Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Vyama vya Upinzani havina hiki cheo kwa kuogopa unyeti wake Sasa ukiwasikiliza Nape na Polepole utaona umuhimu wa kutenganisha mkuu wa itikadi nia Msemaji wa chama Mara nyingi Wenyeviti wa a...
5 Reactions
18 Replies
882 Views
Mpina ni mwanasiasa makini na mzalendo. Nampongeza kwa hii kauli yake ya kuheshimu vyombo vya dola pamoja na tume huru ya uchaguzi. https://www.instagram.com/reel/DNgcF0SiDKW/?igsh=dXd4OXg4YWZ2NTdz
4 Reactions
50 Replies
2K Views
Leo katika pitapita zangu mitandaoni nimeona waziri Dakta Jafo amefanya uteuzi na amemteua Fred Vunjabei nikashangaa na kushtuka sana. Tanzania Ili uwe waziri ni lazima uwe mbunge (mhimili...
3 Reactions
7 Replies
767 Views
Katibu wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu Tanzania ambaye ni mwanachama wa ACT Wazalendo, Sheikh Ponda Issa Ponda ametoa wito wa umoja na ushirikiano kwa Watanzania wote katika kupinga kile...
0 Reactions
0 Replies
216 Views
Salaam wana jamvi! Naandika uzi huu wa kitafiti kama sehemu ya JAMII TALKS, nikiwa na furaha ya ushindi wa timu yangu Liverpool kutinga fainal ya CL kwa kishindo dhidi ya Barcelona. Nirudi kwenye...
4 Reactions
84 Replies
15K Views
Licha ya kwamba sikubaliani na Comrade na mtandao wake walivyofanya uhuni kipindi cha utawala ule...ambapo mambo kadhaa yalijitokeza ikiwepo uporaji wa chaguzi, mauaji na upotezwaji wa raia...
0 Reactions
4 Replies
373 Views
Mna wanachama wengi sana, watu wenye miaka 20 bungeni watachaguliwa tena kwa rushwa na sio kwa kupendwa na watu. Kama hakufanya kitu kwa miaka 20 hatafanya kitu tena, atafanyakazi kwa mazoea tu...
2 Reactions
16 Replies
705 Views
Nakuomba tena Mama, itisha mchakato halali wa kumpata mgombea Urais wa CCM na awe mpya fresh mwenye nguvu, kama hautafanya hivyo Nitaongea vile visivyostahili ndani ya CCM, waulize CCM hivi...
19 Reactions
67 Replies
5K Views
Ni hayo tu, ndugu Kiloboto kashaweka ngozi Kwenye box, lishambulieni kwa nguvu zote.
1 Reactions
7 Replies
523 Views
Uhaini ni jaribio la kubatilisha matakwa ya wananchi kusimika utawala kwa njia haramu. Kwa kuingilia mifumo ya uchaguzi CCM imekuwa ikibatilisha matakwa ya wananchi na kusimika utawala wake kwa...
11 Reactions
16 Replies
1K Views
Copy and paste Viongozi wengi wa kisiasa huwa wanajitengenezea taswira fulani ktk uongozi wao. Kwa mfano aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Sokoine, alijijengea taswira inayofanana kidogo na taswira...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu, Huyu Mchungaji ni nani. Hapa wamesema ametokea Zimbabwe maana huu utabiri wake umenishtua sana.
4 Reactions
7 Replies
794 Views
Akiwa anazungumza kwenye kipindi cha Malumbano ya Hoja cha ITV Mwenyekiti wa Asasi ya Wanafunzi ya Siasa UDSM Antony Severine alisema: "Kama vyama vinaunganishwa na vijana kupitia ilani, ni...
0 Reactions
0 Replies
458 Views
Kwa mfumo wao wa NIDA asee unaweza usifike kituo cha kupiga kura lkn mfumo ukatick umepiga kura tena umechagua CCM kabisa Yaani kura inajipiga automatically wewe ukiwa om afu utasikia 30 millon...
0 Reactions
2 Replies
371 Views
Najaribu ku connect matukio ya Mpina na Samia wake.............................tunakudai, kukatwa, then kwenda CCM. Dorothy kuachia urais, Mpina kuchukua fomu...WHAT DOES ALL THAT MEAN? Quencher...
0 Reactions
6 Replies
722 Views
Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura. Amesema hayo kwa hoja ya kwamba Watanzania huwa wanashiriki kupiga kura...
124 Reactions
175 Replies
18K Views
CHADEMA kusema kuna vyama vya siasa ni matawi ya CCM kwa nini na wao hawakuanzisha vyama vya siasa matawi yao? Ili wakiabzisha kelele zao za no reform no election vyama matawi yao viwaunge mkono...
4 Reactions
15 Replies
535 Views
CCM imelaaniwa - Mhadhiri CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinakabiliwa na hali ngumu sasa kutokana na laana ya kushindwa kufuata misingi iliyoasisiwa na viongozi wa chama hicho.Mhadhiri wa Chuo Kikuu...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Habari wakuu! Mwaka jana mwezi wa 8 kuna watu walikuwa wakipita kila nyumba kuchukua namba za NIDA , alichokisema polepole ni ukweli mtupu! Wanaccm wezangu ni muda sasa tumuunge mkono Tundu lissu...
2 Reactions
1 Replies
285 Views
Kuna watu wawili ambao kesho wakienda kwenye TV au watoke na wasema maneno haya nchi hii tutakuwa na chaguzi huru na demokrasia. Watu hawa sio wanasiasa au wazee je wa hao ni nani na watasema nini...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Back
Top Bottom