Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CCM imemteua Dk Asha Rose- Migiro, kuwa Katibu Mkuu wake kuchukua nafasi ya Dk. Emanuel Nchimbi, Mgombea Mwenza wa Mama Samia. Aidha Chama hicho kimemteua Kenani Kihongosi, Mkuu wa Mkoa wa Arusha...
7 Reactions
61 Replies
4K Views
“Siasa siyo nguvu ya misuli, bali ni busara ya akili. Haitaki mkurupuko, bali inahitaji utulivu na subira. Haitaki ufuate upepo au uongozwe kiholela, bali inataka uzingatie miongozo na kanuni...
1 Reactions
1 Replies
362 Views
Mgombea Urais kwa tiketi ya CUF Gombo Samandito Gombo anasema wananchi hawapaswi kukata tamaa na wanapaswa kwenda kupiga kura na kuchagua serikali itakayo rekebisha matatizo yanayowakabili.
2 Reactions
2 Replies
331 Views
hapa zamani kidogo nchi ya lebanon huko uarabuni ilikuwa ni majority Christian na pia ya kidemokrasia, leo hii ni majority muslim ... https://www.youtube.com/watch?v=XdmCH9WC1kA
0 Reactions
1 Replies
381 Views
Watanzania tumekuwa kama bendera fuata upepo,hatujipi muda wa kutafakari mambo kwa kina mbaya zaidi tumekuwa tukifurahia kusikia maneno tunayotaka sisi kusikia yawe ya kweli au yasiyo ya kweli...
0 Reactions
0 Replies
146 Views
Tunamshukuru sana Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kututembelea Chamwino leo tarehe 31 Agosti 2025, na kutupa matumaini pamoja na dira ya maendeleo. Tunaendelea kukuuombea kwa Mwenyezi...
0 Reactions
1 Replies
342 Views
Hivi kama wasingetoa haya magari ya bure unahisi huyu jamaa angetumia usafiri gani katika kampeni? 😂
1 Reactions
7 Replies
956 Views
Mgombea Urais kwa tiketi ya CUF Gombo Samandito Gombo anasema serikali yake itahakikisha kuna kodi moja tu kwa kila mtanzania na hakwamba kitambulicho cha NIDA kitatolewa siku moja mtoto anapozaliwa.
1 Reactions
2 Replies
310 Views
Mimi binafsi ulichokifanya kina matashi mema! Kina baraka za Mungu na wote wanaoipenda nchi yetu Tanganyika/Tanzania. Ukiacha vumbi lenu ndani ya CCM, ingawa linatugusa wote kwa sababu mnamiliki...
1 Reactions
4 Replies
449 Views
Mheshimiwa Nusrat kwa namna anavyokubalika duniani. Kura zote ni kwake Tu. Kidumu Chama Chetu
5 Reactions
38 Replies
3K Views
Wanashindana peke yao,walichoongeza ni kutoka kusomba watu kwa malori wametumia mabasi na treni,hata kama wameumganisha mawaya. Ndani kutoka Sauti ya polepole.
4 Reactions
8 Replies
456 Views
Watanzania. Kuweni makini. Huyu mgombea wa CCM hajawahi kutamka neno rushwa na ufisadi uliokithiri katika nchi yetu. Mnakwenda kumchagua ki vipi? Wote Hawa mgombea na mwenza wake wamechora ramani...
4 Reactions
4 Replies
402 Views
TUMSIKILIZE POLEPOLE, LAKINI TUSISAHAU. Enzi zile za Magufuli, Watu kama Jakaya walionekana ni Watu wazuri sana. Kwa sababu Jakaya alikuwa nie ya Mfumo ambao 'ulichukiwa na wengi na kupendwa na...
9 Reactions
15 Replies
1K Views
Petro alipomkana Yesu wale Wayahudi wakamwambia ‘ hata kuongea kwako na kutembea kwako unafanana naye’ Matendo Pamezuka mjadala mkubwa kuhusu Shujaa Magufuli baada ya Polepole kuongea mambo...
1 Reactions
0 Replies
138 Views
Ukweli waweza kuwa mchungu, lakini ndio ukweli hata kama hatuupendi. Na ukweli mchungu mojawapo kwa Balozi Polepole na wenzake, ni kuwa Dr. Samia ndio mgombea wetu wa urais. Mwalimu alituasa wana...
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Familia ya kikwete inamiliki uchumi wa Tanzania 1/3 . Diaspora wengi jinsi ambavyo wamekuwa wakifanyiwa sabotage katika uwekezaji . kwa kunyimwa Vibali n.k Hii ndo maana Diaspora hawataki...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Speech yako ya mwisho haijaisha unaleta nyingine? Unawabandika, bandua we unatumia Mkongo? Bado tunajitahidi kusema wewe Muongo na kukuzushia hatujamaliza unaleta tena drones nyingine kutaka lipua...
1 Reactions
7 Replies
410 Views
Nimetafakari kwa kina tabia aliyoonyesha ndugu Lema jana siyo Tabia za Wachaga Je, tabia za Wachaga zipoje? Aliyemuelewa James anisaidie.
17 Reactions
118 Replies
9K Views
Hamjambo Wote! Mwezi septemba unaoanza kesho utakuwa na hekaheka nyingi sana. Mambo mengi makubwa yanatarajiwa kutokea. Ni mwezi ambao Wagombea na mahasimu wao wanatakiwa kujihami zaidi na...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Polisi wafanya Uchunguzi kuhusiana na tukio la mtu mmoja kujeruhiwa na risasi. Jeshi la Polisi mkoani Arusha linafanya uchunguzi kuhusiana na tukio la mtu mmoja aitwaye Bakari Halifa Daud (18)...
12 Reactions
167 Replies
11K Views
Back
Top Bottom