Kiuhalisia Ufisadi huu wa Leo unaoibuliwa na Mange Kimambi, Kuna uwezekano Mkubwa chimbuko lake ni Ikulu, na wahusika wa Karibu ni Waziri wa fedha na Governor wa BOT, na Kwa kiasi kikubwa...
Msanii mkongwe wa muziki wa 'HipHop' nchini Selemani Msindi Afande Sele amesema hivi karibuni amekutana na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis Mutungi ambapo miongoni mwa mambo...
Kwa haraka haraka, kete zilishachezwa kitambo Sana, ndani ya vile vyumba nyeti vya giza tupu na kumwangukia mama!. Kwa urahisi now mama ni mkubwa kuliko cha ma ( mama ndiyo chama!). Kwa wenye...
Nimemtazama na kumsikiliza Jaji Mkuu George Masaju mwanzo mwisho akiseminisha na kuelekeza majaji wake hapa. Anaonekana kuwa na mtazamo chanya contrary na mambo yalivyo chini ya utawala wa Rais...
Mbeya kwa maana ya ramani ya Zamani yaani hadi Mbozi
Ndio sababu Watumishi wa Mungu wa mbinguni wengi wanatoka Mbeya mfano Mwalimu Mwakasege, Mtume Mwamposa, Mzee wa Upako Mchungaji Lusekelo...
Nadhani Hoja ya msingi kwa komredi Polepole ni hiyp Nia njema ya huo waya mkubwa ni ipi na Nia ovu inayotekelezwa na hao Wahuni ni ipi
Atoe darasa
Nawatakia Sabato njema 🙏
ACT wazalendo bado hamjachelewa jitoeni kwenye uchuguzi kwa upande wa Bara.
Hamna chochote mnatakachopata kwenye uchaguzi huu, mbele ya hii CCM maslahi.
Mtapigwa kila pembe hadi mchakae...
Na. M. M. Mwanakijiji
Mzazi yeyote anajua mojawapo ya kanuni kubwa za kumfunza mtoto; ni kumuacha wakati mwingine aanguke. Sasa humuachi aanguke mahali pa hatari au ambapo anaweza kuumia vibaya...
Siasa ama chama chochote cha siasa ni zao la falsafa. Kuwa Mwanasiasa bila kuwa na falsafa ama kuwa na Chama cha Siasa ambacho hakina msingi wa falsafa ni kasoro kubwa ambayo hufanya mwanasiasa...
Kwa wasomaji wa historia ya uprotestant watakuwa wanakumbuka dua maarufu; "Lord, open the King of England's eyes" ya William Tyndale, aliyoiomba akiwa anachomwa moto October 1536 kwa kosa la...
Huu ni upumbavu na ujinga.
Unapelekwa gerezani kwa kesi ya unyag'anyi wa kutumia silaha ya kubumba. Alafu unasota gerezani mpaka unakuwa hoi
Unatoka gerezani na mahakama inathibitisha kuwa...
Bila shaka alikuwa mmoja wa wajumbe wa mkutano wa Halmshauri kuu ya CCM ambako mwenyekiti wao Bi Chura Kiziwi alitoa kauli tata kuhusu Gwajima na blindly polisi wakiwa - facilitate "wasiojulikana"...
Habari zenu mabibi na mabwana.
Ni wazi kwamba haki huinua taifa, mh Tundu Lissu amejitambulisha wazi kwamba yupo tayari kupigania haki.
Ameonyesha bila hofu kuwa yupo tayari kutoa uhai wake kwa...
Hajafanya lolote jimboni.
Siku alipoibuka kaja na ng'ombe 500. Achinje wamchague.
Ng'ombe mmoja kumnunua na kumsafirisha na kumchinja na kumpika na vinywaji na kuandaa tukio kadirio la chini...
Uwekezaji mkubwa unaingia nchini kwetu, ahsante Mama. haijapatakutokea #kurayakwanzakwaSamiaUwekezaji mkubwa unaingia nchini kwetu, ahsante Mama. #haijapatakutokea kurayakwanzakwaSamia
Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza anaandika kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Facebook.
HII SIYO GALA NI KUGALAGALA
Nawapongeza CCM kwa dinner gala ya kuchangisha fedha za kampeini...
Kwa tunaofuatilia kampeni za mgombea wa ccm,kuna kitu nadhani wengi wetu tutakua tushakiona.
Mama Samia akiwa ananadi sera zake anaongea akiwa anahema sana.sina uhakika kama ndio ongea yake iko...
Sekta ya Barabara
Mkoani Mbeya, ujenzi wa barabara hii ya lami unatarajiwa kurahisisha usafiri wa bidhaa na abiria, na kuchochea uchumi wa maeneo hayo.
Ukarabati wa Barabara za Mijini Mbeya, Mji...
Ni special number lakini isiyolipiwa TRA
Haiko kwenye mfumo rasmi wa number za magari TRA
Inapatikana kwa connection
Haipewi kwa wasio makada wa mtandao chawa wenye ukwasi na kunguni daraja la...
Barua ya Lissu kwenda kwa Dr William Leo.
Dr William habari, sitaweza kuandika mengi kwenye barua hii sababu sina karatasi za kutosha, ila kama ujumbe utafika naomba uwatumie na watanzania wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.