Uchaguzi 2020 Sakata la Sheikh Ponda na "masheikh rasmi"

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
20,915
30,259
SAKATA LA SHEIKH PONDA: MASIKINI "MASHEIKH RASMI" HAWAJUI KUWA HAWANA WAISLAM WANAOWAONGOZA, WAKO PEKE YAO

Awali ya yote mimi sitajiingiza katika propaganda za uchaguzi bali nitajaribu kueleza hali ya Waislam ilivyo.

Kwanza ni kuwa Waislam toka ilipovunjwa EAMWS na serikali mwaka wa 1968 na Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan bin Ameir kukamatwa na kufukuzwa nchini na serikali kuwaundia Waislam BAKWATA, Waislam wameishi na kinyongo miaka yote sasa inafika nusu karne.

Ndiyo unasikia lugha za "sheikh wa BAKWATA," Waislam wakijiweka mbali na BAKWATA.

Na ukweli ni kuwa BAKWATA haijaweza kukubalika na sababu ni ndogo kuwa si taasisi iliyoundwa na Waislam wenyewe.

Matokeo yake ni kuwa katika hii jamii kubwa ya Kiislam Waislam wana viongozi wao wanaowakubali, kuwaamini, kuwapenda na kuwasikiliza wanachowaambia.

Sheikh Ponda ni mmoja wa masheikh hawa.

Sheikh Ponda amewaeleza Waislam nani adui ya Waislam wa Tanzania na akasimama kupambana na adui huyu huku akiungwa mkono na Waislam wengi sana.

Katika juhudi hizi Sheikh Ponda kakutwa na shida nyingi.

Kalipa kwa ajili ya Allah kwa machozi na damu.

Kwa damu yake na machozi ya nduguze Waislam.

Nimeweka hapa FB makala fupi ya maisha ya Sheikh Ponda katika kuwatumikia Waislam sasa mtafute sheikh yeyote wa BAKWATA ambae amepata kusimama na Waislam katika dhiki na shida zao.

Hakuna.

Katika hali kama hii ni tabu sana kujaribu kumchafua sheikh kwa propaganda hizi za uchaguzi kwa kuwa Waislam wanamjua Ponda ni nani.

Ponda anawakilisha sauti ya Waislam wengi, wengi, wengi sana.

Wako waliotambua hili na wamejua nini wafanye waweze kupata kura za Waislam.

Hawa ni watu wenye kufikiri na kukubali ukweli kuwa Waislam wanaishi na kinyongo dhidi ya utawala kwa miaka mingi.

Hawa wametumia fursa hii kwa kuhaidi kutoka haki na fursa sawa kwa wote.

Ndiyo maana hujasikia Waislam wamefanya maandamano kumpinga Sheikh Ponda.

Wanaompinga Sheikh Ponda si masheikh bali ni "masheikh wa BAKWATA."

Chunguza.

Picha: Kulia ni Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan bin Ameir (1880 - 1979) na kushoto ni Sheikh Issa Ponda.
 
Sasa Mzee wangu, ikitokea Wakatoliki au walutheri au wakristo wote kwa ujumla wakatangaza kura ni kwa flani(upande tofauti na aliochagua sheikh wako)kama alivyofanya Sheikh Ponda unadhani nini kitatokea baada ya matokeo!?

Kama ni upande unaotoa haki hakuna shida ila kama sio haki Wakristo wote wanajua watampa LISSU mtetezi wa haki hao hawana cha kuambiwa. Tatizo ni waislamu wamekandamizwa miaka 10 sasa na bado wamelala tu.

We umesikia padre gani kawekwa mahabusu hata siku moja tu eti ni gaidi au kamsema vibaya serikali. Waislamu amkeni mmelemazwa Sana na BAKWATA. Sisi Wakatoliki Magufuli tukimuita tu anakuja fasta.
 
Mzee,

Ingawa nina admire sana kipaji chako cha uandishi na hifadhi ya historia lakini kuna jambo moja baya sana linakuhusu.

Unapenda Tanzania iwe nchi ya Kiislam na unalazimisha historia itambue kwamba Watanganyika wote kabla ya Uhuru walikuwa hawana muamko wa kusaka uhuru zaidi ya kikundi cha masheikh wachache wa Mzizima na Bagamoyo ambao waliamua kumtunuku Mwalimu Nyerere ashike bendera ya kudai uhuru.

Katika hoja zako zote lazima uweke udini tena udini unaolenga kujenga chuki.

Unatumia uzee wako vibaya sana. Unapaswa kuheshimu sheria na taratibu za nchi. Kitendo cha kuunga mkono harakati za marehemu sheikh Ilunga ni sahihi sana kukuona hauna tofauti na wapiga ramli wanaoiombea nchi yetu iingie kwenye janga tena la machafuko.

Waache masheikh wamtumikie Mola wao, kama unachukia nenda kawashtaki kwa Mungu na siyo kuwadhalilisha.

