Kifo cha Magufuli tulifichwa fichwa sana hadi kilipotangazwa rasmi.
Ni nini kilikuwa kinaendelea hadi tunafichwa kiasi hicho.
Inaonekana kulikuwa kuna amri nzito sana alizitoa zitekelezwe lakini...
Hii sio mara ya kwanza nikimtazama Rais Samia kwa jicho la kuondosha kero za huduma za kijamii kwa maamuzi yenye mkakati ,shabaha na yanayopimika kirahisi.
Miaka kadhaa nyuma nikipita maeneo ya...
https://youtu.be/hSOcdGnoGbA?si=xmD1lymIVF7bNlFU
“The first ever president to elect herself”
Sasa hivi sisi wala siyo banana republic tena!
Banana republics huwa walau zina matumaini flani...
Unaweza kusema mvua imetibua uzinduzi wa kampeni za Chama cha Kijamii (CCK) zinazoendelea leo Jumamosi, Agosti 30, 2025, katika viwanja vya Kwa Tesha, Mbagala Kijichi jijini Dar es Salaam.
Hata...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ndugu. Kailima Ramadhani leo tarehe 30 Agosti, 2025 ameongoza kikao cha wawakilishi wa vyama vya siasa kupitia na kufanya mabadiliko...
Rekodi hii inawekwa jukwaani ili siku asipokuwepo tumkumbuke sana.
Alianza na upitishaji wa Sheria ya bima ya Afya kwa wote na Sasa ameleta njia ya utekelezaji wake na akaenda mbali yaani...
Kweli binadamu akilitaka lake jambo huwa haoni aibu.
Hivi CCM mmekosa kweli washauli, heri mngebaki na uzoefu wenu wa kuiba kura lakini siyo kwa kampeni mnayoifanya isiyokuwa na mvuto, yaani...
Huu ni wito kwa vyombo vinavyosimamia vyama vya siasa nchini.
Kamwe hakuna chama kisichoweza kupiga kelele kupitia mikutano.
Hoja muhimu ni je chama au vyama hivyo vinakiuka kanuni,sheria na...
Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete akizungumza kwenye uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho amesema, "Najua kulikuwa na maneno eti utaratibu umekiukwa na mimi nililaumiwa...
Mshindani wa kweli ni chdema. As long as chadema haipo, basi hakuna mshindani wa nguvu.
Hawa wengine ni mpango wa kando ambao hauna nguvu kwenye ndoa kisheria na kimila...ni mdabwada so to say!
Miezi iliyopita tuliona movement kubwa sana ya no reform no election sisemi kwamba movement imekufa ila sioni zile harakati zikiendelea wako watakaosema wamezuiwa kufanya siasa hiyo sio sababu...
Nawaza jinsi ninavyoziona hasira za vijana wa CCM dhidi ya Humphrey Polepole, Hawa vijana kwa bahati mbaya wakutane na Polepole mtaani, kitatokea nini?
Ni wazi kabisa na kuna ushahidi wa kimazingira kuwa hayo mabilioni ya shilingi anayodai mkuu wa nchi kuwa yaligaharamiwa na watanzania kuwezesha ziara yake huko Usa yatakuwa yalitolewa na Rostam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.