Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huu ndio uwe mjadala watu kuanzia leo, watu wenye nia njema na Tanganyika tujadili hili.
5 Reactions
25 Replies
1K Views
MARA baada ya kutangazwa kwa uteuzi wa Dk. Modestus Francis Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania (TISS) wiki iliyopita, kama ilivyo ada, baadhi ya vyombo vya habari...
37 Reactions
302 Replies
87K Views
Tupende kushughulikia mambo yetu kwa msingi wa ukweli zaidi, msingi wa haki, msingi wa amani na msingi unaompendeza Mungu. Kusudi tuweze kweli kudai kwamba sisi ni kisiwa cha amani, katika yale...
14 Reactions
43 Replies
5K Views
Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime amesema kuwa Jeshi la Polisi litashirikiana na polisi jamii kubaini viashiria vyovyote vya uhalifu na vyanzo vya kuvuruga amani wakati wa...
0 Reactions
5 Replies
345 Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally akifanya mahojiano na kituo cha utangazaji ITV amenena haya kuelekea uchaguzi Oktoba 2020. HOTUBA KWA UFUPI CCM imejiandaa kushinda...
29 Reactions
306 Replies
76K Views
Naomba tumsikilize ndugu Bashiru Ally aliyekuwa kwenye utawala wa hayati Magufuli. Anadai chama chochote kilichopo madarakani ili kiondoke madarakani basi kimependa chenyewe maana kina faida...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwa wale wanaoangalia mambo kwa jicho la tatu, siyo kila ukionacho kwa macho ya kawaida ndivyo kilivyoumbwa. Hakuna utabiri katika hii dunia, kila kitu ni mipango inakuwa imepangwa na watu iwe...
29 Reactions
179 Replies
19K Views
DC Mstaafu kapigwa ganzi kelele anapigia KAWE Fomu anachukulia Hai Maombi ya Jasusi Mkuu wa KAWE hayatamuacha salama
7 Reactions
50 Replies
2K Views
Siasa ni mchezo mchafu sana ,mara nyingi mwenye nguvu hua ni yule mwenye dola,especially nchi za kiafrika. Ndio maana wale wajanja ambao hujua wamepora wakiwa kwenye madaraka muda ukiisha hukaa...
22 Reactions
293 Replies
26K Views
Wakuu! Hivi karibuni baadhi ya vyombo vya habari vimeanza kutangaza kauli mbiu za vyama vya siasa. Hali hii inanitia wasiwasi kuhusu uadilifu na mustakabali wa demokrasia yetu kipindi cha...
0 Reactions
4 Replies
718 Views
Nauliza tu maana kama anasamehewa ni vema iwe kwa dhambi zote erna asitende dhambi tena Yesu Kristo akamuuliza Yule mkoma aliyetakasika ‘ Je hamkuwa WAKOMA 10 wako wapi wale wengine’ Mkoma...
1 Reactions
18 Replies
469 Views
Baadhi ya Wasimamizi wa Uchaguzi hawapo katika Vituo vya Kupigia Kura Jijini Dodoma, Mfano ni Kituo cha kupigia Kura Ofisi ya kata ya Chamwino hakuna msimamizi wa uchaguzi na Askari wote kwa...
0 Reactions
4 Replies
594 Views
Tafsiri ya INTEGRATION ni kuwa NIDA ipo connected na mfumo wa NEC + CCM maana yake hata mfumo wa migration kwenye passport upo connected , upo connected na mfumo wa Utumishi and likely na mfumo...
6 Reactions
13 Replies
690 Views
Yaliyopita yamepita, umeomba msamaha. Tuangalie uliloliangazia macho na roho jana
2 Reactions
4 Replies
357 Views
Ni wazi polepole alikua na nafasi nzuri mno ya kushauri anachosema sasa ambacho kwa wengi kinaonekana kama ni unafiki mtupu. Ni afadhalli angeshauri wakati akiwa na nafasi halafu ushauri wake...
1 Reactions
52 Replies
1K Views
Hadithi ya Mti na Kiti cha Muda Katika ardhi nzuri iitwayo Tanzania, yenye milima inayogusa mawingu na mito inayobeba nyimbo za jadi, ulisimama Mti Mkuu uliowakilisha taifa. Mizizi yake ilitanda...
0 Reactions
0 Replies
318 Views
Kiutaratibu na kikawaida, shughuli za KKKT zinazomhusisha Mkuu wa Nchi huwa zinahudhuriwa na Maaskofu wa Dayosisi zote za KKKT pamoja na Maaskofu Wastaafu. Shughuli hizi pia huwa zinahudhuriwa na...
42 Reactions
163 Replies
9K Views
Binafsi nilijua naenda kusikiliza vitu vizito kutoka kwa Polepole. Jina lilikuwa kubwa sana kwamba ni siku inayokwenda kushangaza watu. Watu wakaunda nadharia ya vitu ambavyo viko likely kusikika...
0 Reactions
6 Replies
465 Views
Ndo hivyo. Unajua wajanja au born town ni watu ambao hawatumii nguvu pasipo nguvu.......wanamchora tu mtu na kupima kama kweli Yuko serious au la. Wakiona ni bwege tu asiye na mbele Wala nyuma...
0 Reactions
11 Replies
807 Views
Polepole anapodai ACT wazalendo na Chaumma ni project za CCM ndio nimerudi hadi enzi za Bunge Maalum la Katiba Natafakari UKAWA haikuwa project fulani?!! CCM ni Chama kikubwa sana 😄✔️
0 Reactions
3 Replies
214 Views
Back
Top Bottom