Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi Declaration of Interest Naomba kuanza na ku declare interest kuwa mimi ni Kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM ambaye ni muumini wa haki na demokrasia ya kweli ndani ya Bunge. Nautoa ushauri...
5 Reactions
97 Replies
12K Views
SAKATA LA SHEIKH PONDA: MASIKINI "MASHEIKH RASMI" HAWAJUI KUWA HAWANA WAISLAM WANAOWAONGOZA, WAKO PEKE YAO Awali ya yote mimi sitajiingiza katika propaganda za uchaguzi bali nitajaribu kueleza...
47 Reactions
195 Replies
16K Views
Haya sio maneno yangu bali ni maneno kutoka kwa mbunge jimboni Mtama ndugu Nape Nnauye. Wanamtama zaidi ya 2600 wamewawakilisha wananchi wenzao kusaini form za udhamini za Rais Magufuli ili aweze...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Hakika CCM imejipanga kisayansi na inatumia rasilimali vyema. Leo Mama Samia amemkabidhi Ilani Mbunge mtarajiwa wa jimbo la Kongwa Ndugu Job Y Ndugai.
5 Reactions
45 Replies
7K Views
Mh Lissu katika pitapita yake kasema atafuta vitambulisho vya machinga. Hapa amechemka mwambieni Bora aseme ataboresha usimamizi. Hivi vitambulisho vimewasaifia kuondokana na misako ya maofisa wa...
10 Reactions
79 Replies
8K Views
Habarini wana jukuwaa. Taarifa za kushitusha ni kwamba huenda kwenye bunge lijalo (2020 -2025) mbunge aliyefukuzwa chadema na Tundu Lisu mh Zito Kabwe asionekane tena! , hii ni kufuatia wananchi...
9 Reactions
126 Replies
24K Views
Nimeweka nia ya kumchukulia fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar Sheikh Mselem Ali kwa tiketi ya Chadema kesho tar 20/07/2020 Sheikh Mselem Ally ana haki ya kuchaguliwa kama walivyokuwa na haki...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Kamanda Zombe achukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania Ubunge Songea Mjini. Zombe ni maarufu kwenye midomo ya watu kutokana na kesi ya mauaji iliyokuwa inamkabiri ambapo mwaka 2016 aliachiwa huru na...
6 Reactions
40 Replies
7K Views
Wanabodi, Katika pita pita yangu mitaa ya jijini Dar es Salaam hii suku ya nwisho ya kampeni, nimekutana na Basi maalum la kampeni ya CCM, nilipouliza, ndipo nikajulishwa hao ni vijana wahitimu...
9 Reactions
109 Replies
12K Views
Wanabodi, "Watakao Rudi Bungeni ni 'Wakijani' " Haya sii maneno yangu, na sio maneno ya kuambiwa ni maneno yaliyotamkwa na ambayo nimeyasikia mwenyewe kwa masikio yangu mwenyewe!. Japo maneno...
39 Reactions
224 Replies
23K Views
Wanabodi, Uchaguzi ni wakati mzuri wa kufanya tafakari mbalimbali, saa hizi niko mji kasoro, kwenye kiwanja kipya kinaitwa Star Park, mimi kama kawaida yangu, ni mimi na Joni Mtembezi, kiwanja...
2 Reactions
47 Replies
6K Views
Amesema hakuna mtu yeyote anayeweza kupambana na Jeshi hilo na kwamba wote wanaovunja sheria za nchi watashughulikiwa. Nimeona viongozi wa Chadema wanakaripia askari, Tundu Lissu anakaripia watu...
25 Reactions
401 Replies
50K Views
Nilitabiri humu na ikawa kweli kuwa Wagombea wakuu wa uchaguzi mkuu wa Rais mwaka huu ni Wakili Msomi mwenzangu Tundu Lissu (Upinzani/CHADEMA) na Dr. John Pombe Magufuli (CCM). Ni katika andiko...
11 Reactions
88 Replies
7K Views
Tundu Lissu hujui geography ya Tanzania? Kwako Chato iko nchi gani? Kila siku anatukana watu wa Chato kwa kupelekewa maendeleo Huyu Lissu tunamsubiri ataenda kuomba vipi hizo kura Chato na mkoa...
20 Reactions
176 Replies
18K Views
Kama kesho utaongelea unachopanga kukifanya iwapo utafanikiwa kuwa Raisi wa nchi hii licha ya ukweli kuwa hatuna tume huru ya uchaguzi,nakushauri wewe kama mgombea uraisi(iwapo chama chako...
19 Reactions
105 Replies
9K Views
Msanii Khalid Mohamed aka Top In Dar (TID) ameibuka na kutaka chama cha Demokrasia na Maendeleo kimlipe kwa kutumia neno "Ni Yeye" katika kampeni zao. Msanii TID anadai neno "niyeye" ni ubunifu...
16 Reactions
158 Replies
17K Views
CHADEMA imajiandaa vipi kwenye mfumo wa mawasiliano hasa Tundu Liss? Nitashangaa sana kama Tundu Lissu anatumia. Vodacom, Tigo, Airtel, Halotel, Zantel au TTCL. Ni lazima Tundu Lissu atumie...
29 Reactions
52 Replies
6K Views
Mgombea wetu wa Bagamoyo, Ndugu Vitali Mathiasi Maembe ameondolewa kuwania Ubunge wa Jimbo hilo. Majimbo mengine ya Pwani ambayo Wagombea wetu wamekatwa ni Mkuranga na Kibiti. #Hatukubali
1 Reactions
33 Replies
5K Views
IKIWA imebaki siku moja Uchaguzi Mkuu ufanyike, Jumuiya ya wafanyabiashara ndogondogo ‘machinga’ na madereva pikipiki ‘bodaboda’ nchini, wametoa msimamo wao kuwa watampigia kura mgombea wa Chama...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Mtangazaji wa kipindi maarufu cha Nitetee Foundation kinachorusha runingani mambo ya kijamii, hasa matatizo , mwanadada Flora Lauwo ametia nia kugombea ubunge, Viti Maalum CCM, Mwanza.
1 Reactions
104 Replies
17K Views
Back
Top Bottom