na kanuni Tume mnazisoma kweli napata mashaka.
Mnaviambia vyama vifuate kanuni nyie mmekuwa wavunja kanuni
Hata kama Mpina anamaliza kanuni zifuatwe basi ili tuamini maana ya tume huru ya uchaguzi