Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watanzania mnatumika na mtaendelea kutumika Sana. Hawa wote sijui Heche , Sijui Lissu, Sijui Polepole , sijui Ccm . Ni kupoteza Muda . John Heche Kaka yake wa Damu ni Mwanasheria ambaye yupo...
1 Reactions
66 Replies
3K Views
Jimbo la Kawe ndio Jimbo mama, Jimbo konki lenye vibopa kuliko Jimbo lolote la uchaguzi hapa nchini. Jimbo la Kawe ndio Lina Oyster Bay, Masaki, Msasani Peninsula, Mikocheni, Kawe Beach, Mbezi...
2 Reactions
8 Replies
646 Views
Unajua kila siku nikiamka asubuhi najiuliza hili swali lakini sipati jibu, Ina maana CCM wote hakuna mtu yeyote Mzalendo kama Magufuri ili aweze kuzisimamia rasilimali zetu? Huyu Mama kawapi...
2 Reactions
3 Replies
258 Views
Wanabodi, Kuna msemo usemao numbers don't lie, hili ni bandiko la numbers na data, kama sio mzuri wa mathematics na arithmetics nakushauri bandiko hili bora ulipitie mbali and save your time...
35 Reactions
192 Replies
30K Views
Wanabodi, Haya ninayoyaandika hapa, yanatoka ndani kabisa ya moyo wangu na ninaandika kwa uchungu!, kwa mtu yoyote ambaye alikuwa na matumaini ya labda 2015, tunaweza kupata mabadiliko...
26 Reactions
197 Replies
25K Views
napita tu This is faith
0 Reactions
2 Replies
380 Views
Wanabodi, Tangu kuanza kwa kampeni, Ijumaa iliyopita, ni jana, leo na kesho, ndio nimepata nafasi kutulia nyumbani kufuatilia uchaguzi kwenye Electronic Media. Jana nimeshuhudia TBC ikionyesha...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Na soma hapa Kitabu cha Mzee Mkapa na kuna Mahali aanasema kama ingetokea anakuwa Rais tena basi angetenda tofauti kabisa Inatafakarisha kiasi Mlale unono 😁🇹🇿
1 Reactions
12 Replies
549 Views
Kama ni SIASA basi nchi yetu inaongozwa kwa mihemko sana au tuliowapa uongozi hawafikirii vyema kuhusu wananchi. Kama ni Inshu critical kumtandao au shida basi wanapaswa kuitatua haraka sana...
27 Reactions
108 Replies
6K Views
Imefika miaka mitatu tangu viongozi wa dunia wajitolee kutimiza moja ya malengo yenye ujasiri mkubwa katika historia ya afya ya umma duniani: kufanikisha upatikanaji wa huduma za afya kwa wote...
0 Reactions
3 Replies
401 Views
Busara ni zawadi kutoka kwa Mungu wa mbinguni Nadhani busara za Malecela zingehitajika wakati huu japo ni Mzee sana Ahsanteni sana
0 Reactions
4 Replies
258 Views
Mwenyekiti wa CHASO (CHADEMA Student Organization) mkoa wa Dar es Salaam Martin Samson Abduli ametoa tamko kwa waandishi wa habari akilalamikia mwenendo wa Rais wa TAHILISO Geofrey Kiliba akidai...
1 Reactions
0 Replies
332 Views
Sitaki kuongeza neno wala kupunguza neno, hiyo ni taarifa kutoka miongoni mwa wananchi waliosema wazi kuwa, alichokisema Pole Pole wamekielewa vizuri. Kukumbusha tu, Pole Pole alisema kuwa...
7 Reactions
24 Replies
1K Views
Salaam, Ikiwa tuhuma za Polepole Zina ukweli, basi chama kifanye utafiiti wake, maana wananchi wa kawaida ambao hawakujiandikisha, wameanza uchunguzi wao binafsi kumthibitishia tuhuma hizi...
2 Reactions
20 Replies
998 Views
Matokea ya uchaguzi jimbo la Busanda, yameanza kutoka ambako katika miji mikuu yote ya jimbo hilo, ni Chadcema inaongoza na kuiacha CCM kwa mbali wakati huko vijijini ni CCM inaongoza. Shamra...
0 Reactions
526 Replies
56K Views
Hii Hoja, ni Hoja ya kimantiki sana na Nzito ambayo hata MTU asokua na Elimu ataiamini na kuikubali haraka. Ifanyeni Hoja hii iwe kubwaaaaaa sana ,ikishakua Kubwa, inaaminika kirahisi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Serikali imesema ubinafsishaji wa Kampuni ya Airtel uligubikwa na ukiukwaji wa heria, Kanuni na Taratibu. Mazungumzo kufanyika ili nchi ipate haki yake. > Kwasasa Serikali inamiliki 40% ya hisa...
5 Reactions
98 Replies
13K Views
Wanabodi, Hata kusipofanyika reforms, uchaguzi wa 2025 CHADEMA ina bonge la fursa!, ila masikini Chadema, they are just too blind to see!, hawajitambui! No election ni utopia!, acheni kucheza...
10 Reactions
119 Replies
5K Views
Tanzania One (TO), mwandishi wa vitabu na motivation speaker Nguli duniani Joel Nanauka ameibuka mshindi katika kura za maoni CCM jimbo la Mtwara Mjini Soma Pia: Joel Nanauka kumrithi Kinana CCM
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Dada yetu Kipenzi, pole sana sana Kifupi mimi ni mdogo wako fulani Ukijiandaa kugombea Kawe Ubunge nilikuonya Wajumbe usiwaamini kabisa kabisa wanakukula mpaka mifupa wakikupa moyo Haitoshi...
2 Reactions
6 Replies
742 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…