Ponda anajulikana tangu awali kuwa anasaka umaarufu bila kujali athari zake.

Nakupinga sana kwenye hili
 
Kama ni upande unaotoa haki hakuna shida ila kama sio haki wakristo wote wanajua watampa LISSU mtetezi wa haki hao hawana cha kuambiwa. Tatizo ni waislamu wamekandamizwa miaka 10 sasa na bado wamelala tu. We umesikia padre gani kawekwa mahabusu hata siku moja tu eti ni gaidi au kamsema vibaya serikali. Waislamu amkeni mmelemazwa Sana na BAKWATA. Sisi Wakatoliki Magufuli tukimuita tu anakuja fasta.
Na kama sio kama!?
 
1) Mzee Said unataka kusema kwamba waislamu wakimchagua Lissu mgombea alienadiwa na Ponda ndio matatizo ya waislamu yataisha, au huyo mgombea atakuwa sababu ya waislamu kuingia peponi?

2) Kwa mwendo huu wa Ponda kuwaambia waislamu wamchague Lissu akitokea kiongozi anaekubalika na wakristo wengi nae akasema wakristo wamchague JPM, huoni kwamba tunaelekea kuligawa taifa kidini?

Natanguliza shukran zangu kwako Mzee wetu Said wa jukwaa la history.
 
2) Kwa mwendo huu wa Ponda kuwaambia waisilamu wamchague Lissu akitokea kiongozi anaekubalika na wakristo wengi nae akasema wakristo wamchague JPM, huoni kwamba tunaelekea kuligawa taifa kidini?

..kuna wakati CCM walikuwa wanaeneza propaganda kwamba CHADEMA ni chama cha Wakristo.

..kuna wakati CUF walikuwa wanaandamwa kwamba ni chama cha Waislamu.

..kuna kipindi pia CHADEMA walikuwa wanapakaziwa kwamba ni chama cha Wachaga.

.. CCM haioni tatizo kuwagawa waTz kwa propaganda za kidini au kikabila.

..hata ktk kampeni za mwaka huu CCM imekuwa ikiwatumia viongozi wa dini kumshambulia mgombea wa cdm, Tundu Lissu.

..kamati ya amani ya viongozi wa dini imekuwa mstari wa mbele kupiga kampeni za kumuonyesha Tundu Lissu kama mwasiasa asiyefaa ktk jamii yetu.

..kama unataka kutenda haki ungeanza kwa kukemea kamati ya amani ya viongozi wa dini ambayo imejiegemeza upande wa ccm.
 
SAKATA LA SHEIKH PONDA: MASIKINI "MASHEIKH RASMI" HAWAJUI KUWA HAWANA WAISLAM WANAOWAONGOZA, WAKO PEKE YAO

Awali ya yote mimi sitajiingiza katika propaganda za uchaguzi bali nitajaribu kueleza hali ya Waislam ilivyo.

Kwanza ni kuwa Waislam toka ilipovunjwa EAMWS na serikali mwaka wa 1968 na Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan bin Ameir kukamatwa na kufukuzwa nchini na serikali kuwaundia Waislam BAKWATA, Waislam wameishi na kinyongo miaka yote sasa inafika nusu karne.

Ndiyo unasikia lugha za "sheikh wa BAKWATA," Waislam wakijiweka mbali na BAKWATA.

Na ukweli ni kuwa BAKWATA haijaweza kukubalika na sababu ni ndogo kuwa si taasisi iliyoundwa na Waislam wenyewe.

Matokeo yake ni kuwa katika hii jamii kubwa ya Kiislam Waislam wana viongozi wao wanaowakubali, kuwaamini, kuwapenda na kuwasikiliza wanachowaambia.

Sheikh Ponda ni mmoja wa masheikh hawa.

Sheikh Ponda amewaeleza Waislam nani adui ya Waislam wa Tanzania na akasimama kupambana na adui huyu huku akiungwa mkono na Waislam wengi sana.

Katika juhudi hizi Sheikh Ponda kakutwa na shida nyingi.

Kalipa kwa ajili ya Allah kwa machozi na damu.

Kwa damu yake na machozi ya nduguze Waislam.

Nimeweka hapa FB makala fupi ya maisha ya Sheikh Ponda katika kuwatumikia Waislam sasa mtafute sheikh yeyote wa BAKWATA ambae amepata kusimama na Waislam katika dhiki na shida zao.

Hakuna.

Katika hali kama hii ni tabu sana kujaribu kumchafua sheikh kwa propaganda hizi za uchaguzi kwa kuwa Waislam wanamjua Ponda ni nani.

Ponda anawakilisha sauti ya Waislam wengi, wengi, wengi sana.

Wako waliotambua hili na wamejua nini wafanye waweze kupata kura za Waislam.

Hawa ni watu wenye kufikiri na kukubali ukweli kuwa Waislam wanaishi na kinyongo dhidi ya utawala kwa miaka mingi.

