Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hello! Kama kawaida wapinzani uchwara hata hawajui wanataka nini. Mwezi mmoja tu nyuma kuna maneno aliyaongea Ex vice president Emmanuel Nchimbi wakaanza kumchukia. Baadaye kidogo wakasikia...
-1 Reactions
3 Replies
127 Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
Mbowe amezidiwa na Lipumba baada ya kustaafishwa siasa na Lissu sasa kaamua kumaliza siasa kama Ryatonga Mrema. Huruma yangu kwa watoto wa watu...
7 Reactions
48 Replies
557 Views
Hii nchi aisee tuna kitu tutafika mbali….. mnajiandikiaje per dm , kujilipia nauli kwenda na kurudi ya kwenda kumfariji mfiwa ? Ndio ni rais lakini kafiwa na mume , mume hakua ameoa taifa wajameni...
2 Reactions
2 Replies
100 Views
Katika hali ya kushangaza kabisa unatoa matamko ambayo yanashangaza na kusikitisha sana. Mufti unataka viongozi wasikae kimya raisi akitunwa ila husemi katunwa na nani? Mufti unataka viongozi...
2 Reactions
15 Replies
223 Views
Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la leo, ambayo ni kumshukuru na kumpongeza Makamu wa Rais Balozi Dr. Nchimbi kwa maneno makubwa ya maana sana yenye faraja na matumaini...
8 Reactions
43 Replies
667 Views
Dawasa: kuna mgao wa maji kwa wiki nzima tunajiandaa na elnino; Elnino ikija: miundo mbinu imeharibiwa na elnino hatutakua na maji mpaka tutakaporekebisha miundo mbinu
0 Reactions
1 Replies
51 Views
Ukiona moshi, usidhani uko Mkoa wa Kilimanjaro, wakati mwingine ni moto unawaka chini kwa chini. Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema Mkoa wa Mbeya amekiri kwamba uchaguzi ndani ya chama umejaa...
3 Reactions
48 Replies
4K Views
Nimeambiwa kuwa, Freeman Mbowe ameshawahi kwenda Ukonga gerezani mara Moja kumtembelea Mwenyekiti wake Tundu Lissu... Katika mtembeleo huo, hakutoa mrejesho walizungumza nini hasa iwapo alikwenda...
11 Reactions
45 Replies
942 Views
Tarehe 11/12/2014 Pale Mwitongo walikuwapo watu kwa kikao cha Siri hasa Mzee Mkapa ndo alishnikiza kikao kufanyika, nakumbuka tulikuwa watu saba! Kulikuwa na Threat ndani ya CCM yaan Lowassa, na...
37 Reactions
127 Replies
3K Views
Wakili wa kujitegemea, Jebra Kambole, amepinga uamuzi wa Mahakama Kuu wa kuwakataa baadhi ya mashahidi waliopendekezwa na Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, katika kesi ya uhaini inayomkabili...
5 Reactions
11 Replies
339 Views
Kama waungwana tunatoa pole. Basi na nyinyi tunawaombea mubadirike muwe Police Peoples Service and NOT Force. Ikataeni falsafa ya Kifo ni Kifo. RIP Kamanda.
10 Reactions
56 Replies
1K Views
WANAFUNZI 150 WA KITANZANIA KUNUFAIKA NA FURSA YA ELIMU YA JUU ALGERIA Tanzania imepata nafasi 150 za ufadhili wa masomo ya elimu ya juu nchini Algeria kwa mwaka 2026, zikilenga wanafunzi...
1 Reactions
4 Replies
154 Views
Arusha Ungalimited Maeneo ya Soko Mjinga alikuja Polisi akakamata vijana wawili akawafunga Pingu, akaanza kwenda nao kituoni sasa cha ajabu njiani akaanza kuwapiga na fimbo kichwani mmoja damu...
17 Reactions
64 Replies
2K Views
Katika mkutano wa hadhara wa Chama cha ACT Wazalendo wa Septemba 11, 2026, uliofanyika Kata ya Dutwa, Jimbo la Bariadi mkoani Simiyu, mwananchi Fulani amesimama na kumhoji Katibu Mkuu wa chama...
1 Reactions
4 Replies
191 Views
Ndugu Zangu Watanzania, Ni Ukweli ulio wazi Kuwa Mzee Warioba amelitumikia Taifa hili kwa Muda mrefu ,ni kweli kabisa Kuwa Mzee Walioba Anahitaji Kuheshimiwa siyo kwa Umri wake bali kwa mchango...
5 Reactions
147 Replies
1K Views
  • Redirect
Tumeshuhudia roho mbaya sana ya CCM kuzidi ya wanyama wakali wa mwituni , leo tunashuhudia mtandaoni Chadema na wananchama wake wakiwa na Roho Mbaya zaidi ya ile ya CCM !! Tutaponea wapi wananchi...
2 Reactions
– Replies
– Views
Na anajitahidi kuweka imani aaminike, System inaweza kukufunga hata gerezani miaka kadhaa uchunguze mtu fulan mfungwa au tukio fulan ndani, Na ika ku harass sana huku nyuma ya mlango ikikupoza...
47 Reactions
66 Replies
2K Views
Madeleka & Co Wapigania Haki? or двойной агент? Gm- Summy Russia
1 Reactions
2 Replies
109 Views
Hata sijui kwanini siwezi andika kilicho kichwani mwangu vema. Au basi tu 👇🏽
3 Reactions
18 Replies
588 Views
Back
Top Bottom