Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo kwa kuhakikisha serikali inanunua matrekta milioni 10...
6 Reactions
66 Replies
3K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amesema wakati wanamuombea kura mgombea urais kwa tiketi ya Chama Dk. Samia Suluhu Hassan, Watanzania ni mashahidi wa...
0 Reactions
1 Replies
252 Views
Udhaifu wa vyama vya upinzani nchini unatutisha CCM wajibu mkubwa sana wa kuwa kiongozi na mhimili mkubwa na wa pekee wa umoja, maendeleo na ustawi wa Watanzania wote, hata wale ambao siyo...
2 Reactions
6 Replies
372 Views
Mfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz amemkabidhi Spika wa bunge Mh. Ndugai mashine ya kuwapulizia dawa wabunge ili kudhibiti maambukizi ya Covid 19. Sasa wabunge kabla ya kuingia...
13 Reactions
141 Replies
12K Views
Mwaharakati wa Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mdude Nyagali amemwambia Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kama asingekuea mpigania haki basi asingeweza kumuunga mkono. Mdude ameyasema hayo...
1 Reactions
1 Replies
337 Views
Mpigania Uhuru, Haki na Demokrasia Nchini Tanzania, ambaye idadi ya kukamatwa kwake na Polisi haihesabiki, Mdude Nyagali ameonekana Ikungi Mkoani Singida wakati wa Mapokezi Makubwa ya Mwenyekiti...
10 Reactions
24 Replies
2K Views
Majibu fikirishi kutoka kwa Mh Tulia Ackson kuhusiana na kupotea kwa Mh Mdude Nyangal, mwanachama wa CHADEMA Spika na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Tulia Ackson akifafanua hoja ya Bunge...
1 Reactions
64 Replies
5K Views
Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni Maneno yanayotamkwa Kwa Sauti kubwa na watanzania wote huku Mitaani ya kuwa wangegoma kabisa kushiriki Katika Uchaguzi na kufanya maandamano Makubwa sana ikiwa CCM...
0 Reactions
0 Replies
384 Views
Magufuli alikuwa na roho mbaya na ngumu. Ndiyo maana tunasema ni mtsusi. Ukimkosea hana msamaha Ndio maana tunaomjua Magufuli tunasema Polepole ni muongo na tapeli wa kiasiasa. Eti Membe...
-1 Reactions
3 Replies
386 Views
TUndu Antiphas Lissu: Kipindi cha kampeni 2020, NRNE Ngorongoro nk👇🏻👇🏻👇🏻 https://youtu.be/UjhUlWn9AWw?si=AjaMF-uSY3zahosL Samia Suluhu Hassan: Katika maeneo tofauti tofauti: Bariadi, Morogoro...
2 Reactions
6 Replies
735 Views
Kushindana mwenyewe kwanza inakuondolea kujiamini, unakuwa huelewi hata unachofanya kwa sababu hauna reference point yoyote. Hata ukisema "Mikutano tunajaza sanaaa", kuna ka sauti katakuuliza "In...
4 Reactions
12 Replies
599 Views
Leo May 3, 2025, Tundu Lissu ametuma barua ya wazi kwa watanzania akiwa kolokoloni gereza la ukonga. Barua hii imechapishwa na Maria Sarungi kupitia mtandao wa X kama ifuatavyo, Barua rasmi ya...
64 Reactions
229 Replies
11K Views
Tunataka tuje tumkamate kwa uongo 1: Amesema atanunua ma tractor milioni 10 akichaguliwa kuwa Rais
7 Reactions
27 Replies
1K Views
Baada ya kupata taarifa kupitia msamaria mwema kwamba Rais @SuluhuSamia anawinda roho yangu kupitia vikosi kazi vya utekaji, nilifanya kikao na wakili wangu. Wakili ameshauri niandike barua na...
34 Reactions
211 Replies
13K Views
Hii ndio Taarifa ya sasa ambayo inaletwa kama tetesi. Huyu jamaa alikuwepo humu JF akihusishwa na Sukuma gang (Mpina Gang) Zipo Taarifa kwamba kishatimuliwa ccm kwa kutomuunga mkono mama...
32 Reactions
62 Replies
4K Views
Tuwatathimini outputs zao katika utendaji wao! Je kuna tofauti na wanaume au wote ni hao hao BORA LIENDE 1. Samia Suluhu Hassan- Tanzania 2. Netumbo Nandi-Ndaitwah-current- Namibia, 3. Ellen...
4 Reactions
19 Replies
724 Views
Baraza la Kidigitali litakalowakutanisha Wenyeviti wa Kanda zote kumi litakuwa live kuanzia saa tano asubuhi, Chadema Media, leo Septemba 2, 2025.
0 Reactions
0 Replies
379 Views
Katika vyama vya siasa 17 vyenye wagombea urais waliothibitishwa na tume huru ya Taifa ya uchaguzi kushiriki uchaguzi mkuu wa October 29,2025, ni wazi CCM itaibuka mshindi wa jumla kwenye urais...
3 Reactions
72 Replies
2K Views
Hilo halina ubishi, mimi mwenyewe niliishi naye kinafiki, hata huyu wasasa naishi naye kinafiki cha msingi msimwambie sawa jamani? Ila Rais mzalendo alikuwa JPM tu, nasema uongo ndugu zangu...
3 Reactions
14 Replies
797 Views
Najua hii itawaumiza ambao mmesoma masomo ya Sanaa na biashara lakini ukweli masomo yenu tofauti na sayansi hayana foundation za kutafuta majibu kwa changamoto nyie NI watu wa negotiation Tu mambo...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Back
Top Bottom