Hawa wametumia fursa hii kwa kuhaidi kutoka haki na fursa sawa kwa wote.

Ndiyo maana hujasikia Waislam wamefanya maandamano kumpinga Sheikh Ponda.

Wanaompinga Sheikh Ponda si masheikh bali ni "masheikh wa BAKWATA."

Chunguza.

Picha: Kulia ni Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan bin Ameir (1880 - 1979) na kushoto ni Sheikh Issa Ponda.
Shekhe Mohamed....usijibu kitu tena. Ushamaliza kazi
 
Mzee Shikamoo, naomba sana hiyo picha uiweke tena hatuioni
 
"No one is right no one is wrong."

mdai na haki zenu basi kuhusu yale magaidi ya kibiti wengi walikuwa wa upande wa Dini yenu.

Zanzibar kipindi Cha mifungo mmewatesa Sana wakristo.

mtafikiri hii Dunia ni ya kwenu mtu asile kisa mmefunga yani mnapiga kelele basi tu ila nyie watu mnachokipiganiaga sijui haki

haki gani mnajikutaga wajuba kumbe nyie ndiyo makafiri no #1

Tiini mamlaka zilizopo Duniani maana Mungu amezikubali nyakati hizo kwa wakati wake .
najua kuna wakati mnatamani hata shekhe ponda ndiyo awe rais lakini hilo haliwezekani mifumo ya nchi inahitaji msawazo(balance) kwa watu wote na Mungu humpa amtakaye sio mnayemtaka nyinyi .

mnapiga kelele Bakwata je kipindi cha mrisho mbona hakuwapa hizo haki zenu kama mjumbe kutoka kwenu.?

Uislamu ni Unyenyekevu na Usafi
wizi ,Ugaidi, maandamano, na machafuko yasitajwe kwenu.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
SAKATA LA SHEIKH PONDA: MASIKINI "MASHEIKH RASMI" HAWAJUI KUWA HAWANA WAISLAM WANAOWAONGOZA, WAKO PEKE YAO

Awali ya yote mimi sitajiingiza katika propaganda za uchaguzi bali nitajaribu kueleza hali ya Waislam ilivyo.

Kwanza ni kuwa Waislam toka ilipovunjwa EAMWS na serikali mwaka wa 1968 na Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan bin Ameir kukamatwa na kufukuzwa nchini na serikali kuwaundia Waislam BAKWATA, Waislam wameishi na kinyongo miaka yote sasa inafika nusu karne.

Ndiyo unasikia lugha za "sheikh wa BAKWATA," Waislam wakijiweka mbali na BAKWATA.

Na ukweli ni kuwa BAKWATA haijaweza kukubalika na sababu ni ndogo kuwa si taasisi iliyoundwa na Waislam wenyewe.

Matokeo yake ni kuwa katika hii jamii kubwa ya Kiislam Waislam wana viongozi wao wanaowakubali, kuwaamini, kuwapenda na kuwasikiliza wanachowaambia.

Sheikh Ponda ni mmoja wa masheikh hawa.

Sheikh Ponda amewaeleza Waislam nani adui ya Waislam wa Tanzania na akasimama kupambana na adui huyu huku akiungwa mkono na Waislam wengi sana.

Katika juhudi hizi Sheikh Ponda kakutwa na shida nyingi.

Kalipa kwa ajili ya Allah kwa machozi na damu.

Kwa damu yake na machozi ya nduguze Waislam.

Nimeweka hapa FB makala fupi ya maisha ya Sheikh Ponda katika kuwatumikia Waislam sasa mtafute sheikh yeyote wa BAKWATA ambae amepata kusimama na Waislam katika dhiki na shida zao.

Hakuna.

Katika hali kama hii ni tabu sana kujaribu kumchafua sheikh kwa propaganda hizi za uchaguzi kwa kuwa Waislam wanamjua Ponda ni nani.

Ponda anawakilisha sauti ya Waislam wengi, wengi, wengi sana.

Wako waliotambua hili na wamejua nini wafanye waweze kupata kura za Waislam.

Hawa ni watu wenye kufikiri na kukubali ukweli kuwa Waislam wanaishi na kinyongo dhidi ya utawala kwa miaka mingi.

Hawa wametumia fursa hii kwa kuhaidi kutoka haki na fursa sawa kwa wote.

Ndiyo maana hujasikia Waislam wamefanya maandamano kumpinga Sheikh Ponda.

Wanaompinga Sheikh Ponda si masheikh bali ni "masheikh wa BAKWATA."

Chunguza.

Picha: Kulia ni Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan bin Ameir (1880 - 1979) na kushoto ni Sheikh Issa Ponda.

Picha hakuna Sheikh
 
Wewe nawe ni wale wale, 'wavurugaji na wapenda mivutano'

Waislamu wamebadilika sana, siku hizi huwazolewi kirahisi

Wewe na Shehe Ponda mnapenda mivutano
 
Back
Top Bottom