RAIS DKT. SAMIA AWASHA MOTO WA MATUMAINI MAKAMBAKO
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 6 Septemba 2025...
Mgombea ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (#CCM) jimbo la Uyole mkoani Mbeya Dkt. Tulia Ackson akiwa katika kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2025 ameeleza namna ambavyo watu wanatumia mitandao...
Haya ndugu zangu Wanaccm nimeona na mimi niazishe thread yakuwajibu wahuni wa no reforms no election twende nao sambamba hawa watu mpaka kieleweke kati ya sikio na kichwa nani kamzidi mwenzie
Kwa maana hiyo ule mtandao wa Mapacha Watatu ulizikwa rasmi 2015
Ikumbukwe Mapacha Watatu ndio walikuwa Vinara wa Mtandao japo kulikuwa na Wajumbe kama Membe, Sitta, Mataka, Temu, Sophia nk nk...
Wazee wa Mbarali wamesema wanaimani na Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Dkt Samia Suluhu Hassan kumpa tena ridhaa ya kumchagua na kuiongoza Tanzania;
Kwani alipotoka ni...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Saashisha Mafuwe leo Ijumaa Septemba 5,2025 amefanya ziara yakuwatambulisha kwa wajumbe na wanachama wa chama...
Hajaonekana. Mzee wa kulamba asali. Nadhani itakuwa yupo reserve anasubiria kufanya Kampeni mkoani mwake Tanga.
Huyu Mzee wa Pwani ana maneno sana nadhani atatumika kwa wakati wake kumnadi...
Kwanza hoja alizowasilisha kutetea mtandao ni dhaifu sana, hazina mashiko yoyote na zimejaa ulaghai mtupu.
Anaposema mtandao ni jambo la kawaida kwenye demokrasia je nchi hii ina demokrasia...
Waswahili husema Ng’ombe wa shughuli ya hitima akikata kamba hachinjwi tena anabakia kuwa mlinzi wa Zizi hadi afe mwenyewe
Naiona Siasa ya 2030 itakuwa imebakia na vyama viwili tu CCM na Chadema...
Watanzania Tushukuru sana Mungu kuingilia Kati hii vita.
Nimekua nasema humu Kila Mara, Uhai wa Kisiasa wa Samia na genge lake, utahitaji kuendelea kuwepo Kwa Matukio ya Utekaji na Mauaji...
Safari ya Ubunge Jimbo la Kigoma Kusini 2025.
Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wananchi wa Kigoma Kusini kupitia chama chetu cha ACT-Wazalendo kwa safari...
Kama kweli lengo la Museveni lingekuwa mfano wa kuigwa, basi yeye mwenyewe angeonekana mnafiki, kwa sababu alimfanya mwanaye Muhoozi kuwa Mkuu wa Majeshi na wengine akawapa vyeo vikubwa...
Nimepata taarifa za uhakika kutoka kwenye account rasmi ya Maxence Melo kuwa JamiiForums imevamiwa siku ya leo.
Tunaungana na JamiiForums tunasimama imara kupiga kelele kulaani vikali sisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.