Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kushindana mwenyewe kwanza inakuondolea kujiamini, unakuwa huelewi hata unachofanya kwa sababu hauna reference point yoyote. Hata ukisema "Mikutano tunajaza sanaaa", kuna ka sauti katakuuliza "In...
4 Reactions
12 Replies
599 Views
Leo May 3, 2025, Tundu Lissu ametuma barua ya wazi kwa watanzania akiwa kolokoloni gereza la ukonga. Barua hii imechapishwa na Maria Sarungi kupitia mtandao wa X kama ifuatavyo, Barua rasmi ya...
64 Reactions
229 Replies
11K Views
Tunataka tuje tumkamate kwa uongo 1: Amesema atanunua ma tractor milioni 10 akichaguliwa kuwa Rais
7 Reactions
27 Replies
1K Views
Baada ya kupata taarifa kupitia msamaria mwema kwamba Rais @SuluhuSamia anawinda roho yangu kupitia vikosi kazi vya utekaji, nilifanya kikao na wakili wangu. Wakili ameshauri niandike barua na...
34 Reactions
211 Replies
13K Views
Hii ndio Taarifa ya sasa ambayo inaletwa kama tetesi. Huyu jamaa alikuwepo humu JF akihusishwa na Sukuma gang (Mpina Gang) Zipo Taarifa kwamba kishatimuliwa ccm kwa kutomuunga mkono mama...
32 Reactions
62 Replies
4K Views
Tuwatathimini outputs zao katika utendaji wao! Je kuna tofauti na wanaume au wote ni hao hao BORA LIENDE 1. Samia Suluhu Hassan- Tanzania 2. Netumbo Nandi-Ndaitwah-current- Namibia, 3. Ellen...
4 Reactions
19 Replies
724 Views
Baraza la Kidigitali litakalowakutanisha Wenyeviti wa Kanda zote kumi litakuwa live kuanzia saa tano asubuhi, Chadema Media, leo Septemba 2, 2025.
0 Reactions
0 Replies
379 Views
Katika vyama vya siasa 17 vyenye wagombea urais waliothibitishwa na tume huru ya Taifa ya uchaguzi kushiriki uchaguzi mkuu wa October 29,2025, ni wazi CCM itaibuka mshindi wa jumla kwenye urais...
3 Reactions
72 Replies
2K Views
Hilo halina ubishi, mimi mwenyewe niliishi naye kinafiki, hata huyu wasasa naishi naye kinafiki cha msingi msimwambie sawa jamani? Ila Rais mzalendo alikuwa JPM tu, nasema uongo ndugu zangu...
3 Reactions
14 Replies
797 Views
Najua hii itawaumiza ambao mmesoma masomo ya Sanaa na biashara lakini ukweli masomo yenu tofauti na sayansi hayana foundation za kutafuta majibu kwa changamoto nyie NI watu wa negotiation Tu mambo...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Mgombea urais Zanzibar, Ameir Hassan Ameir, ameonesha utofauti kwa kutinga na usafiri wa bodaboda kwenda kuchukua fomu ya kuwania urais. Soma Pia: GE2025 - CCM Zanzibar yatangaza Ratiba ya...
3 Reactions
15 Replies
900 Views
Hii aina ya siasa anayofanya polepole ndio aina ya wanasiasa wengi Tanzania ambao hawana malengo wanatumia majina yao kuwashawishi na kuwadanganya WANANCHI kuwaminisha kuhusiani na gharama za...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Ahadi za CCM na rais kuhusu huduma bure za Afya, kuruhusu maiti, kununua matrekta nk ni ahadi nzuri sana. Lakini ahadi zote hazina maneno kwa namna gani tutapata fedha za kuweza kuwezesha ahadi...
3 Reactions
17 Replies
705 Views
"Tuna mpango maalum wa kufanya mtoto wetu wa Kitanzania, akifika darasa la Tatu ajue kusoma, kuandika na kuhesabu bila shida ili aweze kwenda vizuri madarasa ya juu." - Mgombea Urais wa CCM, Rais...
13 Reactions
69 Replies
3K Views
Kwenye kesi mshitakiwa ndie huhitajika awalete mashahidi wake yeye mwenyewe sio kazi ya mahakama au serikali mfano katika kesi ya Mahalu kama mshitakiwa alisema shahidi wake Raisi Mkapa .na...
0 Reactions
0 Replies
161 Views
Kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, amewasihi waandishi wa habari kuendelea kutekeleza majukumu yao...
2 Reactions
11 Replies
673 Views
Hakuna kidumucho milele Huu ni ukweli mchungu na mzito ambao inawezekana kuna binadamu wengi hawapendi kuusikia. Huko nyuma ziliwahi tokea tawala za Kirumi, Ottoman, Persia, Nazi na nyinginezo...
0 Reactions
0 Replies
356 Views
Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewakumbusha Watanzania kuhusu ahadi za Mgombea Urais wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alizoziahidi kutekeleza...
2 Reactions
23 Replies
956 Views
Wakuu, Jana ilikuwa inatembea clip mitandaoni ikimuonesha Diamond akisema Watanzania KILA AWAMU MNALALAMIKA Hii ni March 2018 jamaa alikuwa analalamikia ngoma zake kufungiwa na BASATA...
0 Reactions
3 Replies
993 Views
Mpaka sasa ndo naona anajitutumua na kutamani apate teuzi ili aweze mtetea Samia vizuri. Wengine ni kama wamechoka. Tumsaidie Eze Kamwaga tumtie moyo huyu maana Mtandao kama tunaanza tengwa na...
1 Reactions
13 Replies
640 Views
Back
Top Bottom