Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi, Baada ya vyama vya upinzani kupata ushindi wa matumaini na CCM kuporwa mitaa na vijiji kadhaa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, kumefufua matumaini ya uwezekano wa CCM kushindwa...
13 Reactions
95 Replies
14K Views
Kamati Kuu ya CCM iko kwenye mchakato wa kupitia majina na kuwateua wale watakaopeperusha bendera ya CCM kwenye uchaguzi ujao. Binafsi nitashangaa sana kama CCM itamteua mtia nia aliyeongoza kura...
0 Reactions
6 Replies
718 Views
Kifo ni kifo Majeshi kaa tayari Msikubali kuharibu amani Leo limetoka lipi au kawa calm?
1 Reactions
7 Replies
406 Views
Kura hupigwa vituoni na kuhesabiwa vituoni mbele ya mawakala wa vyama na wagombea na kutangazwa vituoni.Wizi hutokea wapi? Kuna watu waongo hasa CHADEMA kuwa kuna wizi wa kura.Hao.mawaksla wao...
2 Reactions
59 Replies
2K Views
Polepole apigiwa Simu na Polisi wakati akizungumza na Watanzania
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za zenu wana jf MImi ni kada wa chadema wa miaka mingi sana tokea nipo O level mpaka chuo na tushapewa sana suspension( kusimamisha shule kwa misimamo yangu ya kisiasa) Kwa haya...
1 Reactions
40 Replies
1K Views
Wanabodi. Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii...
16 Reactions
410 Replies
93K Views
Wakuu! Ukweli siku zote ni mchungu, ukweli unatabia ya kuumiza na kuibua hasira. Haya ni mawazo yangu binafsi. Mtu yeyote anaye ongea sana, ni yule akifika mtaani kwenu siku moja tu inamtosha...
1 Reactions
21 Replies
901 Views
Naona wale waliochemsha ubunge akina Dr Kigwangala na wenzake wameanza kuutamani ukatibu mkuu wa chama Ahsanteni sana
1 Reactions
6 Replies
261 Views
Hali ya kisiasa nchini inaendelea kuwa tete huku watu wengi zaidi wakiendelea kukosa imani na mchakato wa uchaguzi kila kukicha. Kiufupi Polepole ambaye ni kada wa ndani wa CCM emeendelea...
4 Reactions
6 Replies
673 Views
Jaji mkuu mstaafu Prof Ibrahim Juma ni mwenyeji wa mkoa wa Mara, Jaji mteule Maseju nae ni mwenyeji wa mkoa wa Mara. IGP mstaafu Simon Sirro ni mtu wa Mara, IGP wa sasa pia ni mtu wa Mara. ADC wa...
5 Reactions
103 Replies
7K Views
Wananzengo mliokuwepo miaka hiyo mnaikumbuka hili kituko Cheyo aliibiwa kura mpaka akabaki kushangaa,kidogo ndoa ife,Ina maana make na watoto walimpigia mpinzani? Jibu No,kura ziliibwa🥴
2 Reactions
2 Replies
516 Views
Kwa kauli ya Ndugu Polepole,kwamba Kikwete ni mmoja wa kundi la wana mtandao wanaokwamisha Taifa na Chama Cha Mapinduzi,je Kikwete anao uhalali tena wa kushauri Taifa? Au wenye uhalali abakie Mzee...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Ipi faida ya kuunganisha mifumo mitatu kwa pamoja. Mfumo wa NEC, Mfumo wa NIDA na mfumo wa CCM. Kikawaida watu wengi wanaamini kwamba tume ya Taifa ya uchaguzi tulioipa dhamana ya kulinda kura...
13 Reactions
21 Replies
2K Views
Polepole anafanyia press kwenye vyoo vya wazungu lakini bado wafuasi wa chadema hawalali, Sasa sjajua ni ugonjwa wa wafuasi wa chadema au ni athari za mdudu ujinga, wanakesha wanaskiliza non...
3 Reactions
57 Replies
2K Views
Bado kuna vyama vya siasa vinasema vina imani na tume huru ya uchaguzi taifa INEC. ameskika Yustus wa TLP akisema ''Tuna imani na Tume Huru ya Uchaguzi, tuko nayo na tunaendelea nayo” Mgombea...
2 Reactions
18 Replies
665 Views
Katibu wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, ameeleza wasiwasi wake kuhusu wafanyabiashara wenye ushawishi mkubwa serikalini akisema hali hiyo ni tishio kwa maslahi...
0 Reactions
1 Replies
270 Views
Jana Humphrey Polepole ameweka wazi kile anachokililia ambapo hapo mwanzo hakikueleweka na wengi tukadhani labda akili zimemfyatuka. Polepole ametoa siri ya mpango wa mtandao wao wa kuchukua kiti...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa Oganaizesheni, Mafunzo na Uchaguzi wa CHADEMA, John Pambalu amekosoa takwimu zilizotolewa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuwa idadi ya wapiga kura mwaka huu inafikia zaidi...
3 Reactions
9 Replies
755 Views
Back
Top Bottom