Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
kiwewe cha kushindwa uchaguzi na mwendelezo wa ugaidi wa CCM na mbinu za kuhairisha uchaguzi jijini Arusha leo zimeendelea baada ya wafanyabiasha wa malori ya mizigo na baadhi ya wafanyabiashara wa soko la Kilombero leo wamekamatwa na green guard wakishirikiana na jeshi la polisi baada ya kukataa kutozwa ushuru na vijana wa CCM wakitaka waje kampuni iliyopitishwa na halmashauri ya jiji la Arusha kama sheria na kanunu zinavyotaka.2??.ndipo jeshi na vijana wa CCM ambao wengi wao ni majambazi walio samehewa kwenye mazingira ya kutatanisha wakaanza kuwakamata lakini baada ya uchunguzi wa CHADEMA kufanyika inaonekana wamefanya hivyo wakijua kuwa kilombero ni ngome ya CHADEMA na unapowakamata ni ili waandamane fujo zitokee uchaguzi uhahirishwe tena...na sababu nyingine ni kuendelea kuwazoofisha CHADEMA kuelekea uchaguzi mhimu sana kwa jiji la Arusha...
===================
Updates
Baada ya mvutano wa kati ya diwani wa kata ya Levelosi mhe. Nanyaro Ephata ambaye soko la kilombero liko kweye kata yake na mkurugezi wa halimashauri ya jiji la Arusha watu wote waliokuwa wamekamatwa wameachiwa bila mashariti yoyote na amekubali kuwa toa Green Guard kwenye soko la Kilombero ndani ya siku mbili kama wakusanya ushuru...
Hongera Mhe Ephata Nanyaro(CHADEMA) kwa kusimamia haki ya wapiga kura wako na watanzania kwa ujumla