Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndo hivyo. Unajua wajanja au born town ni watu ambao hawatumii nguvu pasipo nguvu.......wanamchora tu mtu na kupima kama kweli Yuko serious au la. Wakiona ni bwege tu asiye na mbele Wala nyuma...
0 Reactions
11 Replies
807 Views
Polepole anapodai ACT wazalendo na Chaumma ni project za CCM ndio nimerudi hadi enzi za Bunge Maalum la Katiba Natafakari UKAWA haikuwa project fulani?!! CCM ni Chama kikubwa sana 😄✔️
0 Reactions
3 Replies
214 Views
Mimi staki dhambi, staki UNAFIKI kamwe siwezi msamehe Pole pole mpaka kihama huyu ni mtu aliyeshiriki.mauaji ya watanzania Ili ccm itawale Nisamehe Ili aende akawe baba wa mtoto wa Alphonso...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Hii imenishangaza sana, wanawake ndiyo wamekuwa wanapambana na CCM hadharani kwa njia mbali mbali kuliko wanaume. Wanaume kinyume chake ndiyo wanaoongoza kuwatisha watu kuwa wakiipinga CCM...
0 Reactions
0 Replies
219 Views
Leo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa...
27 Reactions
92 Replies
4K Views
Kuanzia , JF na mitandao mingine yote habari ya Polepole ya CCM kuiba kura kwanini media hawataki kuiweka ili wananchi waipate .
0 Reactions
4 Replies
524 Views
Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi, Innocent Bashungwa, leo amefungua rasmi Kituo cha Polisi Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma na kutoa ujumbe muhimu kuhusu hali ya usalama wa nchi na maandalizi...
1 Reactions
13 Replies
517 Views
Sitaki kumhukumu Polepole kwa yaliyopita. Absolutely Am here not to judge polepole for the past. Nipo hapa kuangalia Leo na kesho ya Taifa langu. Katika uwanja wa vita,moja ya mbinu hutumika ni...
1 Reactions
1 Replies
276 Views
'Mwanangu usiwe na matarijio makubwa utakayoshindwa kuyatimiza na kuumuza moyo wako', ni nukuu ya maneno kutoka kwa wazazi wangu wakinisihi juu ya jambo. Ingali kauli hiyo ilitolea zamani sana...
8 Reactions
38 Replies
3K Views
Kuna mjumbe wa mtaa wangu leo aliniambia CCM inaandikisha kadi za chama na pia inachukua namba za NIDA! Nani ameruhusu zoezi hili?
6 Reactions
48 Replies
3K Views
Nitakuwa branded kama mbaguzi, lakini ngoja ukweli usemwe. Polepole jana katuweka mguu sawa! Reject Rostam na washenzi wenzake! Tusikubali kutwaliwa na Rostam. Huyu ni Mkoloni, ngozi nyeupe...
0 Reactions
6 Replies
470 Views
Akizungumza leo Agosti 22,2025 kwa njia ya mtandao, Susan Lyimo Mwenyekiti Mteule wa Baraza la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAZECHA), amesema, “Uchaguzi Mkuu wa 2025 kama...
1 Reactions
1 Replies
804 Views
wasajiriwe walipie kodi ya elfu kumi kwa mwezi ili kusaidia fidia ya mcc
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Salaam! Tanzania nchi ya amani sana, yaani tumekutana hapa njiani, hatufahamiani, lakini tunajadili press ya Leo bila woga wowote. Tumejaribu kuulizana wapi hasa alitokea Mh Polepole, alizaliwa...
4 Reactions
16 Replies
985 Views
Kama rais anatoa agizo kwa Spika tena muhimili mwingine kuwa awafukuze huko bungeni kwenye kinga ila waje mtaani ili wakisema ata deal nao kwa namna anayoona inafaa hii inamaanisha nini? Kudeal...
19 Reactions
496 Replies
34K Views
Wakuu ili Ku-push agenda ya NRNE n.k Mnaonaje tukamsapoti Pole Pole Kama ambavyo tumekuwa tukowasapoti wadau wengine Kama TAL n.k. Kwakuwa huyu jamaa anatutoa gizani.
1 Reactions
5 Replies
489 Views
Wengine sisi CCM ndiyo imetubeba mpaka kufikia hapa. Ukitoa siri nyeti utaamsha walio lala na kutukatia mirija ya riziki zetu na watoto wetu. Tafadhali sana ndugu yangu, njoo tuzungumze...
8 Reactions
24 Replies
1K Views
Ukitaka kununua nyumba, kiwanja, shamba, gari na hata kupata ajira au elimu ya juu ni lazima uwe na vitambulisho ikiwemo kadi na namba ya NIDA. Maana yake ni kwamba ukishakua na kadi ya NIDA wewe...
8 Reactions
12 Replies
1K Views
Salaam ?? Mimi kama mtanzania mmoja, je napaswa kufanya nini kuinusuru nchi yangu na makucha ya kundi mtandao? Tupeane hints japo it's too late. Issue hii inawahusu wazalendo wote, waliopo...
0 Reactions
16 Replies
592 Views
Tusi-kwame hapa katika hili swala la electronic gangsters kama anavyosema Polepole. Kwa ni maendeleo wakiyaona wananchi ndio wanaipigia kura CCM. Nchi Iko katika mikono salama. Serikali inawajali...
0 Reactions
19 Replies
876 Views
Back
Top Bottom