CCM yanguruma Busanda; Wapinzani chali! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM yanguruma Busanda; Wapinzani chali!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pascal Mayalla, May 24, 2009.

 1. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,584
  Likes Received: 18,567
  Trophy Points: 280
  Matokea ya uchaguzi jimbo la Busanda, yameanza kutoka ambako katika miji mikuu yote ya jimbo hilo, ni Chadcema inaongoza na kuiacha CCM kwa mbali wakati huko vijijini ni CCM inaongoza.

  Shamra shamra za kusherehekea ushindi ni mijini kwa kuwafanya wafuasi na washabi wa Chadema kufurika mitaani kusherehekea ushindi hali inayoashiria wakijaambia matokeo ya jumla sio wao, mijini kutakuwa hapatoshi na hakukaliki.

  Mpaka sasa Mji mkuu wa Busanda ni Chadema wakati kata maarufu ya Nyarugusu ni CCM.

  Nitawaletea matokeo ya kata kwa kata kadri ninavyoyapata.
   
  Last edited by a moderator: May 25, 2009
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,496
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  Ahsante mkuu kwa kazi nzurri

  bwana anafanya njia pasipo na njia huyo ni mungu
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  May 24, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Ka nzi ka kijiji kametua Busanda tangu jana, na taarifa za matokeo ya uchaguzi zimeanza kutiririka sasa hivi. Kura zimemalizwa karibu masaa matatu yaliyopita.

  a. Chadema kama ilivyotabiriwa inaelekea kuchukua ushindi eneo la Katoro (mjini) kwa ushindi wa tsunami. Hata hivyo ngoma yote inaonekana kuwa iko kijijini. Utabiri wangu wa Chadema kushinda jimbo zima kati ya asilimia 50-55 bado unasimama.

  b. Naibu waziri mmoja (Mwantuma Mahiza) na diwani wadaiwa kukutwa na shahada ambazo hazijatumika na haieleweki kwanini amekutwa nazo. Chanzo kingine kinasema ni karatasi zilizokwishapigiwa kura ingawa chanzo cha awali is more authoritative (non-partisan).  will keep u updated every half hour..
   
 4. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2009
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,219
  Trophy Points: 280
  mambo hayo,hii inaonyesha wapinzani hawajulikani vijijini!
   
 5. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Siku za mwizi 40. Wamezoea kamchezo kachafu lakini siku yao inawadia.
   
 6. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kama vile chama cha mafisadi kinavo julikana kilivo jaa ufisadi mijini kwikwi.. tangiapo mageuzi yote huanzia mijini upo mama?
   
 7. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2009
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Asante Babu MKJJ!

  Noooooooooooooooo It cant be . . . Then kuna uwezekano mkubwa sana CCM wameiba kura.

  Sipati picha Mwantumu naye kaingia katika Ufisadi pamoja na kujionyesha kuwa yeye ni mtu safi na Ushungi Masaa 24!

  Ngoma Nzito, bado kiza kinene!
   
 8. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Kazi ipo leo kwa wasomaji, Ka-inzi vs Pasco...
  Yote heri, maadam CCM inaibuka mshindi, kama ilivyowashangaza CUF kule Magogoni.
   
 9. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  What a shame, sasa waziri na wizi wa kura jama?
   
 10. m

  mchakato Member

  #10
  May 24, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 45
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Leteni Updates
   
 11. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #11
  May 24, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  kwenye hili jina la waziri source zimegongana.. mmoja kamtaja Mwangunga mwingine ni Mahiza.. tutasahihisha tukipata uhakika kabisa.
   
 12. m

  mchakato Member

  #12
  May 24, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 45
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  MM vipi kanadelay kiasi hicho?
   
 13. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #13
  May 24, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  tuliza ball..
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  May 24, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Pasco na MMKJJ (na ka-nzi kako); Poleni na kazi....

  Tunashukuru sana kwa updates, ila angalieni usalama wenu aisee, tunahitaji kuwa pamoja hata kesho na keshokutwa

  Pia kama mngeweza kuwasiliana zaidi na ku-complement hizo nyuz ingekuwa poa

  ...anyway, the most important is that you are giving us wonderful piece of info [i hope hakuna kulala leo]
   
 15. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #15
  May 24, 2009
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kaka acha kujidanganya....Ni kheri gani iliyopo na CCM kuendeleza ukiritimba wao katika maisha ya mtanzania?

  omarilyas
   
 16. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #16
  May 24, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,496
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  Mkuu omarilyas

  waache wafu wazike wafu wao.....

  Mwaka wa mungu huu............watajuta kuwadanganya watanzania huko nyuma
   
 17. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #17
  May 24, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Inaibuka mshindi ama inafanikisha wizi? by the way sijui hii aibu chama cha mafisadi mtaiweka wapi? waziri anakamatwa ameiba shahada za kupigia kura? yaani huyo ndo kiongozi mwenye dhamana anaye diriki kupora haki za raia aliokabidhiwa kuwaongoza?

  Mi siku zote nilidhani walau mafisadi huwatumia vijana wenye njaa kufanya vitendo hivi vya kihuni, kumbe wenye dhamana wenyewe wanaingia mitamboni?
   
 18. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #18
  May 24, 2009
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  MKKJ na Pasco,

  Asante kwa updates. Leo nitakuwa macho usiku mzima nikifuatilia matokeo haya. Chupa ya whisky iko tayari tayari kufanywa vibaya endapo Chama Cha Mafisadi kitalazwa chali Busanda.

  Keep it up.

  Tiba
   
 19. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #19
  May 24, 2009
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Ngoma ikilia sana mwisho wake upasuka. Na huu ni wakati hasa wa Ngoma kupasuka.

  CCM Must go now! Hata kama wameiba kura, they will never go away with it.

  Hizo kura za Kijijini haziwezi kuwa nyingi kwa idadi kuliko za mjini. Labda waibe!
   
 20. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #20
  May 24, 2009
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Taarifa nilizonazo chadema inaongoza kwa kasi ya kutisha..
  Hakuna kulala...
   
Loading...