Samia usitupe pole twaambie aliyeua Watz ni nani ??

Samia usitupe pole twaambie aliyeua Watz ni nani ??

Samia twaambie aliyeua watanzania ni nani?

Amechukuliwa hatua Gani ?

Maiti za watanzania wenzetu ziko wapi ??

Aliyeruhusu mitandao kufugwa ni nani ??

Samia S. H tunaomba majibu
FB_IMG_1764668305127.jpg
 
Samia twaambie aliyeua watanzania ni nani?

Amechukuliwa hatua Gani ?

Maiti za watanzania wenzetu ziko wapi ??

Aliyeruhusu mitandao kufugwa ni nani ??

Samia S. H tunaomba majibu
Yaani huyu mama hata ukweli hauoni kwa macho yake? Yeye ni wa mipasho tu
 
AKwambie mara ngapi? Hujasikia aki confess kuwa wameua wenyewe na nguvu waliyotumia ni sahihi.
 
Hodi wanaJamii wenzangu, za masiku🙂

Hivi ukiwa raisi ulieshikiliwa na mstaafu, wewe ni raisi kiongozi ama raisi kibaraka?
Binafsi, jibu la hili swali ndo chanzo hatupati majibu wala huruma na utu tunaostahili, espesheli, mashujaa waliouawa... Mola awarehemu. Na kila mkoa tunastahili kuwajengea mnara wenye majina yao.
 
Back
Top Bottom